Current four star Generals in Tanzania

Zipo lakini kwa hapa zinaongozwa na 2 stars, kwa sababu bado ni ndogo. Airforce yenye ndege 15 unaipa 4 star general itakuwa ni matumizi mabaya ya cheo.
Ni sawa na kanali kuwa ADC wa rais kwenye nchi za Africa meanwhile nchi za Ulaya na Marekani ADC ni Petty officer cheo cha chini kuliko Luteni usu. Mm nafikiri ni kudharirirsha jeshi. Kanali ni cheo kikubwa sana jeshini. Tena kwa US na Europe( Alemania, Uk, France, belgium )kanali ni cheo cha juu sana
 
Wasukuma ni watu poa sana, ila ndiyo hivyo tunapakwa matope kwa sababu za kijinga kabisa tena watoto wa chuo.
Tatizo huja pale msukuma mjinga anapotaka mamlaka aliyonayo ndugu yawe kama yake na si ya ndugu yake.

Nadhani inakuwa ni ushamba flani.
Otherwise wasukuma wako vizuri tu sema kuna wachache wajinga sana, sisemi kwa maana mbaya maana mzazi wangu mmoja ni msukuma original kutoka huko interior kabisa
 
Kuna wakati mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa(kama sikosei pale Kunduchi) aliwahi kua Lt General(* General), sijajia kama iko hivyo hadi sasa au ilibadilishwa.
Ilibadilishwa sasa MG
 

Mpambe wa Rais ni mpambe wa Commander in Chief. Naamini ni sawa kuwa na senior officer hapo.
 

Ni kweli mkuu, mambo ya kuongoza field yalikuwepo kipindi tunapigana na 10m soldiers. Siku hizi utapewa cha heshima tu
 

Nadhani hicho cheo cha Brigadier hakipo katika muundo wa sasa.
Brigadier General kipo mkuu, Katibu wa Foreign Affairs ni Brigedia Ibuge.
 
Second lieutenant -*
Lieutenant **
Captain***
Major-ngao ya taifa
Lieutenant colonel-ngao ya taifa *
Colonel-ngao ya taifa**
Brigadier ×
Major general×*
General×**
Lieutenant general

Umekosea kuanzia brigadier mpaka general. Insignias zao ziko hivi:

Brigadier General: Ngao*X
Major General: Ngao**X
Lieutenant General: Ngao***X
General: Ngao****X
 
Mkuu pascal Twalipo ni muislam na amezikwa kiislamu makaburi ya chang'ombe keko.
 
Majina siyakumbuki ninachokumbuka kila vikundi vya waasi walikuwepo majenerali achilia mbali waliopo katika serikali zao.
Eti unasema, kwani hapa wanaongelewa waasi au jeshi rasmi la nchi husika?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…