Ni fake..Simu yangu nikichomeka kwenye chaji inaniandikiaa charger connected. Ina tatizo gan mkuu?
Nipo mkuuOk...
Unautaalam kidogo lkn ili nikupe njia nyingine official pia?
Acha shobo na mwenzio fanya yako ilo swali la kiboya usiambiewe ukweli we vipi?!umejiunga jumatatu unakuja kudanganya watu na kiblog chako uchwara!!!
dogo kuwa makini humu unaweza kupakatwa na tunaweza kukiangusha hicho kiblog chako muda wowote endelea kubwabwaja tu.View attachment 647636
nafanya yangu kama unataka uje nawewe nikufanye boya weweAcha shobo na mwenzio fanya yako ilo swali la kiboya usiambiewe ukweli we vipi?!
TupaSimu yangu nikichomeka kwenye chaji inaniandikiaa charger connected. Ina tatizo gan mkuu?
Ndio matatizo yenyewe hayo mkuuSimu inasema unfortunalty android
Oi mbona unajitia unajua kila kitu, kila kitu unakosoa shida nn?? Au vyuma vimekaza na unatolea povu humu??android ni nini? bila shaka utasema ni mfumo endeshi na blah blah nyinginezo.
nataka kujua maana ya neno lenyewe ANDROID.
Mr Q Una, shida gani?hilo swali linajibika kwa povu la uke ulilotoa hapo au? jibu swali
badala ya kujibu swali unakuja na mambo mengine yasiyo husika kabisaaaa
sina shida yoyote unaona hao vijana wanavyo kurupuka kuni quote na maneno ya kijinga? inabidi kuwapa majibu ya kipumbavuMr Q Una, shida gani?
Mr Q Una, shida gani?
Mkuu waache tu,sina shida yoyote unaona hao vijana wanavyo kurupuka kuni quote na maneno ya kijinga? inabidi kuwapa majibu ya kipumbavu
nimeuliza kwa ustaarabu ila wanachojibu kinasyltahili majibu ya aina hiyo
Tumia chromecastNawezaje kuunganisha smartphone yangu na flat tv?
AsanteTumia chromecast
Mpe Majibu Mkuu... Ukiendelea Kumpa Homework Hujamsaidia... Au Umegundua AnakuChallenge? [emoji1]And gate + roid tizama icon yao utafahamu zaid kama umesoma electronics
Ngojea tu-Save number zenu,, siku mkiitukana serikali iwe rahisi kuwa-trace mje kukamata mamba kwenye mtoNipigie au sms 0753093869
Hatuna ubaya na watuNgojea tu-Save number zenu,, siku mkiitukana serikali iwe rahisi kuwa-trace mje kukamata mamba kwenye mto