Kwa hiyo takwimu zinahitajika kutolewa ni za covid19 tu? Za malaria je, maana nasikia malaria inaua zaidi hata ya covid19.Kwa mawazo yako wasio toa takwimu ugonjwa unapungua au ndiko umekwisha kabisa?
Watalaamu wanasema hatujihatarishi sisi peke yetu, bali tunahatarisha na wengine pia.
Mbaya zaidi anayeleta hatari hii ni jeshi la mtu mmoja.
Nyie wengine si ni njaa tu? Nani asiyejua kuwa sasa hivi akibadil i msimamo bwana yul mtashangilia mno hata kutuzidi sisi ambao pia ni wazi kuwa tutashangilia?
Ama Kwa hakika, mmeonyesha Kwa vitendo mna njaa Kali sana. Ni wazi kuwa kwa ajili ya njaa za matumbo yenu mtafanya na kufanywa hata yasiyosemeka.
Nakazia:1. Kiri kuwa tatizo lipo na ni vita kila mtu achukue tahadhari
2. Funga shule na vyuo
3. Zuia watu kukaa vijiweni wanapiga soga
4. Enforce kuvaa mask kwa kila atakayetoka nje, kula atakayetumia usafiri wa public n. k
5. Zidisha matangazo ya kuwaelimusha wananchi na kuwataka wananchi wachukue tahadhari, redio, TV na magari mitaani ya matangazo
6. Zuia watalii kuingia nchini maana hawa wametuketea korona na wataendelea kuileta.
Sasa hii ya kutangaza uwepo wa tatizo kwa machalemachale as if kutamka korona ni kuvunja sharti la mganga kunatuma mixed signal kwa wananchi. Kuna ambao leo hawataki kuvaa barakoa kwa sababu Magufuli keshaziondoea credibility mbele ya umma.
Kuna wale wanaojiachia wakiamini tatizo la orona siyo kubwa kihivyo ni "vimafua" tu
Kwa hiyo role ya serikali iko palepale kama muelimishaji inchief, na msimamiaji wa public safety inchief kwa kuweka by laws kama hizo za kulazimisha uvaaji wa mask in public
Hivi nyie mlienda shule ili mparrot kila mnachoambiwa na CDC - na wenzake wenye ajenda moja?Short
Short sighted!
Dikteta ametufikisha hapa na ndiyo anaitwa mzalendoMitaani vilio kila mahali. Ukiingia status za whatsapp huwezi kosa marafiki 2/3 wenye msiba.
Leo humu jf jerrybanks kafiwa na baba, baba mkubwa na mjomba kwa wakati mmoja.
Juzi nipo hospitali nikakutana na jamaa mmoja hapa Dar kamsafirisha dada yake toka Tanga aje atibiwe, kule Tanga walishazika ndugu zao 3 wa baba mmoja mama mmoja ndani ya wiki 1.
This is public irresponsibility and masaccre kwa sirikali iliyopewa jukumu la kuhakikisha usalama wa raia wake lakini wao wanachukulia for granted huu mlipuko.
Ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu, lakini kwa nini sirikali haichukui japo zile basic precautions ili angalau kupunguza maambukizi?
Wapi!Mashirika yenye akili yanapeleka staff wake kupata chanjo, halafu eti tunaogopa chanjo ila tunatumia dawa za mitishamba....jamaa kanywa dawa za Covid za jamaa fulini wameharisha hadi wamekufa wawili.
Dikteta ndiyo hatakiZiliandikwa wapi?
Tatizo kubwa watu wengi tunalaumu na kushutumu tuu bila kusema exactly & practically nini serikali ifanye ili kupunguza maambukizi na vifo
Wengi wanawaza theories tu ambazo labda haziwezi kuleta matokeo chanya kwa context ya Tanzania
Mimi ninaona labda serikali ingeanza na vitu viwili: 1) kutest na kupublish daily covid19 data. Atleast inaweza kuleta awareness na waliotest positive wanaweza kuwa isolated
2) Kila msafiri anayeingia nchini kupitia mipaka yote lazima aje na negative covid19 certificate
Haya mambo ya lockdown, travel restrictions, kufunga shule etc sio practical maana hujui hii kitu itaendelea mpaka lini. Hata waliofanya hivyo wameshaachia maana haikuleta matokeo makubwa
Otherwise kila mtu anapaswa kuchukua hatua stahiki. Usingoje serikali kukwambia unawe mikono au kuvaa barakoa ukienda maeneo hatarishi
Kuna vitu unaweza kufanya kama individual na kuna vitu lazima uvifanye kwa nguvu ya dola.Hivi nyie mlienda shule ili mparrot kila mnachoambiwa na CDC - na wenzake wenye ajenda moja?
Ni hivi tushajua covid19 ipo, na inasambaa na watu wengi wameipata na njia za kujikinga tushaambiwa sana.
Sasa za kuambiwa changanya na zako ndio maana ya kwenda shule. Be critical, be independent in thought. Usidhani wanaokuuzia hizo vaccine wangefanikiwa kama wangekuwa na akili za kufuata upepo unakovuma. Dah!
