Incarnating at the wrong time, I must go for resettingUkiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga .
Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu. What are *** chai.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Kwa hiyo kwako mwanaume masikini au tajiri anapimwa kwenye eneo la kuhonga?Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga .
Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu. What are *** chai.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Mwanamke mwenye roho ya Jezebeli anaonekana kwa mfululizo wa tabia ambazo zinaweza kuonekana kwa njia mbalimbali, ikiwemo udanganyifu, udhibiti, uasi, uwongo wa hisia na udanganyifu wa kiroho. Mara nyingi hushughulikia kuinyamazisha sauti za wanaume, unabii na uongozi wenye afya, jambo linalosababisha kuchanganyikiwa na upweke katika mahusiano. Dalili za Roho wa Jezebeli zinaweza kujumuisha hofu ya kihisia, wasiwasi, aibu, mkanganyiko wa kiroho, mahusiano yaliyoharibika, na vikwazo katika ukuaji na umoja katika mahusiano. Ili kushinda Roho wa Jezebeli, wanawake wanahimizwa kuomba maombi ya ukombozi, maombi ya nguvu na utambuzi, na maombi ya ulinzi wa mahusiano yao ama ndoa.Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga .
Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu. What are *** chai.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Vita hii ni kubwa sanaTunawasubiri wasogee pande hii kujibu mahambulizi.
Ni haki yake kabisa kuota ndoto zakeNdoto.
Anaota mwenzio.
Jikite katika kujibu mada usikimbilie vita hatuko Iran hapaVita hii ni kubwa sana
Tukija kwa Mwanamke masikini msikimbilie ooo ukiona mwanaume amefanikiwa ujue kuna Mwanamke mwenye akili yuko nyuma yake
Kwani wewe haujaona kombola hiloJikite katika kujibu mada usikimbilie vita hatuko Iran hapa
Hakuna kombola hapo,, kajiongelea zake ukweli mtupu ambao wanaume hawataki kuusikia.Kwani wewe haujaona kombola hilo
Hili povu sio la nchi hii. Kama unajiweza kiuchumi kwa nini mwanaume akufungulie kampuni? Si ufungue mwenyewe?Ukiona unahangaika sana na mapenzi yakujionyesha kuwa unaweza kufanya jamboo kwa mpenzi wako .
WEwe jua wewe ni maskini .
Eti mtu unajifanya uko updated eti maji nimelipa babe eti umeme nimeweka dstv nimelipa nimekununulia simu huo ni ujinga .
Hayo ni maisha ya wanaume wa Dar na wa chuo.
Wanaume wenye hela wanaenda mpaka idara ya maji na tanesco na wanalipia kwa mwaka au miezi 6 na gari anakuwa anakubadilishia anakufungulia kampuni au biashara ya mabilioni halafu eti wewe simu tu unapiga simu mpenzi nimekupigia kukuambia kuwa nimekununulia simu. What are *** chai.
Wanaume wenye nazo hawatoi notification wanafanya unaona unasikia simu uko wapi kazini nakuja anakupa mali gari mpya . Sio hao wanajiona wanaume wanapiga pumbu hadi wanakuchakaza, mama yako akija anakupita akizani bibi mwenzie amekuzalisha hadi huna ramani imefutika .
Maisha haya unatakiwa mtu mwenye pesa . Sio mwanaume mwenye juhudi .
Juhudi ampelekee mama yake kijijini
Kwani kipimo cha mwanaume masikini na tajiri kiko katika namna anavyohonga?Hakuna kombola hapo,, kajiongelea zake ukweli mtupu ambao wanaume hawataki kuusikia.
Jibu unalo daudi usijifanye huelewi.........Kwani kipimo cha mwanaume masikini na tajiri kiko katika namna anavyohonga?
Hapana twende taratibu kwa mujibu wa mtoa mada, kipimo ni hicho?Jibu unalo daudi usijifanye huelewi.........