Kupanda ndege umeona la maaaanaKikwete ndiye Rais bora baada ya mwinyi Baba yangu alipata degree bure kipindi cha mwinyi mimi nimepata degree ya mkopo kipindi cha kikwete pale Udsm!!
Kikwete alinifanya nipande ndege kwenda nje kufanya research kwa Mara ya kwanza nikiwa chuo.........
Kiukweli hata kama kikwete alifanya makosa madogo madogo still nilimpenda tutakukumbuka daima
Kikwete umenifanya niwe tofauti kwa nafasi yako kwa kukamilisha ndoto baadhi ya ndoto zangu.....
I have better education
I have a job
I have money
I have good friend from udsm and outside the country..
Thanks sana......
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*
2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*
3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*
4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*
5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*
6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*
2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*
3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*
4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*
5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*
6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?
1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*
2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*
3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*
4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*
5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*
6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*
HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?
WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Sasa hapo tunarudi enzi za Nyerere watu kukosa hata vitu vya muhimu, hatari sanaKama una jamaa yako anafanya kazi serikalini kwenye zile idara zinazotegemea ruzuku ya serikali kuu mpigie simu akupe fact. Jamaa hawana kitu kabisa, hata wino wa printa imekuwa anasa. Hakuna kitu magari yamepaki, barabara za mitaani zina hali mbaya, hata uzoaji taka mitaani ni shida. Ujima umerudi
TE="macho_mdiliko, post: 18126564, member: 9796"]Vyovyote iwavyo lakini nadhani umeelewa somo i.e. awamu hii hakuna kuishi kwa kupiga dili kama awamu anayoikumbuka mwanzisha thread! BTW Hivi wewe ulipokuwa unasikia ''hapa kazi tu'' ulidhani ina maana gani?
Pamoja na ufisadi hali haikuwa mbaya hivi ya watu kufunga biashara, wanafunzi kukosa mikopo sasa magufuli kafanya endeleo lipi.Ila watu nime kuja kuona watu ni wapumbavu sana uyo uyo kikwete walimsema ni fisadi chama chake wezi mpiga madili escrow, Hana jimilikisha mali na 90% ya accusation ni sahii namlidiliki hadi kumuunga mkono lowassa ili kumuondoa Lakini magufuli akifanya mandeleo mnasema mbaya mtakuja kusema hadi mwinyi alileta mandeleo tuendelee tu
Tena nyie wasanii mnaoishi kwa ruzuku za wanaume (hasa wanasiasa) ndio mmeathirika sana na uongozi wa awamu ya tano.Hakuna aliye mkamilifu kwa hyo JK ndo uongozi wake umefanya Leo first year wasiwe na mikopo ajira zisitishwe, hapo siunataka kumsingizia tu Jk. Kila uongozi una mapungufu yake wakati wa Jk niliweza kupata mkopo hata ukiangalia sasa hali inazidi kuwa halafu mnakuja kuleta utetezi eti watu hawafanyi kazi, wamezoea wizi, kwahyo na watu kukosa dawa ni uvivu. At the end of the day uongozi unapimwa kwa kuwarahisishia maisha na sio kuongeza ugumu.
Mkuu acha vichaa wabwate na makalio tu wamezaliwa juz hata wali ulishakua msoc wa.kawaida, wakat anaingia mzee ruksa kula wali ilikua anasa kubwa,no nguo watu walivaa magunia..Waache watoto wa 99 wanye tu lkn mzee akisaidiwa na Lipumba kama mchumi wake ametutoa mbali sasa badala ya kufanya kaz wanangoja wawekewe pesa mifukoni, ngojeni sana na kama hamjafa njaa mjni hapa[emoji23] [emoji23] kwel aiseeee
Well said[emoji122]nahisi Jk alikopa sana pia alijua kuongea na wafadhili wakaweka fedha kwenye program kadhaa. Huyu Jp hajui kutafuta marafiki kwaajili ya kudhamini program flaniflani na vilevile kakuta mideni ndii. Mwakajana tulisema kukopa kumezidi serikali ikadai hakunashida inamudu denilake,na kinamwigulu wakapigiwa makofi kwa majibu hayo,leo hii makamu analalamika madeni yanawatesa Sasa najiuliza hii serikali inajua kesho yake kweli?
Hivi tuna viongozi wenye vission kweli? Mbona nikama hawaoni mbele? Leo unapongeza jambo kesho unalalamika linakuumiza? Tizama sasaivi vyuo vya private vingi vitafungwa kwa kushindwa kujiendesha,serikali ilishawishi vyuo viwevingi na kupeleka wanafunzi wengi kwa kuwapa mikopo leo chali mikopo hamna,pesa za kulipa maprof. hamna labda tufuge kuku kwenyehayo majengo!!
Ni hatari kubwa kuongozwa na kiongozi asiyeona mbali( walau miaka mitano mbele).
push up?Mkuu kudeki barabara ni ujuha tu hata kama lowassa angekuwa rais bora....We umeona wapi barabara inadekiwa kama sio ujinga
Ukiwa na akili fupi uta muona magufuli sio kiongozi watu mna sahau mabaya ya Jk Nina diriki kusema sija wai ona raisi mbaya kama kikwete na rahisi ambaye Ame ludisha nchi nyuma sana kiamendele uwezi kuniambia hela inatoka 1000 mpaka 2500 ni mandeleo uyu alikuwa mjingaHakuna aliye mkamilifu kwa hyo JK ndo uongozi wake umefanya Leo first year wasiwe na mikopo ajira zisitishwe, hapo siunataka kumsingizia tu Jk. Kila uongozi una mapungufu yake wakati wa Jk niliweza kupata mkopo hata ukiangalia sasa hali inazidi kuwa halafu mnakuja kuleta utetezi eti watu hawafanyi kazi, wamezoea wizi, kwahyo na watu kukosa dawa ni uvivu. At the end of the day uongozi unapimwa kwa kuwarahisishia maisha na sio kuongeza ugumu.
Magufuli ameongoza miaka mingapi kikwete alikaa miaka mingapi?? Umeona mikopo ndo standing ground mbona, husemi wabunge walikuwa wanalipwa Kwa 1m kikao cha bunge kipindi iko sisi tulikosa mikopo kipindi cha jkPamoja na ufisadi hali haikuwa mbaya hivi ya watu kufunga biashara, wanafunzi kukosa mikopo sasa magufuli kafanya endeleo lipi.
Hakuna kitu alicho Fanya jk ufisadi watu wana kula pesa, zito anakuja na ushahidi bungeni kuhusu escrow wakina change wana sema yeye kala pesa ndogo, tibaujika anasema pesa za mboga, yuko wapi lugemalila yuko wapi nazili kalamagi ???Pamoja na ufisadi hali haikuwa mbaya hivi ya watu kufunga biashara, wanafunzi kukosa mikopo sasa magufuli kafanya endeleo lipi.
Ni laki mbili ww sio milioni moja usituone sisi wajinga!..Magufuli ameongoza miaka mingapi kikwete alikaa miaka mingapi?? Umeona mikopo ndo standing ground mbona, husemi wabunge walikuwa wanalipwa Kwa 1m kikao cha bunge kipindi iko sisi tulikosa mikopo kipindi cha jk
Mbona hata sasa lugumi kala?Hakuna kitu alicho Fanya jk ufisadi watu wana kula pesa, zito anakuja na ushahidi bungeni kuhusu escrow wakina change wana sema yeye kala pesa ndogo, tibaujika anasema pesa za mboga, yuko wapi lugemalila yuko wapi nazili kalamagi ???