Come back Kikwete: Uliwezaje kufanya yote haya?

Come back Kikwete: Uliwezaje kufanya yote haya?

Mzee Mwinyi alikuta Nchi inanuka Uvundo wa dhiki na Umaskini na Hazina kuu haikuwa hata na fedha za kulipia Mzigo wa Mafuta mpaka tulipopigwa Jeki na PM wa Zimba we ya Mugabe Mataifa makubwa yamekata Misaada lakin Ilimchukua Miaka miwili tu Mzee Yule kutokomeza Foleni zote za bidhaa adimu na ndio ukawa Mwanzo wa Nchi kufunguka na watu kuanza kujenga na hata hii Dsm unayoina leo ni Matokeo ya Mwinyi kuvunja Ukiritimba na urasimu wa kijamaa.

Hakuna Rais alieikuta hii Nchi iko hovyo Kama Mzee Mwinyi sema tofauti yake na Marais wengine ni kutojikweza kwake na kujishaua Kama Wenzie.
[emoji23] [emoji23] kwel aiseeee
 
[HASHTAG]#comebackkikwete[/HASHTAG] [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Hela inalipa madeni ya kipindi hichoooo na kidogo inayobakia ndiyo inayopatikana
 
1) Ukiona Maigizo ya Utumishi ya kusaka vyeti bandia Jua hiyo system ya Utumishi imekuwa installed wakati wa JK
2) ukiona Watu wanalalamika ajira za Serikalini kusitishwa Jua ni huyo huyo Jk ndie aliezifungua baada ya kufungwa kwa Miaka 11
3) Ukiona Mwaka wa kwanza tu wa Magu anahenya na Mzigo wa Wanafunzi tambua kuwa Wanafunzi waliopata degree kwa Mkopo wakat wa Jk wanazidi wanatanzania wote waliokuwa na Shahada kuanzia kuumbwa Dunia mpaka 2005
4) Ukiona tunajifaragua Tanzania ya Viwanda Tambua Miradi mikubwa yote ya Umeme ya kuweza kuendesha hivyo viwanda ni Kazi ya Jk
5) Pamoja na Hila zenu na uongo wenu wa kudai Gesi inapelekwa Msoga lakin Jk ndie kaisafirisha kutoka Umakondeni mpaka inapohitajika
6) Ukiona tunataka Kuandamana Nchi nzima kwny Ukuta Jua tunataka Hali ya Demokrasia na uhuru tunataka irudi Kama wakat wa Jk
7) ...
Wapinzan watamkumbuka
 
Kama una jamaa yako anafanya kazi serikalini kwenye zile idara zinazotegemea ruzuku ya serikali kuu mpigie simu akupe fact. Jamaa hawana kitu kabisa, hata wino wa printa imekuwa anasa. Hakuna kitu magari yamepaki, barabara za mitaani zina hali mbaya, hata uzoaji taka mitaani ni shida. Ujima umerudi
Asee! Where are we going then?
 
Matatizo yepi? Uchumi bandia ungelikuwa recorded IMF na WB? Uchumi bandia ungewezaje kujenga barabara? Uchumi bandia ungewezaje kubadilisha mtazamo wa kuona gari na nyumba za kisasa ni vitu vya kawaida? Uchumi wa bandia ungewezaje kujenga UDOM? Uchumi bandia ungewezaje kulipia watu mikopo ya elimu ya juu? Uchumi bandia ungewezaje kujenga madaraja makubwa mamubwa? Uchumi bandia ungewezaje kutengeneza ajira nyingi kote public na private? Dude, kubali huyu jamaa anavuruga zaidi uchumi kwa kutengebeza unnecessary panic.
Inatia hasira
 
Ww ndo kichaaa kabisa yani haitaji mkae wa nne ili tuanze kujiuliza. Ivi huoni madeni tunayo daiwa ama yeye alikuwa anakopa tu
Lini wanaokudai walikuja kugonga au kuvunja mlango wako uwalipe wanachokudai? Mnafuata mkumbo tu hamjui madeni yana policy gani. Mnaimbishwa nyimbo ya madeni na nyie mnakubali.
 
Ila watu nime kuja kuona watu ni wapumbavu sana uyo uyo kikwete walimsema ni fisadi chama chake wezi mpiga madili escrow, Hana jimilikisha mali na 90% ya accusation ni sahii namlidiliki hadi kumuunga mkono lowassa ili kumuondoa Lakini magufuli akifanya mandeleo mnasema mbaya mtakuja kusema hadi mwinyi alileta mandeleo tuendelee tu
 
Pamoja na ukenge wangu! Watanzania huwa tunatazama vitu kwa ''mafupi yake ''na sio ''mapana yake''! Huyo aliyeanzisha thread anamsifia Kikwete lakini anashindwa kujua kuwa haya matatizo yanayotokea sasa mengi yalisababishwa na huyo anayemsifia. Kikwete alijenga ''uchumi bandia.'' Hakuwa anaangalia mbele zaidi ya mwaka. Kila kitu alikuwa anafanya bila kujali kesho kutatokea nini... Amekopa na kuacha madeni mengi. Na nasema sitaacha ukenge wangu kabla watu akama nyie hamjaelewa umuhimu wa kazi
Hakuna aliye mkamilifu kwa hyo JK ndo uongozi wake umefanya Leo first year wasiwe na mikopo ajira zisitishwe, hapo siunataka kumsingizia tu Jk. Kila uongozi una mapungufu yake wakati wa Jk niliweza kupata mkopo hata ukiangalia sasa hali inazidi kuwa halafu mnakuja kuleta utetezi eti watu hawafanyi kazi, wamezoea wizi, kwahyo na watu kukosa dawa ni uvivu. At the end of the day uongozi unapimwa kwa kuwarahisishia maisha na sio kuongeza ugumu.
 
Mtalia sana mwaka huu na bado miaka tisa mamaee...mlizoea kula kwa dezo sasa mtachambia sime mm najilia zangu bata cna tabu maana nlitafuta kwa jasho, nyie vishoka wa bandarini, tra, brella ndo mnachambia jiwe maana mlikua mnacheza bao na pull pale mnazi mmoja kidongo chekundu jion mnarudi home na million sasa mmekosa kitonga mnakata roho, kama mlikula bata bila kuwekeza muwah vijijini mkajifie taratibu kwa presha maana mnatuwekea usiku hapa mjini
 
Back
Top Bottom