What??
Mimi unanituhumu kumuanzishia figisu Mabeyo?
JF wapumbavu mmezidi kuongezeka aisee.
Sio wapumbavu tu, wengine ni matahira kabisa
What??
Mimi unanituhumu kumuanzishia figisu Mabeyo?
JF wapumbavu mmezidi kuongezeka aisee.
Adante kunielimisha, kumbe jeshi la aridhini sio infantry, ni land force, katika kusaidiana kuelimishana, infantry ni jeshi la wapi?.Jeshi la ardhini sio infantry ni Land force
Mkuu nathamini mchango wako lakini kwa kulinda heshima yako ningeomba ufute hii post!Uongozi wa Jeshi ni clusters zenye idadi fulani.
the lowest ni unit, ina watu 9 ma privates, wanaongozwa na Koplo.
Units 3 zinaunda Section, ina askari 30, ma koplo 3 na inaongozwa na Sergeant
Section zikiwa tatu, zina askari 90, makaplo 9, ma Sergeant 3, zinaunda plotoon wanaongozwa na Luteni, hivyo cheo cha Luteni ni platoon Kamanda.
Platoon zikiwa tatu, zina askari 360, zina ma koplo 36, ma sajenti 12, na ma luteni 3, zinaunda Coy, na inaongozwa na Major.
Coya zikiwa 3 zina askari 1080, zina ma koplo 108, masajenti 36, maluteni 9, zinaunda kikosi, au batallion kinaongozwa na Colonel, ndio zile mnasikia kambi ya jeshi.
P.
Nadhani hicho cheo cha Brigadier hakipo katika muundo wa sasa.Brigadier - 1
Major General - 2
Lieutenant General - 3
General - 4
Kulingana na mada inazungumzia Tanzania hivyo infantry ni askari wa miguu na Land force ni jeshi la nchi kavu.Adante kunielimisha, kumbe jeshi la aridhini sio infantry, ni land force, katika kusaidiana kuelimishana, infantry ni jeshi la wapi?.
P
Field Marshal ana nyota 5?!!?? Kwa nini rank hito Tanzania hatuna?!
Asante kuthamini mchango wangu, kwa nini nifute?!, ruksa kunikosoa na sio kunishauri kufuta.Mkuu nathamini mchango wako lakini kwa kulinda heshima yako ningeomba ufute hii post!
Cc: Mkomavu
Samahani lakini naelewa mada inahusu Tanzania, naomba labda huo muundo ni wa wapi, hivi sec ina askari 30??Asante kuthamini mchango wangu, kwa nini nifute?!, ruksa kunikosoa na sio kunishauri kufuta.
P
Nionyeshe mtandao uliouandika Lt colonel ni junior officerKuandika tu haya basi imekuwa nongwa. Kila kitu siku hizi kiko mitandaoni.
View attachment 1754947
Siku alipovaa hivi alipaswa avae nyota zake 5 kama huyu.
View attachment 1754953
Samahani lakini naelewa mada inahusu Tanzania, naomba labda huo muundo ni wa wapi, hivi sec ina askari 30??






Nionyeshe mtandao uliouandika Lt colonel ni junior officer
Moja plus bibi na bwana a.k.a one star generalNauliza hivi brigedia ana nyota ngapi
Labda nikusahihishe zaidi, kikundi kidogo kabisa ni group/squad au team, ambapo kikundi kinachofuatia ni sec, ikifuatiwa na patuni. Juu ya patuni kuna kombania, ikifuatiwa na kikosi, kikosi kinafuatiwa na regiment ndio inafuatia brigade....Adante kunielimisha, kumbe jeshi la aridhini sio infantry, ni land force, katika kusaidiana kuelimishana, infantry ni jeshi la wapi?.
P
Majibu yapo nayafahamu yote rasmi na yasiyo rasmi naomba ujibu kwanza lile swaliNikuulize kwa nini wastaafu lt colonel huku mitaani wanapenda kujiita colonel hawaitaki hii lt.
Na Mabrigenia generali na hujita majenerali hawataki kuanza na brigedia.




hizo ni nyota kuonesha hilo ni gari la amaMi naonaga CRUISER ina ** mara naona *** sijawahi kuelewa
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Mmoja, nchi haiwezi kuwa na Jenerali (Mkuu wa Majeshi) zaidi ya mmoja...Majenarali wa nyota 4 wako wangapi Tanzania?
Idadi ya wanajeshi hairuhusu kua na 4 stars zaidi ya mmojaWell, vipi zile branches za military?
Kwa nini zisiongozwe na four star generals?
Jeshi letu halina special forces?
Airforce? Navy? Army?
Majibu yapo nayafahamu yote rasmi na yasiyo rasmi naomba ujibu kwanza lile swali![]()