The Dictator
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 4,457
- 12,244
Eti hii ndio ile tanzania ilikuwa inahimiza UMOJA na MSHIKAMANO ingali yenyewe haitendi inachofundisha. Aibu kwa kweli.
Hii ndiyo itakayokuwa aibu kubwa kwao!Acheni kupotosha wasiokuwa na ufahamu. Hata hivyo siku moja mtawajibika tu.
Kwamaana hiyo CDC imeanzishwa kipindi hiki cha corona?? Na kimewalenga Watz pekee??Kwa nini unitukane ndugu yangu? Nenda kaangalie centre for disease control ya Marekani majukumu yao na nini wanachofanya halafu angalia na majukumu ya Africa cdc. Africa CDC kazi yao kubwa ni kupigia debe vaccines na drugs za waulaya na wamerakani tu. Imekaa kama kitasisi cha PR (public relation) kwa maboss wao huko Marekani. No, huo ukoloni hatutaki.
hebu waachane na sisi, watuthibitishie ni chanjo ipi ipo salama kuliko zote.
Pamoja na wewe kuwa ni mjinga wa CCM kama mlivyo wote, ungepuuza TBC ya CCM ambayo Watanzania wenye akili wameikacha na kuhamia DW, VOA na BBC ambazo ndo Taasisi za Serikali za mabeberu zinazotambulika, kukubalika na kuaminika kote duniani.Nilopoona DW ndio chanzo cha habari nikaipuuza!
Mkuu unamkumbuka yule Meya wa Moshi aliyewaamuru Madiwani waliovaa barakoa wazivue?? Na wao wakatii amri bila shuruti.Ziliandikwa wapi?
Tatizo kubwa watu wengi tunalaumu na kushutumu tuu bila kusema exactly & practically nini serikali ifanye ili kupunguza maambukizi na vifo
Wengi wanawaza theories tu ambazo labda haziwezi kuleta matokeo chanya kwa context ya Tanzania
Mimi ninaona labda serikali ingeanza na vitu viwili: 1) kutest na kupublish daily covid19 data. Atleast inaweza kuleta awareness na waliotest positive wanaweza kuwa isolated
2) Kila msafiri anayeingia nchini kupitia mipaka yote lazima aje na negative covid19 certificate
Haya mambo ya lockdown, travel restrictions, kufunga shule etc sio practical maana hujui hii kitu itaendelea mpaka lini. Hata waliofanya hivyo wameshaachia maana haikuleta matokeo makubwa
Otherwise kila mtu anapaswa kuchukua hatua stahiki. Usingoje serikali kukwambia unawe mikono au kuvaa barakoa ukienda maeneo hatarishi
Hapana. Ule in uzwazwa wa wale madiwani. Hawakuwa na sababu yoyote ya kuvua barakoa kwa mkwara kidogo vileMkuu unamkumbuka yule Meya wa Moshi aliyewaamuru Madiwani waliovaa barakoa wazivue?? Na wao wakatii amri bila shuruti.
Huu ni mkanganyiko uliosababishwa na serikali kwa kutotoa tamko.
Haina shida mkuuMy wisdom:
forgive the self proclaimed Dr, Pombe Mug Full of Pombe,
Then Forget it
let us wait for the fate. Huwezi kuelewa researcher aliyefanya research kubwa kupata PhD ya chemistry ana behave Kama Johnthenaptis.
Nilifikiri JK was the worst ever. Now I. beliave for the first time “the beautiful ones are not yet born”
The Mug Full of Pombe a fare devil, we are with it
Wewe nawe yafaa uipate Corona ndipo utaiheshimu! Kila siku na kushadidia haya masuala ya corona, ukiipata ndipo utatuliaMabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa:
Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona.
Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara zima la Afrika hatarini.
Tumesema ya kutosha sasa yetu macho.
Tusipoangalia tutamlaumu sana beberu.
Ama kwa hakika aliona mbali sana aliyesema "asilaumiwe dobi kwani kaniki ni rangi yake."
Ninawasilisha.
