- Thread starter
- #161
Agiza sasa
Chanjo haiagizwi na watu binafsi. Inacho hitaji ni utayari tu wa nchi kuipokea.
Au huyu bwana ni Samia?
Yaonesha kama vile pori jipya ila nyani wale wale:
Hiiiiii bagosha!
Agiza sasa
Wacha kuwasilisha ujinga wako! Chapisha hilo onyo lililotolewa tulijadili!Mabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa:
Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona.
Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara zima la Afrika hatarini.
Tumesema ya kutosha sasa yetu macho.
Tusipoangalia tutamlaumu sana beberu.
Ama kwa hakika aliona mbali sana aliyesema "asilaumiwe dobi kwani kaniki ni rangi yake."
Ninawasilisha.
Ndio hapo sasaWacha kuwasilisha ujinga wako! Chapisha hilo onyo lililotolewa tulijadili!
Mbona takwimu za magonjwa yenye high mortality rate kuliko Covid -19 hawashawishi watu wapimwe, hawaulizii idadi ya watu wanaokufa kila siku, wala wanaoambukizwa kila siku?
Wacha kuwasilisha ujinga wako! Chapisha hilo onyo lililotolewa tulijadili!
Mbona takwimu za magonjwa yenye high mortality rate kuliko Covid -19 hawashawishi watu wapimwe, hawaulizii idadi ya watu wanaokufa kila siku, wala wanaoambukizwa kila siku?
We nae hebu tuache tuzike, hizo chanjo ni hadi tujiridhishe
Hata sasa hujui serikali unawashwa kufanya nini?
Kufa ni jadi ya mwanadamu,wewe mwenyewe ni maiti mtarajia.kwa hivyo sio ajabu zaidi 👉 🐖