Come back Kikwete: Uliwezaje kufanya yote haya?

Come back Kikwete: Uliwezaje kufanya yote haya?

Not true,,kaacha deni kama la trillion 30 na hajawayi tumia pesa za mikopo kwenye recurrent expenditures!! Unafiki hautakusaidia ndg yangu!!! Akiyoyafanya J.K in ngumu kwa Mhe kuyafikia hata nusu,! J.K alijali maskini, alijawa na busara, hekima, na upole!! Urais haukumfanya abadilike! Haukuwayi tukana wapiga kura wala kuigiza uzalendo Bali alikuwa mzalendo!! Kama kiongozi aliguswa na shida za watu na si kukebehi!! Hakuharibu mazuri waliyofanya watangulizi wake Bali aliyaendeleza na kuyaboresha!!! Mimi mpaka leo sielewa dhima ya ziara za mhe. Kagera, na mikoa mingine!!! Uzalendo ni pamoja na kujali utu na kuheshimu watanzania!
Inawezekana kwa baadhi. Nakumbuka aliwahi agiza polisi kuwadunda watumishi watakagoma. Alitoa hotuma ya dharau, jazba na kejeli kwa watumishi kupitia mkutano wa wazee Dsm. Alizembea sana kusimamia ukusanyaji wa mapato na kusimamia matumizi kiasi kwamba hazina kuna wakati walishindwa kulipa mishahara kwa wakati. Matokeo ndo hayo, ongezeko la deni la taifa. Anyway kila mmoja aonavyo, ila hastahili sifa saaaana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom