Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

Mitaani vilio kila mahali. Ukiingia status za whatsapp huwezi kosa marafiki 2/3 wenye msiba.

Leo humu jf jerrybanks kafiwa na baba, baba mkubwa na mjomba kwa wakati mmoja.

Juzi nipo hospitali nikakutana na jamaa mmoja hapa Dar kamsafirisha dada yake toka Tanga aje atibiwe, kule Tanga walishazika ndugu zao 3 wa baba mmoja mama mmoja ndani ya wiki 1.

This is public irresponsibility and masaccre kwa sirikali iliyopewa jukumu la kuhakikisha usalama wa raia wake lakini wao wanachukulia for granted huu mlipuko.

Ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu, lakini kwa nini sirikali haichukui japo zile basic precautions ili angalau kupunguza maambukizi?

Hali inatisha[emoji24], kuna rafiki yangu kaondokewa na mama mkubwa na mjomba ake, wote leo.
 
Ni mambo mawili tofauti, kutoa taarifa ya ukubwa wa ugonjwa, na kuongezeka kwa ugonjwa. Jitahidi kuwa na uelewa mpana.
Uelewa mpana unapatikana vipi kama Kwa msingi wa uchangiaji kuna buku 7?
 
Nimekutukana tusi kubwa kuliko yote na linalouma sana,kimyakimya.
Kwa nini unitukane ndugu yangu? Nenda kaangalie centre for disease control ya Marekani majukumu yao na nini wanachofanya halafu angalia na majukumu ya Africa cdc. Africa CDC kazi yao kubwa ni kupigia debe vaccines na drugs za waulaya na wamerakani tu. Imekaa kama kitasisi cha PR (public relation) kwa maboss wao huko Marekani. No, huo ukoloni hatutaki.
 
Nilopoona DW ndio chanzo cha habari nikaipuuza!
Ungependa kiwe TBC au channel 10?

Dr. Mwele Malecela si yuko kule? Msubirie Prof. Kabudi atafute happy kanusho la CDC kupitia kwake.

Si damu ni nzito kuliko maji?
 
basic precautions

You take those precautions by your own.

No one stops you from wearing nose mask, washing hands etc.

Hicho ndicho kilichobaki kwani kutegemea serikali hii kwa wakati huu kuhusu kujikinga na COVID ni sawa na kutwanga maji.
 
Waambie tumechoka na huo wimbo wao wa corona..
Corona ni yetu sote
 
Kwa nini unitukane ndugu yangu? Nenda kaangalie centre for disease control ya Marekani majukumu yao na nini wanachofanya halafu angalia na majukumu ya Africa cdc. Africa CDC kazi yao kubwa ni kupigia debe vaccines na drugs za waulaya na wamerakani tu. Imekaa kama kitasisi cha PR (public relation) kwa maboss wao huko Marekani. No, huo ukoloni hatutaki.
Mwaka huu tutatafuta sababu zote. Ila ukweli mchungu "kaniki ni rangi yake."
 
Dw ni wahuni waliozamia ughaibuni!
Ungependa kiwe TBC au channel 10?

Dr. Mwele Malecela si yuko kule? Msubirie Prof. Kabudi atafute happy kanusho la CDC kupitia kwake.

Si damu ni nzito kuliko maji?
 
Siku za usoni bila cheti chanjo ya covid marufuku kuingia nchi za watu. Tanzania utawala wa magu tunashuhudia mambo ya ajabu.
 
Tanzania inaliweka bara la Africa hatarini? Huu ndio ukoloni tunaojaribu kuukataa. Yaani Africa CDC ni zao la ubeberu wa Marekani kupitia American CDC maana wamarekani katika network yake ya kukoloni dunia na kulinda/kutega maslahi ya Marekani na washirika wake imeinstall kibaraka chake inachokiita Centre for Disiase Control in Afrika.

Kwa namna waAfrika wasivyotembeleana huwezi kusingizia eti Tanzania inaiweka Afrika yote hatarini. Waafrika wengi wanazuru Ulaya na Marekani kuliko wanavyozuru miongoni mwao. So Africa CDC waseme tu ukweli kwamba wametumwa na maboss wao American CDC kwa malengo wanayoyajua wao.
Your head need brain scan
 
Ingekuwa Tbc??

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Unaonaje ukiziweka hapa hizo “basic precautions” ambazo Serikali inapaswa kuchukua? Labda hawazijui
1. Kiri kuwa tatizo lipo na ni vita kila mtu achukue tahadhari
2. Funga shule na vyuo
3. Zuia watu kukaa vijiweni wanapiga soga
4. Enforce kuvaa mask kwa kila atakayetoka nje, kila atakayetumia usafiri wa public n. k
5. Zidisha matangazo ya kuwaelimusha wananchi na kuwataka wananchi wachukue tahadhari, redio, TV na magari mitaani ya matangazo
6. Zuia watalii kuingia nchini maana hawa wametuletea korona na wataendelea kuileta.

Sasa hii ya kutangaza uwepo wa tatizo kwa machalemachale as if kutamka korona ni kuvunja sharti la mganga kunatuma mixed signal kwa wananchi. Kuna ambao leo hawataki kuvaa barakoa kwa sababu Magufuli keshaziondolea credibility mbele ya umma.

Kuna wale wanaojiachia wakiamini tatizo la orona siyo kubwa kihivyo ni "vimafua" tu

Kwa hiyo role ya serikali iko palepale kama muelimishaji inchief, na msimamiaji wa public safety inchief kwa kuweka by laws kama hizo za kulazimisha uvaaji wa mask in public
 
Siku za usoni bila cheti chanjo ya covid marufuku kuingia nchi za watu. Tanzania utawala wa magu tunashuhudia mambo ya ajabu.
This should not be a big problem. Afterall, sidhani kama watanzania wenye passport wanazidi 15% ya population.

As long as huna mpango wa kusafiri nje ya nchi, chanjo usiiwazie sana. Ni kama ilivyo yellow fever vaccination card tu kwa sasa.

Magu kwa sasa kazuia Wizara ya Afya kuagiza hizo chanjo. Hilo tamko sidhani kama linawahusu private hospitals
 
Mbona huko wanakotoa takwimu ugonjwa ndio unaongezeka?
Kwa mawazo yako wasio toa takwimu ugonjwa unapungua au ndiko umekwisha kabisa?

Watalaamu wanasema hatujihatarishi sisi peke yetu, bali tunahatarisha na wengine pia.

Mbaya zaidi anayeleta hatari hii ni jeshi la mtu mmoja.

Nyie wengine si ni njaa tu? Nani asiyejua kuwa sasa hivi akibadil i msimamo bwana yul mtashangilia mno hata kutuzidi sisi ambao pia ni wazi kuwa tutashangilia?

Ama Kwa hakika, mmeonyesha Kwa vitendo mna njaa Kali sana. Ni wazi kuwa kwa ajili ya njaa za matumbo yenu mtafanya na kufanywa hata yasiyosemeka.
 
Short
Tanzania inaliweka bara la Africa hatarini? Huu ndio ukoloni tunaojaribu kuukataa. Yaani Africa CDC ni zao la ubeberu wa Marekani kupitia American CDC maana wamarekani katika network yake ya kukoloni dunia na kulinda/kutega maslahi ya Marekani na washirika wake imeinstall kibaraka chake inachokiita Centre for Disiase Control in Afrika.

Kwa namna waAfrika wasivyotembeleana huwezi kusingizia eti Tanzania inaiweka Afrika yote hatarini. Waafrika wengi wanazuru Ulaya na Marekani kuliko wanavyozuru miongoni mwao. So Africa CDC waseme tu ukweli kwamba wametumwa na maboss wao American CDC kwa malengo wanayoyajua wao.
Short sighted!
 
Back
Top Bottom