Connor McGregor afanya vituko hadharani Rome kwa kuzunguka na walinzi wenye miili mikubwa mmoja akimbebea wine kwenye glass

Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,306
2,000
Nikweli nilikuwa mnywaji(sio mlevi) miaka 3 nyuma, nimeacha na sijawahi kukereka kwa chochote afanyapo mtu ambacho mimi sifanyi na hakivunji sheria. Nakushauri jali mambo ufanyao, ishu za watu wengine ambazo huzipendi lakini ni hali na hazi gusi maisha yako achananazo kwa ajili ya ustawi wa moyo na ubongo wako.

Na mimi sijamkataza na kamwe sitamkataza mtu kufanya chochote apendacho jinsi mimi siwezi kukatazwa kufanya chochote kisichovunja sheria lakini hawezi mtu YEYOTE kunizuia kutoa maoni, ushauri au hata onyo kwa ajili ya Watu wanaoweza kupokea mambo hayo na hapo halazimishwi mtu kufuata hayo maoni, ushauri nk,.

Hakuna mtu mwenye AKILI timanu atakayesema Pombe ni nzuri na ndio maana wewe ukaiacha, watu wengi wanakunywa Pombe lakini ndani ya nyoyo zao wangetamani kuacha lakini wanashindwa kutokana na addiction ---- kifupi ni kwamba Pombe ni mbaya hata katika Biblia na Qur'an kwa maana kwamba Mungu hataki watu tunywe pombe, kuichukia kwangu pombe ni kujaribu kutanabahisha umma kwamba pombe sio kitu kizuri, ama upokee au ukatae hiyo ni juu yako WALA SIJALAZIMISHA MTU.
 
kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,286
2,000
Yaani mtu mweusi ndiye mbeba POMBE ya huyo Nyang'au?!!😱---- hii ni dharau kubwa sana, huyo mtu mweusi hajitambui na hajui ; The so called "whiteman superiority", damn shit!!.
Sasa hapa HASIRA zilikuwa za nini? Umemuita mtu Nyang'au, Umeonesha ubaguzi, chochote ambacho huyo black angefanya ungepinga - angebeba begi ungepinga-angembebea simu ungepinga, watu wako smart na kazi zao na wako HAPPY, wewe upo TZ unamaind. Hujui wametoka wapi? wanaenda wapi? Hao walinzi wanamauhusiano nao gani? Kikubwa kila mtu na maisha yake.
 
Mimi sijazungumzia kubeba begi au simu au koti nk, nimehuzunishwa na mtu Mweusi kubeba POMBEEE!!-----

Nikuulize; Hivi kwanini wewe umeacha (pombe) ulevi??
 
kikiboxer

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
1,436
2,000
Yaani mtu mweusi ndiye mbeba POMBE ya huyo Nyang'au?!!😱---- hii ni dharau kubwa sana, huyo mtu mweusi hajitambui na hajui ; The so called "whiteman superiority", damn shit!!.
Utamlipia bill mzee wangu?
Halafu huyo ni mfanyakazi wake regardless ya rangi yake acha ubaguzi as long as wao wamekubaliana na analipwa.
 
Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
14,650
2,000
Wabongo kwa ujuaji eti unaumia kabisa wakati jamaa ni professional personal bodyguard na amelipwa pesa nyingi kwa kazi hiyo.....
Aache kazi utamsaidia wew kulisha familia?
Kuna watu weusi wengi tu all over Europe na America wanahudumia ndugu zao Africa jus kwa kufanya kazi za ndani kwa watu weupe!
Hata asingefanya huyo mweusi angefanya mweupe....pesa inanguvu kuliko chochote kwenye hii dunia
Ndo hivyo Chifu.Kazi ni kazi muhimu mkono uende kinywani.

Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,306
2,000
Utamlipia bill mzee wangu?
Halafu huyo ni mfanyakazi wake regardless ya rangi yake acha ubaguzi as long as wao wamekubaliana na analipwa.

Kwani Mzungu wa kubeba POMBE Kakosekana??!, Sasa huo ndio ubaguzi, wewe huoni huko Ulaya kazi mbaya mbaya tu ni kwa ajili ya watu weusi??!, huo ndio ubaguzi at work.

In Europe, Having the same qualifications as those of a Caucasian the latter has an advantage over a negro.

Nyinyi hamuoni kwakuwa you are myopic in that case.
 
kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
4,286
2,000
Mimi sijazungumzia kubeba begi au simu au koti nk, nimehuzunishwa na mtu Mweusi kubeba POMBEEE!!-----

Nikuulize; Hivi kwanini wewe umeacha (pombe) ulevi??
Wife kaniomba niache, nami nikaona sina chakupoteza na yeye hapendi nikaona isiwe issue, lakini bado kijiweni naenda na washkaji walewale kila mtu anatumia kinywaji akipendacho. Kikubwa komaa na maisha yako, tunaangalia maisha ya wengine na kuwahukumu kumbe sisi wenyewe ni wazinzi, wezi, tunawalipa ujira mdogo watumishi wetu majumbani na kazini, yaani tunabaguana na kudhulumiana wenyewe kwa wenyewe, lakini tunakomaa na kutoa maneno makali kwa wengine.
 
Kama hujui hasara na madhara ya Pombe basi hujitambui, sasa Muulize huyo mama watoto wako aliyekukataza kunywa huo ulevi, labda nahisi kuna siku ulirudi nyumbani ukiwa njwiii na huku umeshika shati na suruali mkononi na umebaki na Underwear mwilini!!!----( pombe ni mwanaharamu)🤣---- hebu mdodose vyema huyo Bibie.

Kuhusu kushika mambo yanayonihusu ni hivi: Binadamu sio mnyama, mnyama kamwe hawezi kumuonya mwenzake, sasa wewe usitake tuishi kama wanyama, Mimi natakiwa nimkosoe mwenzangu na hata wewe ukipenda unaweza bali unatakiwa kama binadamu mkamilifu unayejitambua kumkosoa binadamu mwenzako, na huo ndio ubinadamu, kinachotakiwa ni kutoa nasaha au ushauri au kukosoa ili mtu kama akipenda ajirekebishe bila KUMSHURUTISHA, nikuulize; Hivi huyo mkeo alikushikia fimbo ndipo ukaacha POMBE ??!!----- nadhani uliacha pombe baada ya yeye kukupa nasaha akijua kwamba wewe ni binadamu na mumewe.

Binadamu kamwe, in the sense of humanity rather morality, hawezi kumuacha mwanadamu mwenzake akiangamia huku akiwa na nafasi ya kumrekebisha na aseme; "Shauri yake, atajijua mwenyewe!!"----- huo utakuwa ni UNYAMA na mimi sio mnyama kwani kwa kumpa mtu nasaha njema kwa kazi hiyo pia nitalipwa na Mungu.

Kumbuka pia, ninapotoa nasaha au kukosoa sina maana kwamba mimi ni mkamilifu na ndio maana tunakosoana ili maisha yaende isitoshe kuna Mahakama, polisi nk, vyombo vyote hivyo vipo kwa ajili ya kumjenga mtu/mwanadamu.
 
SirChief

JF-Expert Member
Jun 23, 2014
3,210
2,000
Be specific, kinywaji aina ya POMBE!!, , Kwahiyo huyo ndugu mweusi ni mtaalamu (professional) wa kubeba glass za pombe??!
Point yako kuu haikuwa pombe,uliingiza mambo za race ndio wadau wakakuona huna akili...Kwa hiyo hapo angebeba mtu mweupe wewe roho yako ndio ingetulia?...Mnakuaga offended na vitu vya hovyo sana. Those men are professionals kwenye hiyo kazi,wapuuzi nyie ndio mnatizama mambo ya skin color
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
10,306
2,000
Point yako kuu haikuwa pombe,uliingiza mambo za race ndio wadau wakakuona huna akili...Kwa hiyo hapo angebeba mtu mweupe wewe roho yako ndio ingetulia?...Mnakuaga offended na vitu vya hovyo sana. Those men are professionals kwenye hiyo kazi,wapuuzi nyie ndio mnatizama mambo ya skin color

Motherfucker, (Nimekutukana kwasababu wewe umenitukana).

Hakuna mtu mweupe anayeweza kubeba hiyo Pombe kama jinsi huyo mtu mweusi alivyofanya, Kazi nyingi mbaya huko ulaya zinafanywa na watu weusi au niseme Watu weusi kutokana na "segregation" wanalazimika kufanya kazi hata zinazodhalilisha utu wao mojawapo ni kazi kama hiyo, ili tu waweze kukidhi shida zao, kifupi Umaskini na dhiki vinaweza kumfanya mtu awe mtumwa.

Pombe sio kitu kizuri kwani Dini zote zinapinga Ulevi na ndio maana hata kuna sheria huko Ulaya nk, zinataka mtu aanze kuwa mlevi wa pombe akifikisha miaka 18.

Unapokuja hapa kujibu, linda ulimi wako Punguwani weeee.
 
Licking Wounds

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
2,666

Kubali tu ulijichanganya,umepewa za uso unarudi kujitetea kwa maneno marefuuu!! Tulia,umeshakalishwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom