Dah! Vijana wenye vigari mjini wanatamba sana

-nani kakwambia Mimi nakaa kipawa? au ndiyo unakokaa ww mkuu?
-Au unadhani watu wote wanakaa unsurveyed land?
-Benki wenye nyumba na tutledeeds(certificate of occupancy) wanaweka rehani wanafanya biashara, wananunua hadi magari ya biashara kupitia kumiliki nyumba, wana lease at the same time
-kwa hiyo wewe unataka kila mtu mwenye nyumba amiliki guta? hivi hujui mtu mwenye nyumba aweza kununua Hadi GUTA,VITZ kutokana na mapato yanayotokana na nyumba (mortgage lease,sublease)
-kukopa bank ya nani? unakopa benki za kibiashara mfano Nmb, na process zake ni kama hizi negotiation na Bank (mortgagor na mortgagee), followed by Valuation report hapa valuer atafanya uthamini wa ardhi,title nk
-hakuna hoja ya maana zaidi ya kusema wewe ni born town,
-huna uzoefu na magari, huna uzoefu na real estate
-
Aaaah! Uzoefu wangu wa magari ulianzia kwenye mikokoteni ya ngombe ile halafu ikaja the beatles ukibisha wakati hunijui wee ni wa kipawa tu. Sometimes

Siyo tu kwamba unakaa kipawa unaishi sehemu km hizo! Umepanga huko.

Wabongo land. wengi nawajua kwa mashauzi humu ndo makao yenu huko!!

Nimesomaaa uandishi wako nikaona kweli NMB ndiyo bank yako, maana yake kwa kiswahili fasaha benki ya Makabwela kumbe naongea na kabwela.

Unakaa wapi sema nikudadavue!! Km temeke Wailes.magomeni kariakoo, huna jeuri ni za urithi zile. Hapo sasa hivi uko kituoni unapiga boda to boda!

Hapo ndo napochoka wabongo yaani real estate ni za kuhesabu bongo.

Hata sasa naweza kukupa idadi kamili ukitaka. yaani kabisaaa nina real estate nikafanye biashara ya kuuza vits bongo? Unaona sasa?

Ukiijua Mpilo Estate najua naam wee! kweli ni mmojawao!

Kabisaa u miliki Estate uukakope Nmb seriously?
Microfinance unajua manake?

Nikikwambia weye division zero unatakasirika bure!

Labda hujui maana ya real estate. !
Nimekwambia ukifanya biashara au kununua gari kwa kuiga utakwama tuu tena mbaya tena unakwama mazimaa padoogo sana

Fanya kitu ile. Mbae Ma roho zako anataka bana waswahili mnaigaiga sana.

dont try dis game!
Nyie ndo wale mnalala drsn usiku kucha sababu tu smaki anakesha matokeo yake unapata division zero mwenzako huyooooo! Hutomsikia tena huyo.

Guta siyo la kumilik hovyo linahitaji akili.ya pesa dogo usilione vile ukalichukulia poa hata km una nyumba 7

Sikia dogo hata ukinunua vits na kanyumba kako ka mawazo. vits hiyo itakufa kifo cha mende soon before time. Utalaani magari daima oooh! Nasisitiza tena usituige bila ujuzi.
 
Aaaah! Uzoefu wangu wa magari ulianzia kwenye mikokoteni ya ngombe ile halafu ikaja the beatles ukibisha wkt hunijui wee ni wa kipawa tu. Sometimes

Siyo tu kwamba unakaa kipawa unaishi sehemu km hizo! Umepanga huko.

Wabongo land. wengi nawajua kwa mashauzi humu ndo makao yenu huko!!

Nimesomaaa uandishi wako nikaona kweli NMB ndiyo bank yako, maana yake kwa kiswahili fasaha benki ya Makabwela kumbe naongea na kabwela.

Unakaa wapi sema nikudadavue!! Km temeke Wailes.magomeni kariakoo, huna jeuri ni za urithi zile. Hapo sasa hivi uko kituoni unapiga boda to boda!

Hapo ndo napochoka wabongo yaani real estate ni za kuhesabu bongo.

Hata sasa naweza kukupa idadi kamili ukitaka. yaani kabisaaa nina real estate nikafanye biashara ya kuuza vits bongo? Unaona sasa?

Ukiijua Mpilo Estate najua naam wee! kweli ni mmojawao!

Kabisaa u miliki Estate uukakope Nmb seriously?
Microfinance unajua manake?

Nikikwambia weye division zero unatakasirika bure!

Labda hujui maana ya real estate. !
Nimekwambia ukifanya biashara au kununua gari kwa kuiga utakwama tuu tena mbaya tena unakwama mazimaa padoogo sana

Fanya kitu ile. Mbae Ma roho zako anataka bana waswahili mnaigaiga sana.

dont try dis game!
Nyie ndo wale mnalala drsn usiku kucha sababu tu smaki anakesha matokeo yake unapata division zero mwenzako huyooooo! Hutomsikia tena huyo.

Guta siyo la kumilik hovyo linahitaji akili.ya pesa dogo usilione vile ukalichukulia poa hata km una nyumba 7

Sikia dogo hata ukinunua vits na kanyumba kako ka mawazo. vits hiyo itakufa kifo cha mende soon before time. Utalaani magari daima oooh! Nasisitiza tena usituige bila ujuzi.
-Maandishi marefu hujajibu hata hoja moja niliyoitoa
-Umejikita kwenye hypothetical issues tu, kwa kuhisi kwamba Mimi nakaa kipawa huna ushahidi huna facts zinazounga mnyororo wa ushahidi
-Bank ya Nmb ndiyo moja ya benki kubwa hapa Tanzania hivyo usibabaishwe na neno 'microfinance bank' ukaanza kufananisha na 'microfinance'zile zinazokopesha kwa kuweka dhamana vitu kama makochi,friji,sofa
-Hujui tofauti kati ya Commercial banks and microfinance institutions tafsiri yake huna uelewa wa kutosha kwenye hayo masuala
-Nmb wanakopesha hadi mabilioni ya shilingi usiichanganye na microfinance institutions
-Wapi nimesema Mimi nataka kununua gari kwa kuiga? Onyesha,bainisha
-Nani kakwambia nimepata zero, au ni wewe ndiyo umepata zero mkuu unadhani kila mtu kapata zero humu?
-huna hoja umeshindwa kujibu hoja
 
  • Thanks
Reactions: Cyb
-maandishi marefu hujajibu hata hoja moja niliyoitoa
-umejikita kwenye hypothetical issues tu, kwa kuhisi kwamba Mimi nakaa kipawa huna ushahidi huna facts zinazounga mnyororo wa ushahidi

Usisome kwa jazba soma kwa furaha uelewe nakusaidia ili uachane na makuzi ya kijijini. Nakufundisha bure eti una mind.

Wanao ishi planned area hawana makuzi km haya. Style hii ni ya boda boda wa kijijini. Hatauko kipawa parefu hupajui kwanza ni wapi?

Kusoma ni shida au? akili nzito mpaka nirudieee. Toka huko mikoani sogea ndani yajiji. nimesema unamwelekeo wa division zero hata huko Ni juu sidhani km umefika.

Kwako wewe De best banking level ni Nmb ni kubwa sana huko mikoani? .uko sahihi.huwezi kwenda beyond bank nyingine za kisasa kwanza huzijui

Unaona unavojileta huko mikoani mnazo? Tuanzie hapo Zitoke wapi?but siyo watu wa class yangu.

Tatizo wewe wa mikoani kumbe nakiingereza chako cha waalim wa katani huko pwiiit.

Tambaa usiniambukize uana kijiji failure weye mie naongea na born town.siyo born village.

Mati bank unaijua hii hapa

loool! Sasa huko mbwinde mpate wapi estate farm za kisasa nyie? Ismani. Kipawa unapajua weye?
 
-maandishi marefu hujajibu hata hoja moja niliyoitoa
-umejikita kwenye hypothetical issues tu, kwa kuhisi kwamba Mimi nakaa kipawa huna ushahidi huna facts zinazounga mnyororo wa ushahidi
-Bank ya Nmb ndiyo moja ya benki kubwa hapa Tanzania hivyo usibabaishwe na neno 'microfinance bank' ukaanza kufananisha na 'microfinance'zile zinazokopesha kwa kuweka dhamana vitu kama makochi,friji,sofa
-Hujui tofauti kati ya Commercial banks and microfinance institutions tafsiri yake huna uelewa wa kutosha kwenye hayo masuala
-Nmb wanakopesha hadi mabilioni ya shilingi usiichanganye na microfinance institutions
-Wapi nimesema Mimi nataka kununua gari kwa kuiga? Onyesha,bainisha
-Nani kakwambia nimepata zero, au ni wewe ndiyo umepata zero mkuu unadhani kila mtu kapata zero humu?
-huna hoja umeshindwa kujibu hoja
20201223_172833.jpg

Namaanisha maloti unaijua hii km kweli weye ni birn bongo land
 
usisome kwa jazba soma kwa furaha uelewe nakusaidia ili uachane na makuzi ya kijijini. nakufundisha bure eti una mind.

Wanao ishi planned area hawana makuzi km haya. Style hii ni ya boda boda wa kijijini. Hatauko kipawa parefu hupajui kwanza ni wapi?

Kusoma ni shida au? akili nzito mpaka nirudieee. Toka huko mikoani sogea ndani yajiji. nimesema unamwelekeo wa division zero hata huko Ni juu sidhani km umefika.

Kwako wewe De best banking level ni Nmb ni kubwa sana huko mikoani? .uko sahihi.huwezi kwenda beyond bank nyingine za kisasa kwanza huzijui

Unaona unavojileta huko mikoani mnazo? Tuanzie hapo Zitoke wapi?but siyo watu wa class yangu.

Tatizo wewe wa mikoani kumbe nakiingereza chako cha waalim wa katani huko pwiiit.

Tambaa usiniambukize uana kijiji failure weye mie naongea na born town.siyo born village.

Mati bank unaijua hii hapa

loool! Sasa huko mbwinde mpate wapi estate farm za kisasa nyie? Ismani. Kipawa unapajua weye?
- Unanifundisha nini mkuu? mtu mwenye we hujui kutofautisha 'commercial banks' na 'microfinance institutions
  • Eti wanaoishi planned areas hawana makuzi kama yangu? sasa mkuu hii ni hoja nayo? umefanya utafiti ukagundua kuwa hao wanaoishi Unsurveyed areas wana tabia zipi kulinganisha na wanaoishi surveyed areas? eti nayo hii ni hoja au kihoja muendelezo uleule wa dhahania hakuna facts bali ni hisia na bias
  • Angalia sasa unavyopotea kwenye hoja eti unajiaminisha wanaojenga ni wa mikoani au kwenye mawazo ya mikoani
  • Mkuu Mimi sio division zero labda wewe kwa maana unawaza kulala ndani ya gari mawazo chakavu
  • Kwa Tanzania benki kubwa ni mbili Nmb na crdb, hivyo huwezi ukadharau watumiaji wa benki hizo
  • Mambo ya mbwinde,uanakijiji,mati bank, hayo yote yako nje ya hoja ungekuwa shuleni mwalimu angekuandikia O.P yaani nje ya hoja
  • Umetoka nje ya hoja rudi kwenye hoja tuendeleze malumbano.

Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na sebule.

[emoji23][emoji23]
 
In short
Vijana wengi wa sasa wanapenda ufahari wa kijinga full stop.
 
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na sebule.
Hivi kwani kupanga kuna tatizo...si nnalipa...
Kwanini ufanaishe ist yangu mil 7 na nyumba..?
Unajua thamani ya nyumba..?
Gari ni nkitendea kazi sio anasa lama unavodhani
 
We jamaa unafeli sana ujue, uzuri sikuhizi magari tunauziana humu humu mtaani. Zipo gari mpaka za mil.2.5 ni wewe tu mkuu. Nunua hata corrolla 110 upunguze machungu.

We si uliamua kujenga kwanza bana🤣🤣🤣 panda pagala hilo uje nalo Bar! Usituchoshe mzee.
Mzee acha roho mbaya..Comment gan hii??😂😂😂😂
 
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na sebule.
Na wewe pia chukua ufunguo wa baiskeli yako uweke kichwani. Na achana na wenye magari yao... Huna hisa wala wazo uliewasaidia...
 
Yaani siku hizi watembea kwa miguu na wenye baiskeli tunanyanyasika Sana na Hawa vijana wenye magari ya mkopo huku Kitaa

Yani kijana akishakopa milioni 10 akanunua gari basi anataka atambe nalo kila bar na kutembea kwa kujitanua huku akining'iniza funguo ili kila mtu amuone anamiliki gari

Wadada nao ndo wanashoboka wakiona kijana kaingia na gari bar yani wanamwona bonge la digala kutembea na Ist

Vijana wenye magari wakiingia bar wanataka kujifanya wao kina MO wanakunywa Pombe laini tu yani serengeti lite, castle lite, Henekien, Windhoek au savannah hawataki masuala ya Safari au serengeti lager wala Balimi extra lager

Ni ushamba na uboya kutamba na gari lako mtaani wakati unaishi nyumba ya kupanga chumba kimoja self na sebule.
Unataka kuwapangia watu maisha wanywe Safari, wapande baiskeli na wajenge nyumba, wakati hawataki mambo hayo?
 
Yaani wewe, unafuatilia hadi umegundua ni mkopo, bado haitoshi umeenda hadi bar kujua anakunywa nini!! Fanya kazi na wewe ununue yako. Huo ni wivu usio na tija.

Sent from my SM-A415F using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom