Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

Nakazia:

Wapewe nafasi watalaamu wa afya kutuvusha.

Tuwasikilize wao kwa maslahi ya afya zetu na wengine.

Mfano, wakisema tusifunge chochote kwa umadhubuti wa tahadhari wanazoshauri tuwasikilize wao.

Tusiwaingilie wala kuwashinikiza.
Wakuvushe kwenda wapi
 
Ziliandikwa wapi?

Tatizo kubwa watu wengi tunalaumu na kushutumu tuu bila kusema exactly & practically nini serikali ifanye ili kupunguza maambukizi na vifo

Wengi wanawaza theories tu ambazo labda haziwezi kuleta matokeo chanya kwa context ya Tanzania

Mimi ninaona labda serikali ingeanza na vitu viwili: 1) kutest na kupublish daily covid19 data. Atleast inaweza kuleta awareness na waliotest positive wanaweza kuwa isolated

2) Kila msafiri anayeingia nchini kupitia mipaka yote lazima aje na negative covid19 certificate

Haya mambo ya lockdown, travel restrictions, kufunga shule etc sio practical maana hujui hii kitu itaendelea mpaka lini. Hata waliofanya hivyo wameshaachia maana haikuleta matokeo makubwa

Otherwise kila mtu anapaswa kuchukua hatua stahiki. Usingoje serikali kukwambia unawe mikono au kuvaa barakoa ukienda maeneo hatarishi
Yote uliyoyanena, ili yatendeke yanahitaji msukumo na nguvu ya Serikali. Wewe utamwambia mtu achukue tahadhari wakati Rais amekwishawadanganya kuwa hakuna corona?
 
Pori jipya nyani wale wale.

Hiiii bagosha!
Umekalia wataalamu waafya watuvushe, watuvushe kwenda wapi. Tumekubali tatizo lipo, toa njia mbadala za kulitatua hilo tatizo siyo kukariri njia za wengine.
Hao wataalamu wamewezeshwa ili waweze kukuvusha kama unavyotaka?
 
Yote uliyoyanena, ili yatendeke yanahitaji msukumo na nguvu ya Serikali. Wewe utamwambia mtu achukue tahadhari wakati Rais amekwishawadanganya kuwa hakuna corona?
Rais alisema corona ipo. Alisema kwamba "wale waliokwenda kuchanjwa nje ya Nchi wametuletea corona ya ajabu ajabu". Nini tena unapaswa kusikia? Sasa kama mtu hataki kuelewa hapo, then we have a very big problem at an individual level.

JPM anajua corona ipo ila hataki kukubali kuwa inaua kwa kasi. Yeye anaamini kwamba hii kitu ni kama mafua tu au "nyumonia" iliyopo siku zote. Mtu hapaswi kukubali kuendelea "kudanganywa"
 
Kwa hiyo role ya serikali iko palepale kama muelimishaji inchief, na msimamiaji wa public safety inchief kwa kuweka by laws kama hizo za kulazimisha uvaaji wa mask in public
Unajua kwa nini wajibu huu sasa hivi wanauona kama ukoma wa kukaa nao mbali?
Toka mwanzo walikwishajiweka kwenye kona ambayo ni vigumu kujitoa huko. Walitegemea ugonjwa utakwisha hivihivi na wao kujitangaza mashujaa. In fact walishaanza kutunga nyimbo za kujisifia kwa ushindi wao mkubwa na maono sahihi aliyokuwa nayo "mpotoshaji mkuu." Kwani hukumbuki shukrani kwa 'mungu' wetu aliyepitisha hili janga mbali nasi?

Kwani upotoshaji na ukaripiaji ulianzia wapi?

Toka enzi za 'Zika' na yule Binti Malicela. Wakamzima, lengo likiwa "Kukuza Utalii".

Corona ilipoingia, lengo lilikuwa ni hilo hilo, kukana na kuficha ili watalii wazidi kumiminika. Ndege za waChina kule Arusha wakati kwao tayari wamefungiwa huzikumbuki?

Corona ikapewa jina, "kaugonjwa", na ilipokuja zile hatua za kuweka 'Lockdown',; hapo ndipo ikawachanganya akili kabisa na kuanza kuhimiza mabo ya ajabu ajabu kama mityi shamba na kujifukizia, huku wakikana kabisa kuwepo kwa corona.

Mapapai na mbuzi na oil zikapimwa ili kuhalalisha ubovu wa vipimo na kutupilia mbali ukusanyaji wa takwimu.

Sasa tumekwishafikia hatua ya kukana hata yasiyoweza kukanwa, kwa sababu tu tulishajiweka kwenye sehemu ambayo tutaonekana kuwa wajinga (hapana -WAPUMBAVU) kama sasa ndio tutaanza kukili kuwa corona ipo nchini!
Hizi ndio fikra za viongozi hawa, wanaogopa wasionekane kuwa wapumbavu, hata kama maisha ya raia zao yapo hatarini.

Kama corona haitaogopa amri zao, sijui hatma ya taifa hili itafikia wapi!
 
Unahimiza watu wafuate ya kwao na siyo yale inayotangaza serikali? Ni nini maana ya kuwa na serikali?
Na huu ndio uzwazwa wa watu wengi. "Serikali" (viongozi) wanakwambia "korona hakuna" ila hapohapo wanakwambia uchukue tahadhari zote na ukajifukize ila wewe upo tu kama zuzu huku ukiamua kuchukua sehemu moja tu ya message na kujifanya hujasikia message nzima?
 
Mabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa:

Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona.

Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara zima la Afrika hatarini.

Tumesema ya kutosha sasa yetu macho.

Tusipoangalia tutamlaumu sana beberu.

Ama kwa hakika aliona mbali sana aliyesema "asilaumiwe dobi kwani kaniki ni rangi yake."

Ninawasilisha.
Hizo takwimu tumtolee nani na kwa nini?
 
Unajua kwa nini wajibu huu sasa hivi wanauona kama ukoma wa kukaa nao mbali?
Toka mwanzo walikwishajiweka kwenye kona ambayo ni vigumu kujitoa huko. Walitegemea ugonjwa utakwisha hivihivi na wao kujitangaza mashujaa. In fact walishaanza kutunga nyimbo za kujisifia kwa ushindi wao mkubwa na maono sahihi aliyokuwa nayo "mpotoshaji mkuu."

Kwani upotoshaji na ukaripiaji ulianzia wapi?

Toka enzi za 'Zika' na yule Binti Malicela. Wakamzima, lengo likiwa "Kukuza Utalii".

Corona ilipoingia, lengo lilikuwa ni hilo hilo, kukana na kuficha ili watalii wazidi kumiminika. Ndege za waChina kule Arusha wakati kwao tayari wamefungiwa huzikumbuki?

Corona ikapewa jina, "kaugonjwa", na ilipokuja zile hatua za kuweka 'Lockdown',; hapo ndipo ikawachanganya akili kabisa na kuanza kuhimiza mabo ya ajabu ajabu kama mityi shamba na kujifukizia, huku wakikana kabisa kuwepo kwa corona.

Mapapai na mbuzi na oil zikapimwa ili kuhalalisha ubovu wa vipimo na kutupilia mbali ukusanyaji wa takwimu.

Sasa tumekwishafikia hatua ya kukana hata yasiyoweza kukanwa, kwa sababu tu tulishajiweka kwenye sehemu ambayo tutaonekana kuwa wajinga (hapana -WAPUMBAVU) kama sasa ndio tutaanza kukili kuwa corona ipo nchini!
Hizi ndio fikra za viongozi hawa, wanaogopa wasionekane kuwa wapumbavu, hata kama maisha ya raia zao yapo hatarini.

Kama corona haitaogopa amri zao, sijui hatma ya taifa hili itafikia wapi!
Kwa mawazo kama haya, tuna safari ndefu sana
 
Na huu ndio uzwazwa wa watu wengi. "Serikali" (viongozi) wanakwambia "korona hakuna" ila hapohapo wanakwambia uchukue tahadhari zote na ukajifukize ila wewe upo tu kama zuzu huku ukiamua kuchukua sehemu moja tu ya message na kujifanya hujasikia message nzima?
Wewe inaonyesha hujui wajibu wa serikali kwa wananchi wake.

Halafu unataka watu wamwone kiongozi wao (Rais) kuwa mtu wasiyeweza kumwamini asemacho yeye? Wamwone kuwa ni 'mwongo', wakuamini wewe kapuku, usiyekuwa na mbele wala nyuma?
 
Mitaani vilio kila mahali. Ukiingia status za whatsapp huwezi kosa marafiki 2/3 wenye msiba.

Leo humu jf jerrybanks kafiwa na baba, baba mkubwa na mjomba kwa wakati mmoja.

Juzi nipo hospitali nikakutana na jamaa mmoja hapa Dar kamsafirisha dada yake toka Tanga aje atibiwe, kule Tanga walishazika ndugu zao 3 wa baba mmoja mama mmoja ndani ya wiki 1.

This is public irresponsibility and masaccre kwa sirikali iliyopewa jukumu la kuhakikisha usalama wa raia wake lakini wao wanachukulia for granted huu mlipuko.

Ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu, lakini kwa nini sirikali haichukui japo zile basic precautions ili angalau kupunguza maambukizi?
Tuko bize na kubadilisha au kurekebisha katiba tutawale milele.Hivyo tunaomba mtupe breki kidogo.Korona.Nani anajali!!
 
Ninawatuhumu sana wenye ma STL, ma STL na wote wa namna hiyo.

Kwa kodi zetu dhahama la mikusanyiko linalotuhusu sisi kwenye madalala, mabasi, ma ferry, magulioni, masokoni nk wao haliwahusu. Wako salama zaidi na hii ni at our expense.

Nani kakwambia kupambana na corona inataka lockdown peke yake? Mbona kutwa kucha upotoshaji binadamu nyie?

Kwanini mnaling'ang'ania hivi hili hujui la kupambana na ugonjwa huu wakati weledi katika mambo ya afya hamna?

Ni kweli kuwa mkuu wa nchi hapendwi. Hili wakujilaumu ni yeye mwenyewe. Sababu za kutokupendwa kwake kuu kabisa ni namna anavyotusababisahia sisi kupotelewa na wapendwa kwa sababu ambao zingeweza kuepukika.

Hebu na abadilishe mwelekeo aone jinsi gani ile upepo wa mapendo utakavyobadilika!

Hii kitu mbona iko wazi mno?
Duh!

Kwa hiyo mnataka afanyeje? Measures za kuzuia corona zaidi ya lockdown ni zipi unazozitaka wewe? Kila ninakopita kila kona naona watu wameweka vindoo vya maji na sabuni kwenye maduka na shule (utoto tu), wengine wamevaa vimask badae wanajisahau wanavivua, wengine wanapaka visanitaiza, kwa ujumla mi naona "elimu" ya kujikinga na corona imeshaeleweka sana tu.

Juzi kuna yule askofu wa KKKT amewakumbusha waumini wake wazidishe umakini juu ya Corona. Natumaini leo masharika kibao ya KKKT yameongeza umakini ikiwemo na kuwaambia washarika kama itabidi wasihudhurie na kwenye mikusanyiko yao ya jumapili leo.
 
Wewe inaonyesha hujui wajibu wa serikali kwa wananchi wake.

Halafu unataka watu wamwone kiongozi wao (Rais) kuwa mtu wasiyeweza kumwamini asemacho yeye? Wamwone kuwa ni 'mwongo', wakuamini wewe kapuku, usiyekuwa na mbele wala nyuma?
Wewe ndiyo hujui unachoongea.Kwahiyo ww unasubiri uambiwe nawa mikono.Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Wewe ndiyo hujui unachoongea.Kwahiyo ww unasubiri uambiwe nawa mikono.Akili za kuambiwa changanya na zako.
Hii ni mipasho isiyoongeza chochote kwenye mjadala huu.
Serikali haiwezi kuwa na wajibu wa kuwachanganya wananchi wake.
 
Mabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa:

Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona.

Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara zima la Afrika hatarini.

Tumesema ya kutosha sasa yetu macho.

Tusipoangalia tutamlaumu sana beberu.

Ama kwa hakika aliona mbali sana aliyesema "asilaumiwe dobi kwani kaniki ni rangi yake."

Ninawasilisha.
CDC ndio kijidudu gani tena hiki! Kiambieni kikakojoe kilale! Kama kinataka data kiombe za malaria tutampatia!
Eti tutaliweka hatarini bara la africa mfyuuuu! Kwani Tz ndio imeleta corona? Ebo!
 
Dikteta ametufikisha hapa na ndiyo anaitwa mzalendo
Huyu ni uchwara maana Madikteta wengi waliotikisa dunia walikuwa na akili sana ingawa hawakuwa na PhD, Hitler kubwa lao alikuwa Muaustria lakini aliweza kutawala Ujerumani nchi ya wasomi kuliko Ulaya yote na kufanya aliyofanya, wengine ikiwa ni pamoja na General Franco wa Spain, Napoleon wa Ufaransa nk lakini Dikteta uchwara ni Mussolini wa Italia aliyeuawa kwa jembe na mkulima akijaribu kukimbia baada ya kuona vita imemshinda. PhD si hoja akili ya kuzaliwa tosha kufanya makubwa!
 
Back
Top Bottom