Mkomavu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2016
- 12,170
- 17,584
Hilo sakata nalijua mkuuMkuu sio kama alikimbia kabisa, isipokiwa alikimbia kwenda kutafuta hifadhi kwa yule kiongozi mkuu, ndipo kiongozi mkuu alipowasiliana na yule wa kule ndipo baadae jaamaa akatafutiwa sehemu ya kutulia. Lakini baada ya miaka kadhaa kupita mkimbiaji ndio akawa kiongozi wa nchi na mkimbizaji akaona mwisho wake ndio umefika.....Hukuipata hiyo!?
