Namala Namala
JF-Expert Member
- Jun 5, 2016
- 227
- 127
na cc wa fao la kujtoa kwenye mifuko ya jamii, tueendelee kusubili et?!Kwnza ndege, then tunahamia dodoma, nyie wanafunzi na wafnykazi mtulie kwnza...
na cc wa fao la kujtoa kwenye mifuko ya jamii, tueendelee kusubili et?!Kwnza ndege, then tunahamia dodoma, nyie wanafunzi na wafnykazi mtulie kwnza...
Pole Sanayaan me nlikuwa na mkataba wa muda na NMB bank, sasa mkataba wangu ukactishwa na mwajiri wang yn NMB, nilienda PSPF kuomba fao la kujitoa nikaambiwa niweke nipeleke vitu vyote vinavohitajika ili kujitoa vyote nkapeleka sasa leo napigiwa cm na NMB head office kwamba hakuna fao la kujitoa mpaka nifikishe miaka 55 na sasa me nna miaka 29 kweli hii ni haki, je sheria ya kutojitoa imeshapitishwa au wanataka kunidhulumu haki yangu.
Yawezekana tulikuwa tunadaganywa hakuna cha hewa wala nini? Kwa vile wengi wetu ni wavivu wa kufanya utafiti na ni wepesi wa kukubali so ni rahisi kudanywa. Kwangu mimi Kikwete ni rais wangu bora kabisa na sababu kubwa sikuwa na wingi wa stress kama za leo, wakati wa kipindi chake.KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*
2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*
3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*
4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*
5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*
6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
yeezus, vunga bhana, duuhOmky umebadili ID?
Wajanja tumeing'amua
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*
2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*
3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*
4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*
5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*
6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Mliamua kuchagua pushup hamna namna sasa!..tutaimba wote wimbo mmoja na mapambio!...
Duuhhh!! Vuta subra miaka 26 co mbali sana. Tumeipenda wenyewe.yaan me nlikuwa na mkataba wa muda na NMB bank, sasa mkataba wangu ukactishwa na mwajiri wang yn NMB, nilienda PSPF kuomba fao la kujitoa nikaambiwa niweke nipeleke vitu vyote vinavohitajika ili kujitoa vyote nkapeleka sasa leo napigiwa cm na NMB head office kwamba hakuna fao la kujitoa mpaka nifikishe miaka 55 na sasa me nna miaka 29 kweli hii ni haki, je sheria ya kutojitoa imeshapitishwa au wanataka kunidhulumu haki yangu.
Msonga = Msoga.Nchi ya kulalamikalalamika tu kila wakati,hivi Nani aliwaambia Rais ndiye anayefanya maisha yawe bora,kama kikwete aliwapa maisha bora kagongeni geti msonga,wanafiki kesho mtasema mnamkumbuka mtukufu.
Mkuu sarafu kuwa juu kuliko sarafu nyingine haimaanishi kuwa nchi ndo inakuwa tajiri. Mfano mzuri ni Msumbiji hela yao inathamani mara hamsini zaidi ya hela yetu,Je unaweza sema Msumbiji ni matajiri kutuzidi?Ukiwa na akili fupi uta muona magufuli sio kiongozi watu mna sahau mabaya ya Jk Nina diriki kusema sija wai ona raisi mbaya kama kikwete na rahisi ambaye Ame ludisha nchi nyuma sana kiamendele uwezi kuniambia hela inatoka 1000 mpaka 2500 ni mandeleo uyu alikuwa mjinga
ha ha ha usijali najua umefanya hivyo kwa sababu wamekupiga banyeezus, vunga bhana, duuh
Ccm 2020 waache mazoea...fomu za urais zitolewe na waachiwe wanachama wagombee. Ya kusema tayari tuna mgombea this time wimbo huo haufai kwa maslahi mapana ya nchi
Ww ni hopeless sikulaumSo stupid. Wewe utakuwa DIVISION 5. MWENYE AKILI TIMAMU HAWEZ MZUNGUMZIA YULE NDUGU. NI AIBU KWA TAIFA HILI KATIKA MIAKA 10 ALIYOKUWEPO MADARAKAN...aibu kubwa sana. Usitukumbushe machafu
Yule ni Dr wa siasa kaka, anaijua siasa nje-ndani.KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*
2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*
3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*
4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*
5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*
6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Msamehe kimeo yule hajatambui, na inawezekana ni yuel aliyekimbizwa wakati ule wa Operation Kimbunga. Hajui kuwa miradi yote mikubwa anayofungu na 1 wa sasa ilitengenezwa na kikwete.Ww ni hopeless sikulaum
Itakuw kama uku kwetu vile. Kura yangu ya 2020 haiko chama kubwaHapo ndo tunakosea dada yangu. Mbona Nigeria wameweza mhula mmoja tu.
ndoo nashangaa leo watu walimponda leo kageuka lulu?Eeh kumbe Kikwete alileta kweli maisha bora kwa kila Mtanzania?