Come back Kikwete: Uliwezaje kufanya yote haya?

Come back Kikwete: Uliwezaje kufanya yote haya?

KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?

1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*

2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*

3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*

4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*

5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*

6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*

HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?

WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]

Nabii huanza kukubalika zaidi zama zake zikishaisha kwa iyo kama ilivyo kwa Kikwete sasa na Magufuli ataliliwa na wengi sana after general election October 2025.
 
Maisha yalikuwa normal kwa sababu watu haswa vihiyo na vishoka ndiyo waliokuwa wanaongoza nchi na wajanja walikula sana Enzi za Kikwete. In short, Kikwete hakufaa kuwa rais kwani wananchi walipotoka kwa kuhisi kufanya kazi serikalini ndiyo mwisho wa maisha kwa sababu ya dili zilizokuwepo. Sasa kaja rais wa kweli na kutokomeza ujinga wote ulioachwa na Kikwete wale vihiyo na vishoka wanalalamika kwa kukosa ulaji.
 
Maisha yatakuwa magumu husipafanya kazi...mkopo kama huna sifa hupati...ndio lazma usipate sio haki yako....mambo yamebadilika
 
hatutaki tena mifisadi kama ile iongoze nchi. na sasa mtamkumbuka sana mliokuwa mnashinda vibarazani kunywa kahawa na kucheza bao. hatutak tena mijigtu mizembe ya kuliibia taifa. hata idd amin kuna watu wanamkumbuka sana, hata hitler au mussolin kuna watu wanamkumbuka sana. kwa hiyo si ajabu akaja mpuuzi mwingine akakumbuka watu wake wa hovyo hovyo

ULE UTAFITI WA VICHAA ULIKUWA SAHIHI KABISA, BILA SHAKA WEE NI KICHAA. SASA MASAFI YAKO WAPI? NENDA MUHIMBILI KABLA HALI HAIJAWA MBAYA ZAIDI ANGALAU SASA UNAWEZA KUSOMA NA KUANDIKA UNAKOELEKEA UTASHINDWA KABISA. TAKE CARE USIPUUZE !
 
Nabii huanza kukubalika zaidi zama zake zikishaisha kwa iyo kama ilivyo kwa Kikwete sasa na Magufuli ataliliwa na wengi sana after general election October 2025.
Kwa huyu jamaa itakua impossible
 
Nawasalimu kwa jina la Muumba wana jamvi.

Ndugu zangu ugumu wa maisha umenifanya niwakumbuke viongozi hawa mahili waliowai kuliongoza taifa letu kwa mafanikio makubwa sana.

Miaka ya kwanza ya utawala wa kikwete na waziri mkuu Lowasa maisha yalikuwa safi maendeleo yalionekana shule za kata zilijengwa wanafunzi wa elimu ya juu walipata mikopo fursa za uchumi zilifunguliwa apa rejea bodaboda, kuanzishwa kwa izi tigo pesa, m pess na nyingine watu walipata ajira walimu wote walikuwa wanapata ajira bila matatizo barabara zilijengwa kwa kasi nk.

Wakati huo nilikuwa namkubali sana Lawasa na Kikwete adi Lowasa anajiuzuru niliumia sana ila baada ya kuaminishwa kuwa ni fisadi niltokea kumchukia sana.

Kumchukia Lowasa kulinifanya nifanye makosa makubwa sana ktk uchaguzi uliopita kwa kumchagua bwana yule anayetaka watu tuishi kama shetani. Nilikuwa na imani kubwa sana juu ya bwana yule kuwa atatuvusha apa Kikwete alipotuacha kumbe nilkosea mtu pekee ambaye angetuvusha ni yule nilieaminishwa miaka michache iliyopita kuwa ni fisadi.

Kwenye ili niwalaumu wana siasa wa upinzani na chama tawala kwa kuniaminisha kuwa jamaa ni fisadi kwa interest zao binafsi pia waandishi hawawezi kukwepa lawama hizi.

Niwalaumu CCM kwa kutompitisha Lowasa kutogombea Urais maana kama angepitishwa kule leo tungekuwa tunaishi kama malaika.

Kutoka moyoni kabisa nimewasamehe viongozi hawa wawili Kikwete na Lowasa ata kama waliiba kweli ila wakati wao mambo yalikuwa yanaonekana Mungu awape maisha marefu
 
Ugumu wa maisha umenifanya nijichukie mimi na watanzania..... Hatujielewi hata kidogo... Hatujui tunataka nini wakati gani, tuna fanya maamuzi kishabiki, tunapenda kusifia hata visivyo sifika..... Tunasahau shida zetu haraka sana... Mungu tusaidie.
 
Nasikia pia shemeji yako anayemuoa dada yako katumbuliwa hapo bandarini, mimi pia kituo changu cha mafuta maarufu kama sheli nimefunga maana mafuta ya wizi kutoka bandarini hakuna! sina namna acha nirudi tu kijijini.
 
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?

1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*

2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*

3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*

4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*

5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*

6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*

HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?

WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
enhee... unakubali kwamba kikwete alileta maisha bora kwa kila mtanzania??? Maana kwenye campaing zenu sikusikia mkimsifu. mlikuwa mnasema hajafanya lolote, inch imeoza na hivyo ccm inapaswa kutolewa madarakani.
 
Zote siasa tu lakini Kikwete kafanya kweli, Mpaka sasa bado ni Rais bora tuliyewahi kupata Tanzania.

Malezi nayo yanachangia vikubwa sana.
Ivi faiza unaweza kunikutanisha na yule mzee
 
Zote siasa tu lakini Kikwete kafanya kweli, Mpaka sasa bado ni Rais bora tuliyewahi kupata Tanzania.

Malezi nayo yanachangia vikubwa sana.
Ndo tofauti ya mtoto wa mjini na mtoto wa mkulima
 
Zote siasa tu lakini Kikwete kafanya kweli, Mpaka sasa bado ni Rais bora tuliyewahi kupata Tanzania.

Malezi nayo yanachangia vikubwa sana.

Hakika kabisa mkuu,baba Kikwete tutamkumbuka sana aisee,hii nchi sasa hivi yaani ule msemo wa mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi alioutoa hivi karibuni kuhusiana na ugari bovu wa uendeshaji wa nchi yetu tukufu naupigia mstari

Naona hata wazee wetu waliotuongoza huko nyuma,sasa hivi wanaona hali halisi ya nchi yetu,hata mzee Msuya nae hivi karibuni aliongelea kuhusu udhaifu wa Serikali yetu,nafikiri kuna mahali tumejikwaa sema watawala sio wasikivu wanabeza kila hata jema linalotolewa na Raia huru wenye mapenzi mema na nchi yao wasio na chama chochote

Wanapaswa kubadilika,hivi vilio sio dalili njema kwa utawala wao,watachukia kila mtu anayeongea ukweli, wasipojiangalia watamuona kila mtoa ushauri ni mchochezi
 
Kikwete ndiye Rais bora baada ya mwinyi Baba yangu alipata degree bure kipindi cha mwinyi mimi nimepata degree ya mkopo kipindi cha kikwete pale Udsm!!

Kikwete alinifanya nipande ndege kwenda nje kufanya research kwa Mara ya kwanza nikiwa chuo.........

Kiukweli hata kama kikwete alifanya makosa madogo madogo still nilimpenda tutakukumbuka daima

Kikwete umenifanya niwe tofauti kwa nafasi yako kwa kukamilisha ndoto baadhi ya ndoto zangu.....

I have better education
I have a job
I have money
I have good friend from udsm and outside the country..

Thanks sana......
Haya hukuyasema kipindi cha campaing.. mlikuwa mna mnanga sana mzee wa watu. So tushawazoea, Rais anakuwa bora anapotoka madarakani. Tunasubiri muweke sifa za magufuli kuanzia 2025.
 
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?

1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*

2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*

3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*

4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*

5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*

6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*

HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?

WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Ngosha nchi ishamshinda Kiburi kinamponza
 
Ugumu wa maisha umenifanya nijichukie mimi na watanzania..... Hatujielewi hata kidogo... Hatujui tunataka nini wakati gani, tuna fanya maamuzi kishabiki, tunapenda kusifia hata visivyo sifika..... Tunasahau shida zetu haraka sana... Mungu tusaidie.
Nyimbo na amsha amsha za kipindi cha kampen ndio zilizowapagawisha watu wakajua kwamba wakimchangua kazi zitakua mbili tu, kuserebuka na mazoezi ya pushap halafu wanatengewa masinia ya wali na kwenda kulala! Leo yamewageukia hata ukiwatafuta huwaoni kila mtu ukimuuliza anakuambia mm sie niliemchagua, mm mpaka nasema pengine kachaguliwa na mungu maana kila unaye muuliza anakataa, mm namba nimezisoma zakitiz hadi nimezimaliza ss ivi nimeanza za kichina naona chenga tu moja haikai wala mbili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom