Come back Kikwete: Uliwezaje kufanya yote haya?

Come back Kikwete: Uliwezaje kufanya yote haya?

Wanahadaa watu ETI watu hawafanyi kazi,ni WEZI,Walizoea kuishi kiujanja janja,eti ni Wavivu kumbe hamna kitu!..wanaoteseka ni wananchi hakuna fisadi hata mmoja anayeteseka walishajijenga,Hao hao masikini wanaokifanya eti wanawahutubia kua anawajali ndio wanaonyooka,masikini mmewazuilia ajira,wanyonge mmewanyima watoto wao mikopo,kuna fisadi gani anategemea mtoto wake apewe mkopo wa serikali?au aajiriwe na serikali?ndio maana WATZ wanamkumbuka JK
Mtoto wake yupi ana mkopo?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu wa Kaya wa sasa naye anamkubali sana JK, majuzi hapa wakati akifunga maadhimisho ya siku ya jeshi alimfagilia JK kwa kununua zana za kijeshi za kisasa kabisa, mavifaru yanayopita baharini, Siyo mchezo madude yale!

Pia Majuzi wakati alipomkaribisha Kabila kufungua jengo la mamlaka ya Bandari, Mkuu wa Kaya wa sasa alimpongeza JK kwa kujenga jengo hilo!.

Kiufupi ni kwamba JK kaweka alama katika mambo makubwa ya kimsingi katika nchi hii.

Watu wameanza kuyaona!
Hutumipi mandeleo Kwa majengo, Ayo mambo ndo magufuli kaya kataa uchumi wa karatasi
 
Nanukuu " Mikopo ni haki ya wanafunzi na yeyote atakaye chelewesha mikopo kwa wanafunzi atakiona cha mtema kuniii.. Wa ngoshaaa " kiko wapii sasa hivi zaidi ya kula matapishi yetu na kuisoma namba ... Poor Tanzanian [emoji22][emoji22][emoji22]
 
Hutumipi mandeleo Kwa majengo, Ayo mambo ndo magufuli kaya kataa uchumi wa karatasi
Tunapima maendeleo kwa kuangalia mikopo inapatikana kwa wanyonge,ajira zinapatikana sio kuzizuia,madawa mahosipitalini yapo na sio kwa kununua ndege cash kujionesha you are rich,wkt sukari hakuna kijijini.
 
leo nilikuwa kwenye kijiwe cha bodaboda walikuwa wanampango wa kuwafukuza madereva bodaboda wapya wanadai hawapati pesa,yan kila sehemu anayafutwa mchawi,kumbe hali ngumu tu.
 
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?

1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*

2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*

3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*

4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*

5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*

6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*

HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?

WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]
Mkwele alikua anakopa,sasa hivi serikali ndio ina hangaika kulipa hayo madeni
 
KIKWETE aliwezaje kufanya yote haya?

1. *Kutoa mikopo kwa wanafunzi zaidi ya 80%*

2. *Kulipa mshahara wafanyakazi wote na wale HEWA*

3. *Kuwapa mkopo wanafunzi zaidi 71000 wale ****** wa Udom*

4. *Kuwapa mikopo wanafunzi hewa wa vyuo vikuu waliofutwa mwaka huu*

5. *Hakukusanya kodi ipasavyo*

6. *TRA ilikua shamba la bibi lakini still maisha yalikua normal tu na nchi iliendelea*

HAYA MASWALI NAJIULIZA MWENYEWE SIPATI JIBU? HELA ZIMEENDA WAPI?

WHY TUNATESEKA HIVI AS IF NI WAKIMBIZI
-MKOPO HAKUNA
-DAWA HOSPITALINI HAKUNA
-KODI IKO JUU
-AJIRA ZIMESITISHWA

[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]

God help us..come back Nyerere[emoji27][emoji120]

hapa kuna shida kwakweli, biahsara haziendi. mpaka imefika wakati kama mambo yako hivi bora mafisadi waibe tu. kuliko mateso haya
 
yaan me nlikuwa na mkataba wa muda na NMB bank, sasa mkataba wangu ukactishwa na mwajiri wang yn NMB, nilienda PSPF kuomba fao la kujitoa nikaambiwa niweke nipeleke vitu vyote vinavohitajika ili kujitoa vyote nkapeleka sasa leo napigiwa cm na NMB head office kwamba hakuna fao la kujitoa mpaka nifikishe miaka 55 na sasa me nna miaka 29 kweli hii ni haki, je sheria ya kutojitoa imeshapitishwa au wanataka kunidhulumu haki yangu.
 
Back
Top Bottom