You must be crazyKutoa Takwimu sio suluhisho la kumaliza tatizo la COVD 19. Tunaendelea kuwaelekeza wananchi kuchukua tahadhari ya ugonjwa huo
What's wrong men
Hatuna uhakika chanjo ipi inatufaa, kwa hivyo sio suala la kuogopa chanjo. Halafu huyo jamaa yako aliyekunywa dawa sijui za nani halafu wakafa wawili, pole kwako na ndugu zake.Mashirika yenye akili yanapeleka staff wake kupata chanjo, halafu eti tunaogopa chanjo ila tunatumia dawa za mitishamba....jamaa kanywa dawa za Covid za jamaa fulini wameharisha hadi wamekufa wawili.
Serikali mnayoita siyo ya kidemokrasia mnataka tena itumie njia za kidikteta katika kudeal na mafua ya covid! Basi sawa. Natumaini watoto wako na mke wako umewafungia ndani ili kuhakikisha huko nje hawaendi kuleta covid. Au wakienda wasichangamane na wenzao. Au wakichangamana na wenzao wawe wamevaa barakoa. Basi buana na sisi tunafanya kama hivyo unavyofanya, assume kwamba elimu ya covid imeeleweka kwa taifa zima. Kwa nini hudhani raia hawajaielewa, ni wewe tu na wenzako fulani mlioielewa?Kuna vitu unaweza kufanya kama individual na kuna vitu lazima uvifanye kwa nguvu ya dola.
Unaweza kujilinda wewe binafsi lakini vipi kuhusu housegirl wako nyumbani, asipojilinda si anakuletea maradhi ndani ya nyumba yako?, si anaweza kuwapa hayo maradhi watoto wako?
Sasa ili kuondoa mtu kuwa na choice ya binafsi ya let say kuvaa au kutovaa barakoa ni lszima serikali iinforce hili jambo ili kuondoa uhiyari wa mtu katika kuvaa au kutovaa. Kwa kufanya hivyo, utamlinda housegirl wako, na eventually familia nzima ndani ya nyumba.
Kwa hiyo kiufupi ni hivi: Ukali na umakini unaoutumia kulinda Familia yako ndo ukali na umakini ambao serikali ilipaswa iwe nao kwa Tsifa zima, maana Taifa ni familia kubwa
Tujifungie kwani tunashida nao, waone kama tutakufa, Taifa kwa sasa linajitosheleza kwa kila kitu.Mabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa:
Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona.
Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara zima la Afrika hatarini.
Tumesema ya kutosha sasa yetu macho.
Tusipoangalia tutamlaumu sana beberu.
Ama kwa hakika aliona mbali sana aliyesema "asilaumiwe dobi kwani kaniki ni rangi yake."
Ninawasilisha.
Marekani na mataifa mengine tajiri wamefanya zaidi ya hayo ila wanarekodi vifo zaidi ya 2000 daily1. Kiri kuwa tatizo lipo na ni vita kila mtu achukue tahadhari
2. Funga shule na vyuo
3. Zuia watu kukaa vijiweni wanapiga soga
4. Enforce kuvaa mask kwa kila atakayetoka nje, kila atakayetumia usafiri wa public n. k
5. Zidisha matangazo ya kuwaelimusha wananchi na kuwataka wananchi wachukue tahadhari, redio, TV na magari mitaani ya matangazo
6. Zuia watalii kuingia nchini maana hawa wametuletea korona na wataendelea kuileta.
Sasa hii ya kutangaza uwepo wa tatizo kwa machalemachale as if kutamka korona ni kuvunja sharti la mganga kunatuma mixed signal kwa wananchi. Kuna ambao leo hawataki kuvaa barakoa kwa sababu Magufuli keshaziondolea credibility mbele ya umma.
Kuna wale wanaojiachia wakiamini tatizo la orona siyo kubwa kihivyo ni "vimafua" tu
Kwa hiyo role ya serikali iko palepale kama muelimishaji inchief, na msimamiaji wa public safety inchief kwa kuweka by laws kama hizo za kulazimisha uvaaji wa mask in public
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimeipenda hiyo code nameMy wisdom:
forgive the self proclaimed Dr, Pombe Mug Full of Pombe,
Then Forget it
let us wait for the fate. Huwezi kuelewa researcher aliyefanya research kubwa kupata PhD ya chemistry ana behave Kama Johnthenaptis.
Nilifikiri JK was the worst ever. Now I. beliave for the first time “the beautiful ones are not yet born”
The Mug Full of Pombe a fare devil, we are with it
Nenda BMH,mitungi ya oksijeni ni mingi kuliko ilivyokua mwanzo.Mbona huko wanakotoa takwimu ugonjwa ndio unaongezeka?
Mitaani vilio kila mahali. Ukiingia status za whatsapp huwezi kosa marafiki 2/3 wenye msiba.
Leo humu jf jerrybanks kafiwa na baba, baba mkubwa na mjomba kwa wakati mmoja.
Juzi nipo hospitali nikakutana na jamaa mmoja hapa Dar kamsafirisha dada yake toka Tanga aje atibiwe, kule Tanga walishazika ndugu zao 3 wa baba mmoja mama mmoja ndani ya wiki 1.
This is public irresponsibility and masaccre kwa sirikali iliyopewa jukumu la kuhakikisha usalama wa raia wake lakini wao wanachukulia for granted huu mlipuko.
Ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu, lakini kwa nini sirikali haichukui japo zile basic precautions ili angalau kupunguza maambukizi?