Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,130
- 1,402
1.Ukiona * moja jua huyo ni BrigediaMi naonaga CRUISER ina ** mara naona *** sijawahi kuelewa
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
2.Ukiona ** mbili jua huyo ni meja jenerali
3.Ukiona *** tatu jua huyo ni Luteni jenerali (Mara nyingi huyu huwa na msafara wa king'ora gari huwa mbili au tatu na mara nyingi anakuwa Mnadhimu wa jeshi
4.Ukiona **** nne jua huyo ni Jenerali (Mkuu wa majeshi, ma utaona msafara wa gari tatu au nne