Come back Kikwete: Uliwezaje kufanya yote haya?

Kwa mwaka uliopita serikali imekola trillion 17,kuna mabadiliko yeyote?
Kukopa kwa serikali si jambo baya ila shida itakuja pale tu deni litakapo kuwa kwabwa na serikali bado itakuwa haijajitengenezea misingi ya kutegemea bajeti itakayo endeshwa kwa mapato ya ndani
 
Kuajiri
Kujenga barabara
Kuongeza mishahara ya watumishi
Kununua dawa mahospitalini
Kuwalipa wabunge mishahara mikubwa

Aliyafanya haya ndani ya muda gani? Ulijiuliza swali hili akiwa na mwaka mmoja madarakani au baada ya miaka 10 alipostaafu. Be fair.
 
JK alipokea nchi deni la taifa lilikuwa around 10 trillions lakini hadi anaondoka ameacha deni la around 40 trillions, mkuu bado tu unauliza aliwezaje kufanya yote hayo? Next time jiongeze kidogo

Very good observation. Awamu ya nne was the worst ever! Nchi iliuzwa. Dawa za kulevya ndio zili-stem, ujangili wa kupindukia, ufisadi wa kutisha, matumizi ya ovyo ya fedha za umma, kutokuwajibika kwa wafanyakazi, watu walifanya shughuli zao tu muda wa kazi, kupolomoka kwa shilingi dhidi ya dola, huduma mbovu za jamii kama hospital kukosa dawa na vifaa, rushwa ilikithiri, kupolomoka kwa elimu mpaka division 5!! Na mkulu kushinda angani kama popo. Kukopa sana badala ya kukusanya kodi. Kisha leo mtu anaamka asubuhi anawahi JF kuuliza aliwezaje?
 
Still I trust magufuli something good is going to happen he is blessed by ALLAH he is the kind of president we were waiting for I think ALLAH brought him to us
 
Inawezekana kwa maana wengi hufikiri mabadiliko ya kihuduma za jamii pamoja na kiuchumi niswala ambalo huchukua muda mfupi kumbe ni mlolongo wa mambo mengi na utakao husisha kuumiza hisia na maisha kiujumla kwa wachache na kufaidisha wengi ambao huchukua mda kidogo tofauti na matarajio ya watu
Je Tanzania tunahuo mwelekeo wa mabadiliko ya kihuduma na kiuchumi?
 
Aliyafanya haya ndani ya muda gani? Ulijiuliza swali hili akiwa na mwaka mmoja madarakani au baada ya miaka 10 alipostaafu. Be fair.
Mkuu nimawazo na fikra tu lakini usisahau tangu kikwete ameingia madarakani alijitahidi kujenga barabara ajira na nk lakn haimainishi tumpime huyu raisi wangu wa sasa kwa mambo yalio Fanyika kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita ndani ya huu mwaka wake mmoja
 
Nimekupata mkuu. Amani.
 
JK alipokea nchi deni la taifa lilikuwa around 10 trillions lakini hadi anaondoka ameacha deni la around 40 trillions, mkuu bado tu unauliza aliwezaje kufanya yote hayo? Next time jiongeze kidogo

Zaidi ya hayo alikuwa hawathibiti mafisadi na wauza madawa ya kulevya!!! Pia aliweza kuwauzia waarabu Twiga na wanyama pori wengine!!
 
Ukiyasema haya tupe na mfumo thabiti ambao utayazuia haya ili wasineemeke wachache ilihali wengi tunataabika
 
Mfumo thabiti ambao utayazuia haya yasirudiwe ni kurejea kwenye kuipitisha katiba wananchi walioipendekeza baada ya kutoa maoni yao kwa tume ya Warioba; ikumbukwe kuwa yale mapendekezo yalipingwa na serikali ya Kikwete kwani yalikuwa yanawawajibisha viongozi hata baada ya muda wao madarakani kukoma!!!
 
Not true,,kaacha deni kama la trillion 30 na hajawayi tumia pesa za mikopo kwenye recurrent expenditures!! Unafiki hautakusaidia ndg yangu!!! Akiyoyafanya J.K in ngumu kwa Mhe kuyafikia hata nusu,! J.K alijali maskini, alijawa na busara, hekima, na upole!! Urais haukumfanya abadilike! Haukuwayi tukana wapiga kura wala kuigiza uzalendo Bali alikuwa mzalendo!! Kama kiongozi aliguswa na shida za watu na si kukebehi!! Hakuharibu mazuri waliyofanya watangulizi wake Bali aliyaendeleza na kuyaboresha!!! Mimi mpaka leo sielewa dhima ya ziara za mhe. Kagera, na mikoa mingine!!! Uzalendo ni pamoja na kujali utu na kuheshimu watanzania!
 
Hakuna nchi isiyo na deni in real world! Chamsingi ni kuwa na deni linalovumilika,,,, na kukopesheka!!
 
Nikweli lakn kwann deni letu liongezeka kwa kasi huku tukiwa na Sera mpya za kiuchumi wakati bajeti nyingi hazitendewi haki Mkuu?
 
Not true,,kaacha deni kama la trillion 30 na hajawayi tumia pesa za mikopo kwenye recurrent expenditures!! Unafiki hautakusaidia ndg yangu!!! Akiyoyafanya J.K in ngumu kwa Mhe kuyafikia hata nusu,! J.K alijali maskini, alijawa na busara, hekima, na upole!! Urais haukumfanya abadilike! Haukuwayi tukana wapiga kura wala kuigiza uzalendo Bali alikuwa mzalendo!! Kama kiongozi aliguswa na shida za watu na si kukebehi!! Hakuharibu mazuri waliyofanya watangulizi wake Bali aliyaendeleza na kuyaboresha!!! Mimi mpaka leo sielewa dhima ya ziara za mhe. Kagera, na mikoa mingine!!! Uzalendo ni pamoja na kujali utu na kuheshimu watanzania!
Mkuu nakubaliana na wewe kwa asilimia kadhaa kwani kwa mazuri yote aliyo yafanya muheshimiwa lakn halmashauri nyingi zilitegemea sana ruzuku kutoka serikalina kuendesha mambo yao lakn pia kwa kipindi chake miradi mingi pia haikutekelezwa kutoka ufisadi uliopindukia je haya tunafanyaje ili nchi yetu inde poa?
 
Mfumo thabiti ambao utayazuia haya yasirudiwe ni kurejea kwenye kuipitisha katiba wananchi walioipendekeza baada ya kutoa maoni yao kwa tume ya Warioba; ikumbukwe kuwa yale mapendekezo yalipingwa na serikali ya Kikwete kwani yalikuwa yanawawajibisha viongozi hata baada ya muda wao madarakani kukoma!!!
Nakubaliana na wewe Mkuu 100% mfumo ndo kula kitu ambao ni kitaba bora
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom