Connor McGregor afanya vituko hadharani Rome kwa kuzunguka na walinzi wenye miili mikubwa mmoja akimbebea wine kwenye glass

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Jul 5, 2018
6,191
13,614
Ni yule bondia mixed martial arts.
49162711-10091313-image-a-84_1634207418420.jpg
49158577-10091313-Big_star_Conor_McGregor_and_his_fianc_e_Dee_Devlin_stepped_out_o-a-6_1634204...jpg
49162731-10091313-image-a-81_1634207322119.jpg
49162707-10091313-image-a-69_1634207085714.jpg
 
Wabongo kwa ujuaji eti unaumia kabisa wakati jamaa ni professional personal bodyguard na amelipwa pesa nyingi kwa kazi hiyo.....
Aache kazi utamsaidia wew kulisha familia?
Kuna watu weusi wengi tu all over Europe na America wanahudumia ndugu zao Africa jus kwa kufanya kazi za ndani kwa watu weupe!
Hata asingefanya huyo mweusi angefanya mweupe....pesa inanguvu kuliko chochote kwenye hii dunia
 
Yaani mtu mweusi ndiye mbeba POMBE ya huyo Nyang'au?!!😱---- hii ni dharau kubwa sana, huyo mtu mweusi hajitambui na hajui ; The so called "whiteman superiority", damn shit!!.
Dharau gani mwenzio yupo kazini
 
Yaani mtu mweusi ndiye mbeba POMBE ya huyo Nyang'au?!!😱---- hii ni dharau kubwa sana, huyo mtu mweusi hajitambui na hajui ; The so called "whiteman superiority", damn shit!!.
Mtu mweusi ndio nini? Wenzio wapo kazini, tena hao unaweza kuta ni wataalam kabisa, sio washkaji. Mpaka anakupa umbebe kinywaji ni trust ya juu katika kazi.
 
Mtu mweusi ndio nini? Wenzio wapo kazini, tena hao unaweza kuta ni wataalam kabisa, sio washkaji. Mpaka anakupa umbebe kinywaji ni trust ya juu katika kazi.

Be specific, kinywaji aina ya POMBE!!, , Kwahiyo huyo ndugu mweusi ni mtaalamu (professional) wa kubeba glass za pombe??!
 
Be specific, kinywaji aina ya POMBE!!, , Kwahiyo huyo ndugu mweusi ni mtaalamu (professional) wa kubeba glass za pombe??!
Kama kwako pombe ni shida, nini kinakufanya wewe ukereke mwenzio akibeba au akitumia, tena yupo Uingereza.
 
Kama kwako pombe ni shida, nini kinakufanya wewe ukereke mwenzio akibeba au akitumia, tena yupo Uingereza.

Samahani mkuu, naona imekugusa kwakuwa wewe ni mlevi kama jinsi ilivyonigusa ninapoona ulevi ukitukuzwa namna hiyo.
 
Samahani mkuu, naona imekugusa kwakuwa wewe ni mlevi kama jinsi ilivyonigusa ninapoona ulevi ukitukuzwa namna hiyo.
Nikweli nilikuwa mnywaji(sio mlevi) miaka 3 nyuma, nimeacha na sijawahi kukereka kwa chochote afanyapo mtu ambacho mimi sifanyi na hakivunji sheria. Nakushauri jali mambo ufanyao, ishu za watu wengine ambazo huzipendi lakini ni hali na hazi gusi maisha yako achananazo kwa ajili ya ustawi wa moyo na ubongo wako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom