Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

Kama viongozi wetu walitumia kikombe cha babu ambacho hakikuwa na kipimo chochote cha kisayansi, wanatoa wapi nguvu ya kupinga dawa ya kimaabara?
Si unaona walikinywa akiwemo Magufuli na wako hai na ni maraisi na mawaziri mfano Lukuvi ? Wewe ambaye hukunywa uko hoi unapigika kimaisha
 
Nenda BMH,mitungi ya oksijeni ni mingi kuliko ilivyokua mwanzo.
Sijajua ni kwanini.

Labda ni kwa sababu ya ile TB tuliyoanza kujikinga nayo sisi za karibuni hadi kwa barakoa mitaani.
 
Mabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa:

Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona.

Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara zima la Afrika hatarini.

Tumesema ya kutosha sasa yetu macho.

Tusipoangalia tutamlaumu sana beberu.

Ama kwa hakika aliona mbali sana aliyesema "asilaumiwe dobi kwani kaniki ni rangi yake."

Ninawasilisha.

Kipimo kipya mbona wanawake hawalalamiki?
 
Kama viongozi wetu walitumia kikombe cha babu ambacho hakikuwa na kipimo chochote cha kisayansi, wanatoa wapi nguvu ya kupinga dawa ya kimaabara?
Aliona mbali sana aliyesema "fumbo mfumbie mjinga!"
 
Si unaona walikinywa akiwemo Magufuli na wako hai na ni maraisi na mawaziri mfano Lukuvi ? Wewe ambaye hukunywa uko hoi unapigika kimaisha

Kwahiyo hicho kikombe walikunywa hao washirikina wawili tu? Kwa taarifa yako ile ilikuwa aibu ya nchi kwa watu waliofia kule, au waliokufa baada ya ule utapeli. Na kama kinatibu mbona watu hawaendi tena?
 
Mitaani vilio kila mahali. Ukiingia status za whatsapp huwezi kosa marafiki 2/3 wenye msiba.

Leo humu jf jerrybanks kafiwa na baba, baba mkubwa na mjomba kwa wakati mmoja.

Juzi nipo hospitali nikakutana na jamaa mmoja hapa Dar kamsafirisha dada yake toka Tanga aje atibiwe, kule Tanga walishazika ndugu zao 3 wa baba mmoja mama mmoja ndani ya wiki 1.

This is public irresponsibility and masaccre kwa sirikali iliyopewa jukumu la kuhakikisha usalama wa raia wake lakini wao wanachukulia for granted huu mlipuko.

Ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu, lakini kwa nini sirikali haichukui japo zile basic precautions ili angalau kupunguza maambukizi?
Tumekua tukiona status za misiba hata kabla ya hili tukio unadhan utaratibu wa status utakoma kisa tu kuna issue ya covid-20
 
Africa CDC ni tawi la Anerican CDC kazi yake distribution of American disease vacccines and drugs kazi ambayo inafanywa na American CDC kule marekani
Atalaumiwa sana dobi Ila kaniki ni rangi yake.

Lisilokuwa tawi la CDC America ni jiwe peke yake kwa dunia your hii?

Ama kweri hata kweri, "wonders shall never end."
 
Africa CDC ni tawi la Anerican CDC kazi yake distribution of American disease vacccines and drugs kazi ambayo inafanywa na American CDC kule marekani

So what? Hizo dawa za maabara zikifika tutatumia sisi tusioamini ushirikina, nyie washirikina chini ya kiongozi wenu mshirikina, endeleeni kutumia dawa za aina ya babu wa loliondo.
 
Tanzania inaliweka bara la Africa hatarini? Huu ndio ukoloni tunaojaribu kuukataa. Yaani Africa CDC ni zao la ubeberu wa Marekani kupitia American CDC maana wamarekani katika network yake ya kukoloni dunia na kulinda/kutega maslahi ya Marekani na washirika wake imeinstall kibaraka chake inachokiita Centre for Disiase Control in Afrika.

Kwa namna waAfrika wasivyotembeleana huwezi kusingizia eti Tanzania inaiweka Afrika yote hatarini. Waafrika wengi wanazuru Ulaya na Marekani kuliko wanavyozuru miongoni mwao. So Africa CDC waseme tu ukweli kwamba wametumwa na maboss wao American CDC kwa malengo wanayoyajua wao.
Umewahi kufika mipakani Namanga,Sirari,Rombo na wote kati ya Tanga na Kenya?
We bakia kwenu Bahi maana hujui muingiliano wa watu wa nchi hizi.
Badala ya ku export bidhaa Sasa tutawapelekea corona ilyorutubishwa na nyungu za Magufuli
 
Mitaani vilio kila mahali. Ukiingia status za whatsapp huwezi kosa marafiki 2/3 wenye msiba.

Leo humu jf jerrybanks kafiwa na baba, baba mkubwa na mjomba kwa wakati mmoja.

Juzi nipo hospitali nikakutana na jamaa mmoja hapa Dar kamsafirisha dada yake toka Tanga aje atibiwe, kule Tanga walishazika ndugu zao 3 wa baba mmoja mama mmoja ndani ya wiki 1.

This is public irresponsibility and masaccre kwa sirikali iliyopewa jukumu la kuhakikisha usalama wa raia wake lakini wao wanachukulia for granted huu mlipuko.

Ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu, lakini kwa nini sirikali haichukui japo zile basic precautions ili angalau kupunguza maambukizi?
Sijui kama unasema kweli, lakini kama ni kweli, basi akili zitaanza taratibu kutuingia vichwani.
Hata "mateka" anajua kuwa maisha yapo hatarini, huyo aliyemshilia na kumweka mateka ni lazima achukue tahadhari kubwa.

Uhai unapowekwa mstarini, hakuna asiyepiga mateke, mayowe na kila aina ya kutafuta njia za kujinasuru na mauti.
Ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu
Sijui hii uliitoa wapi, na kwa nini umeiweka hapa kuwasemea wengine!

Hawa CDC wa Afrika ni mwanzo tu.

Huku kujibaraguza tunakokufanya sasa hivi hakutakuwa na lolote na wala hakitakuwa chochote, hawa majirani zetu tu wakiweka ngumu juu yetu, tusichanganyike nao kwa vyovyote vile kama tunajifanya kichwa ngumu.

SADC wakisema HAPANA, EAC nao na AU, hata waChina nao hawatavumilia ujinga tunaoufanya sasa hivi.
 
Kwahiyo hicho kikombe walikunywa hao washirikina wawili tu? Kwa taarifa yako ile ilikuwa aibu ya nchi kwa watu waliofia kule, au waliokufa baada ya ule utapeli. Na kama kinatibu mbona watu hawaendi tena?
Muhimbili kwenye madaktari bingwa mbona kuna hadi mortuary mbona watu hufa kibao Babu hakuwa na mortuary hakuna mtu alifia kwake hata awe alipelekwa critical vipi wote walifia kwao kwa kukiukaa masharti sio kwake tofauti na hospitali za muhimbili za ulaya au marekani ambazo zina mortuary na watu kibao wanafia mihospitalini kwao

Kwani Mimi mzee wa kikombe cha babu ni shujaa anayetakiwa kupewa PhD in medicine sababu mamilioni ya wagonjwa waliopelekwa kwake wengi wakiwa hoi hakuna aliyefia mikononi mwake au eneo lake la tiba. ANATAKIWA AWEKWE KITABIU CHA GUINESS BOOK OF RECORDS
 
Muhimbili kwenye hizo mortuary mpaka leo watu wanaenda na huduma zinazotolewa hapo zina ushahidi wa kisayansi, je kwa babu bado watu wanaenda, na dawa zake zina udhibitisho wa kimaabara?
 
Sijui hii uliitoa wapi, na kwa nini umeiweka hapa kuwasemea wengine!

Mkuu chanjo siyo mandatory kuipata, hata huko ulaya na marekani kuna wanaokataa kuchanjwa. Marekani na Ulaya huwa wanazingatia sana maamuzi ya watu kwenye choice ya matibabau yao.

Hivyo hata huku hatulazimishwi, ila kitendo cha wenye mamlaka kukaa kimya tuu bila kuhimiza hatua madhubuti za kujikinga, bila kuweka centers za isolation kama mwaka jana ni sawa na kututoa kafara sisi wananchi wao.
 
olor=teal]Mkuu chanjo siyo mandatory kuipata, hata huko ulaya na marekani kuna wanaokataa kuchanjwa. Marekani na Ulaya huwa wanazingatia sana maamuzi ya watu kwenye choice ya matibabau yao.
Hili ndilo jibu la maneno uliyotumia "...ni kweli sisi sote hatutaki chanjo ya wazungu"?
 
Back
Top Bottom