Mwenyewe unajitakia uwe chini ya ukoloni, halafu unakuja hapa kupayuka juu ya mambo usiyokuwa na ufahamu nayo?Kwa nini unitukane ndugu yangu? Nenda kaangalie centre for disease control ya Marekani majukumu yao na nini wanachofanya halafu angalia na majukumu ya Africa cdc. Africa CDC kazi yao kubwa ni kupigia debe vaccines na drugs za waulaya na wamerakani tu. Imekaa kama kitasisi cha PR (public relation) kwa maboss wao huko Marekani. No, huo ukoloni hatutaki.
Ndo zipikweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu, lakini kwa nini sirikali haichukui japo zile basic precautions ili angalau kupunguza maambukizi
Wewe ni mjinga. Sisi na wanaotoa takwimu, unajua ni wapi wanakufa zaidi wakati hakuna takwimu?Mbona huko wanakotoa takwimu ugonjwa ndio unaongezeka?
Ninawatuhumu sana wenye ma STL, ma STL na wote wa namna hiyo.Sasa ndugu yangu unawatuhumu watu wanaotembelea STL, STK kutokujali maisha ya watu? Unajua kwamba serikali ikisema kuanzia leo kuna lockdown na kwamba wataanza kulimit idadi ya watu wanaopanda feri au kwenda sokoni atakayekuwa wa kwanza kuumia sio wao wenye STL bali ni mimi na wewe tunaohitaji kupanda feri au kwenda sokoni kwa ajili ya mkate wetu wa kila siku?
Hujafikiria mantiki ya kile mnachokitaka hadi mwisho wake naona. Either hilo, kwamba hamjafikiria kwa kina hatua zinazoshadadiwa serikali izichukue haziwezekani kwa aina ya watu wetu walivyo, au mnaelewa lakini kwa vile mmejifanya hamumpendi mkuu wa serikali ya sasa kwa kila sera yake, basi mmeamua kwamba akienda kulia nyie mtaenda kushoto, akienda kushoto nyie mtaenda kulia, ili mradi tu akataliwe yeye na mambo yake yote.
Ukishajua itakusaidia nini wakati hata ajira huna?!Wewe ni mjinga. Sisi na wanaotoa takwimu, unajua ni wapi wanakufa zaidi wakati hakuna takwimu?
Siku zote mtu anapofokia nafasi ya kuwa kiongozi wa nchi huwa ameandaliwa, sio yale mambo ya sandakalawee!!ndio yametufikisha hapa!!huoni yaliowakuta zamu hii USA?!!kwa trump!!afadhari hata trump hakuharibu sana kwani kuna baadhi ya vitu alikuwa ana kwamishwa na mfumo!!lakini ile nchi ya porto rico, mbabe ni mmoja tu, nani aseme, yaani anafanya taifa kama mali yake, nasahau kuwa kuna mambo yanaongozwa kidunia, kutokana na makubaliano yaliyowekwa!!hivi kama angekuwa ndio kiongozi wa taifa kubwa duniani, ingekuwaje?!!lakini hayo yalijulikana toka miaka hiyo!!Kweli Tanzania imefikia hatua ya kuzodolewa kimataifa? Ni Tanzania ile ya Mwl au Tanzania nyingine? Tanzania niliyoifahamu mimi ni ya kutoa ONYO mbele ya UN GEN. ASSEMBLY na sio hii ya kuzodolewa na CDC Afrika wajameni!
Hii inaonyesha huna taarifa kamili kuhusu msimamo wa serikali.Mimi ninaona labda serikali ingeanza na vitu viwili: 1) kutest na kupublish daily covid19 data. Atleast inaweza kuleta awareness na waliotest positive wanaweza kuwa isolated
Wewe unaonaje serikali inapokwambia "Corona Hakuna"?Otherwise kila mtu anapaswa kuchukua hatua stahiki. Usingoje serikali kukwambia unawe mikono au kuvaa barakoa ukienda maeneo hatarishi
Wape pole wafiwa. Na rafiki yangu ameondokewa na mama mzazi jana.Hali inatisha[emoji24], kuna rafiki yangu kaondokewa na mama mkubwa na mjomba ake, wote leo.
Wape pole wafiwa. Na rafiki yangu ameondokewa na mama mzazi jana.