jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 22,477
- 43,451
dah..sio siri najuta kumfahamu Magu...hasa serikali yake.
kwanini matusi, mbona unatukana?? wakati ulichoeleza ni kweli... punguza mihemko..nyoko wewe, jk ameacha deni la taifa trilion 40, jamaa kishalifikisha trilion 51 ndani ya miezi 9 tu ya uongoz wake! kuwa mkweli
Msoga for your own fantasy.Msonga = Msoga.
Hata hatujaathirika ila penye ukweli tutausema tu bila kupepesa machoTena nyie wasanii mnaoishi kwa ruzuku za wanaume (hasa wanasiasa) ndio mmeathirika sana na uongozi wa awamu ya tano.
Kumponda haihalilishi kutokuona mema yake, yes watu waliponda lakini hali haikuwa ka ya huyu mtukufu aliyezuia bunge, anaye minya democrasia na asiyetaka freedom of expression. Licha ya kufanya hayo na kuongeza makodi kila mahali kwenye CMU wakati wa Jk hazikuwepo, na hali haikuwa hivi, penye ukweli lazima tuseme tundoo nashangaa leo watu walimponda leo kageuka lulu?
Na mimi nataka kujua mkuu, wasukuma tupeni updates uwanja wenu ulipofikiaUjenzi wa Chato International Airport umefikia wapi?
HAYO NDIO MAAJABU YA JK.MLIIBA SANA LAKINI HAKIKUHARIBIKA KITU.KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*
2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*
3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*
4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*
5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*
6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Dah!! Mkuu umenifurahisha sana[emoji817] [emoji818]Mtalia sana mwaka huu na bado miaka tisa mamaee...mlizoea kula kwa dezo sasa mtachambia sime mm najilia zangu bata cna tabu maana nlitafuta kwa jasho, nyie vishoka wa bandarini, tra, brella ndo mnachambia jiwe maana mlikua mnacheza bao na pull pale mnazi mmoja kidongo chekundu jion mnarudi home na million sasa mmekosa kitonga mnakata roho, kama mlikula bata bila kuwekeza muwah vijijini mkajifie taratibu kwa presha maana mnatuwekea usiku hapa mjini
sure mkuuMzee Mwinyi alikuta Nchi inanuka Uvundo wa dhiki na Umaskini na Hazina kuu haikuwa hata na fedha za kulipia Mzigo wa Mafuta mpaka tulipopigwa Jeki na PM wa Zimba we ya Mugabe Mataifa makubwa yamekata Misaada lakin Ilimchukua Miaka miwili tu Mzee Yule kutokomeza Foleni zote za bidhaa adimu na ndio ukawa Mwanzo wa Nchi kufunguka na watu kuanza kujenga na hata hii Dsm unayoina leo ni Matokeo ya Mwinyi kuvunja Ukiritimba na urasimu wa kijamaa.
Hakuna Rais alieikuta hii Nchi iko hovyo Kama Mzee Mwinyi sema tofauti yake na Marais wengine ni kutojikweza kwake na kujishaua Kama Wenzie.
Mkuu mm nawajua hao jamaa yaani pale kiss kwa ndesa mnazi mmoja na kidongo chekundu kunapojengwa kituo cha michezo madalali walikua wanakaa na cm tu wakipigiwa cm akienda nusu saa anarejea na laki tano, alaf akikukuta umetoka chuo anakuuliza bado unasomaga tu kaka..soma uje kua waziri..daadeki ndo hao wanaopayuka humu ndani maana sasa hata ten inawapiga chengaDah!! Mkuu umenifurahisha sana[emoji817] [emoji818]
Mademu wa uhasibu na chuo cha cbe walikula sana bingo.Mkuu mm nawajua hao jamaa yaani pale kiss kwa ndesa mnazi mmoja na kidongo chekundu kunapojengwa kituo cha michezo madalali walikua wanakaa na cm tu wakipigiwa cm akienda nusu saa anarejea na laki tano, alaf akikukuta umetoka chuo anakuuliza bado unasomaga tu kaka..soma uje kua waziri..daadeki ndo hao wanaopayuka humu ndani maana sasa hata ten inawapiga chenga
ULE UTAFITI WA VICHAA ULIKUWA SAHIHI KABISA, BILA SHAKA WEE NI KICHAA. SASA MASAFI YAKO WAPI? NENDA MUHIMBILI KABLA HALI HAIJAWA MBAYA ZAIDI ANGALAU SASA UNAWEZA KUSOMA NA KUANDIKA UNAKOELEKEA UTASHINDWA KABISA. TAKE CARE USIPUUZE !So stupid. Wewe utakuwa DIVISION 5. MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZ MZUNGUMZIA YULE NDUGU. NI AIBU KWA TAIFA HILI KATIKA MIAKA 10 ALIYOKUWEPO MADARAKAN...aibu kubwa sana. Usitukumbushe machafu