Tafsiri halisi ya Infantry ni askari wa miguu. Je kuna Kamandi ya askari miguu?Majina tu ndio hilo hilo
Inawezekana mkuu maana ni muislam tu jina na wakawaida kama mimi sio wale wa misimamo mikali.Thanks for this info, that means alioa Mkristo na watoto wakafuata dini ya mama yao, ndio maana mmoja akaitwa Flora.
P
Hakuna figisu yoyote ya kumuondoa Mabeyo, cheo cha CDF kina security of tenure ya vipindi viwili vya miaka mitano mitano kama alivyo Gavana wa BOT, CAG, etc, rais yoyote akija hawezi kuwaondoa na kuleta watu wake.
Hili sio tuu la hakuna Mzanzibari mwenye sifa ya kuwa CDF, kati ya ma CDF, mwenye jina la Kiislamu ni mmoja tuu, Abdallah Twalipo, na sijui ni jina tuu, au alikuwa Muislamu kweli, maana binti yake Flora, tumesoma nae primary alikuwa Mkristo.
Hili nililiulizia hapa
PJe, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?
Wanabodi, Hii ni thread ya swali tuu, sio thread ya udini au ukabila. Je, kuna uhusiano wowote kati ya dini/kabila la mtu na ukakamavu ndani ya majeshi yetu nchini Tanzania? Je, kuna uhusiano wowote wa kati ya kabila la mtu na ukakamavu wa majeshini? Je, watu wa dini fulani au makabila fulani...www.jamiiforums.com
Kiswahili tafadhal tulianza pamoja tumalize pamoja.This kinda makes sense...though I’m not certain if that’s the reason why we don’t have more than one four star general at once...
Wahuni wanapenda. Vyeo vya jeshini kinoma....Ivi meja kunta nae hicho cheo kakipataje
Wewe unaona Brigadier na Brigadear General ni kitu kimoja??Brigadier General kipo mkuu, Katibu wa Foreign Affairs ni Brigedia Ibuge.
Ni kitu kimoja. Unaweza kuthibitisha kuwa ni wawili tofauti?Wewe unaona Brigadier na Brigadear General ni kitu kimoja??
Rekebisha hii post au ifute.Junior NCO ni Lance Koplo na Koplo
Sajenti ni Senior NCO kumbuka Mess zimepangwaje kivyeo , Sajenti anakula Mess moja na mastaff sajenti na Makolokolo wote
Kuanzia Meja mpaka kanali hawa ni senior officers, meja hawezi pewa adhabu ya kifungo na CO
Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Sawa na magari yao yanawekwa jihadi ya nyoUmekosea kuanzia brigadier mpaka general. Insignias zao ziko hivi:
Brigadier General: Ngao*X
Major General: Ngao**X
Lieutenant General: Ngao***X
General: Ngao****X
Mpambe wa Rais ni mpambe wa Commander in Chief. Naamini ni sawa kuwa na senior officer hapo.
[emoji116][emoji116][emoji116]Majina siyakumbuki ninachokumbuka kila vikundi vya waasi walikuwepo majenerali achilia mbali waliopo katika serikali zao.
Wahuni wanapenda. Vyeo vya jeshini kinoma....
Utasikia niaje brigedia kamanda,kapten,luteni jenerali, jenerali [emoji23][emoji23][emoji23]...
Wakati vyeo jeshini haviokotwi
Usually ni high rank official. India anakaa Major GeneralIpo sababu ya kuwekwa pale, siyo anakaa kama ua tu, kwa hiyo kuchagua cheo kile kina sababu zake.
Yes it's true, na kwa vile hizi position zote za wale constitutional officers, baada ya kumaliza their tenure, hawaruhusiwi kuajiriwa popote, retirement age yao ni 65 up to 75. Sasa akiteuliwa CAG mwenye 40 years akahudumu for 10 years hadi 50 years, baada ya hapo hapaswi kuteuliwa utumishi wa umma, anakwenda wapi just at 50, 15 years kabla ya muda wa kustaafu?.Urefu wa tenure unategemea pia age ya mtu alipoteuliwa kuwa CDF. Mtu anayeteuliwa kuwa CDF miaka minne kabla ya retirement, kwa mfano, obviously, hawezi kuwa CDF kwa miaka kumi!
Yule so akitokea Military intelligence ungemjuaje kwa mfano [emoji1787]Duu!, swali hili limenifanya nijitafakari sana, mimi ni Msukuma wa aina gani, kwasababu japo Mabeyo, tunatoka naye kijiji kimoja, Masanza, nyumbani kwake na kwetu ni just accros the main road, lakini huwezi amini, sijawahigi hata kujua alipandaje ghafla na kuwa generali, wala siijui CV yake, nasikia ni highly learned, and he is good!.
P
Like sio jeshi Ni kikundi Cha waasi[emoji1]Kwa hiyo maana yake kuwa na top rank officers inategemea na ukubwa wa jeshi
Hivyo ndio ninaelewa
Jeshi kama la Rwanda haliwezi kuwa Na Lieutenant General labda waamue tu kumpa
Hakuna ubayaNikuulize kwa nini wastaafu lt colonel huku mitaani wanapenda kujiita colonel hawaitaki hii lt.
Na Mabrigenia generali na hujita majenerali hawataki kuanza na brigedia.
Mimi ningependa nione record za kushiriki,kuongoza mapigano ya kivita ya hawa ma generalAu kipo kisiasa/ceremonial zaidi.
Leo nilikuwa naangalia Prince Philip mume wa Malkia wa Uingereza anazikwa, wamemtaja vyeo vyake, kumbe naye alikuwa Field Marshall.