Connor McGregor afanya vituko hadharani Rome kwa kuzunguka na walinzi wenye miili mikubwa mmoja akimbebea wine kwenye glass

unajua kuna watu huitwa butler na kazi yao ni kusimama pembeni ya meza wakati wa kula na kumimina vinywaji ? wamesomea kabisa
yani mtu unasimama kama masaa mawili kusubiri wenzio wamalize kula au kunywa


Huyo anaitwa Butler, je na yule mbemba pombe barabarani kwa ajili ya mlevi anaitwaje??, je naye kasomea kwa kazi hiyo??!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom