UNAUHAKIKA?Mpaka sasa hii serikali haijajenga ata kilomita 1 ya barabara kutoka kwenye bajeti yake.
Pamoja na ukenge wangu! Watanzania huwa tunatazama vitu kwa ''mafupi yake ''na sio ''mapana yake''! Huyo aliyeanzisha thread anamsifia Kikwete lakini anashindwa kujua kuwa haya matatizo yanayotokea sasa mengi yalisababishwa na huyo anayemsifia. Kikwete alijenga ''uchumi bandia.'' Hakuwa anaangalia mbele zaidi ya mwaka. Kila kitu alikuwa anafanya bila kujali kesho kutatokea nini... Amekopa na kuacha madeni mengi. Na nasema sitaacha ukenge wangu kabla watu akama nyie hamjaelewa umuhimu wa kaziMwanafunzi aliyekosa mkopo, hajafanya wajibu gani! Acha ukenge!
Ujenzi wa Chato International Airport umefikia wapi?
nahisi Jk alikopa sana pia alijua kuongea na wafadhili wakaweka fedha kwenye program kadhaa. Huyu Jp hajui kutafuta marafiki kwaajili ya kudhamini program flaniflani na vilevile kakuta mideni ndii. Mwakajana tulisema kukopa kumezidi serikali ikadai hakunashida inamudu denilake,na kinamwigulu wakapigiwa makofi kwa majibu hayo,leo hii makamu analalamika madeni yanawatesa Sasa najiuliza hii serikali inajua kesho yake kweli?
Hivi tuna viongozi wenye vission kweli? Mbona nikama hawaoni mbele? Leo unapongeza jambo kesho unalalamika linakuumiza? Tizama sasaivi vyuo vya private vingi vitafungwa kwa kushindwa kujiendesha,serikali ilishawishi vyuo viwevingi na kupeleka wanafunzi wengi kwa kuwapa mikopo leo chali mikopo hamna,pesa za kulipa maprof. hamna labda tufuge kuku kwenyehayo majengo!!
Ni hatari kubwa kuongozwa na kiongozi asiyeona mbali( walau miaka mitano mbele).
nyoko wewe, jk ameacha deni la taifa trilion 40, jamaa kishalifikisha trilion 51 ndani ya miezi 9 tu ya uongoz wake! kuwa mkweliNchi ilikuwa inasonga mbele kumbe, loh!! Watz wengi ni watu waongo, wanafiki, na waliojawa na wivu....
Deni la taifa lilifika trillion 50 kama umesahau.....
Sio alikua, ni shujaa!Kwahiyo Kikwete alikuwa shujaa
Sio kila mtanzania lakini at least hali ilikuwa nzuri kulinganisha na sasa. Leo hii Bariadi gunia la Mahindi linauzwa elfu sabini (70,000-) unategemea kuna maisha hapo zaidi ya kurudi kule kwenye mlo Mmoja.Eeh kumbe Kikwete alileta kweli maisha bora kwa kila Mtanzania?
Ha ha ha.... nacheka tu huku nikiwaza, maana sikuhusika na udanganyifu.Mliamua kuchagua pushup hamna namna sasa!..tutaimba wote wimbo mmoja na mapambio!...
Pamoja na ukenge wangu! Watanzania huwa tunatazama vitu kwa ''mafupi yake ''na sio ''mapana yake''! Huyo aliyeanzisha thread anamsifia Kikwete lakini anashindwa kujua kuwa haya matatizo yanayotokea sasa mengi yalisababishwa na huyo anayemsifia. Kikwete alijenga ''uchumi bandia.'' Hakuwa anaangalia mbele zaidi ya mwaka. Kila kitu alikuwa anafanya bila kujali kesho kutatokea nini... Amekopa na kuacha madeni mengi. Na nasema sitaacha ukenge wangu kabla watu akama nyie hamjaelewa umuhimu wa kazi
Matatizo yepi? Uchumi bandia ungelikuwa recorded IMF na WB? Uchumi bandia ungewezaje kujenga barabara? Uchumi bandia ungewezaje kubadilisha mtazamo wa kuona gari na nyumba za kisasa ni vitu vya kawaida? Uchumi wa bandia ungewezaje kujenga UDOM? Uchumi bandia ungewezaje kulipia watu mikopo ya elimu ya juu? Uchumi bandia ungewezaje kujenga madaraja makubwa mamubwa? Uchumi bandia ungewezaje kutengeneza ajira nyingi kote public na private? Dude, kubali huyu jamaa anavuruga zaidi uchumi kwa kutengebeza unnecessary panic.Pamoja na ukenge wangu! Watanzania huwa tunatazama vitu kwa ''mafupi yake ''na sio ''mapana yake''! Huyo aliyeanzisha thread anamsifia Kikwete lakini anashindwa kujua kuwa haya matatizo yanayotokea sasa mengi yalisababishwa na huyo anayemsifia. Kikwete alijenga ''uchumi bandia.'' Hakuwa anaangalia mbele zaidi ya mwaka. Kila kitu alikuwa anafanya bila kujali kesho kutatokea nini... Amekopa na kuacha madeni mengi. Na nasema sitaacha ukenge wangu kabla watu akama nyie hamjaelewa umuhimu wa kazi
acha mkome kwanza mlimtukana sana Jk acha JPM awafundishe adabu wanafiki wakubwaKIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*
2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*
3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*
4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*
5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*
6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Watu wamekuwa vipofu sana. Kwa hakika mi sio fan wa JK, lakini haki yake apewe. Kila kona kaweka kumbukumbu zake.1) Ukiona Maigizo ya Utumishi ya kusaka vyeti bandia Jua hiyo system ya Utumishi imekuwa installed wakati wa JK
2) ukiona Watu wanalalamika ajira za Serikalini kusitishwa Jua ni huyo huyo Jk ndie aliezifungua baada ya kufungwa kwa Miaka 11
3) Ukiona Mwaka wa kwanza tu wa Magu anahenya na Mzigo wa Wanafunzi tambua kuwa Wanafunzi waliopata degree kwa Mkopo wakat wa Jk wanazidi wanatanzania wote waliokuwa na Shahada kuanzia kuumbwa Dunia mpaka 2005
4) Ukiona tunajifaragua Tanzania ya Viwanda Tambua Miradi mikubwa yote ya Umeme ya kuweza kuendesha hivyo viwanda ni Kazi ya Jk
5) Pamoja na Hila zenu na uongo wenu wa kudai Gesi inapelekwa Msoga lakin Jk ndie kaisafirisha kutoka Umakondeni mpaka inapohitajika
6) Ukiona tunataka Kuandamana Nchi nzima kwny Ukuta Jua tunataka Hali ya Demokrasia na uhuru tunataka irudi Kama wakat wa Jk
7) ...
Ya kweli haya mkuu?Sio kila mtanzania lakini at least hali ilikuwa nzuri kulinganisha na sasa. Leo hii Bariadi gunia la Mahindi linauzwa elfu sabini (70,000-) unategemea kuna maisha hapo zaidi ya kurudi kule kwenye mlo Mmoja.
Idara zote za serikali hazijapatiwa hela ya kuendesha ofisi, kwa mwaka huu walipata mara moja tu mwezi July unashangaa ukiingia ofisi za serikali jamaa hawana hata kalamu za kuandikia wanaiba za watoto wao nyumbani. Photocopy ndio imesahaulika wengine wanaandika barua kwa mikono za kiofisi printa hazina wino. Ujima unarudi kwa kasi sana