Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,786
- 35,763
Kwa mara ya kwanza namkumbuka mzee JK ...kama kuna mtu yupo msoga amprintie huu uzi ampelekee
Ukilinganisha na magufuli yes ni zaidi ya shujaaLeo hii Kikwete anaonekana shujaa
HahahaHa ha haa!..mnampa uongozi mtu aliezoea shida mnategemea nini?kwake watu kuumia ndio anaona anapiga kazi.
Kwahiyo Kikwete alikuwa shujaaUkilinganisha na magufuli yes ni zaidi ya shujaa
Hakika tumepotea! Tungempata Laigwanani anapenda vizuri yule! hizi shida zote za sasa tuzingezipata.Ha ha haa!..mnampa uongozi mtu aliezoea shida mnategemea nini?kwake watu kuumia ndio anaona anapiga kazi.
Ujenzi wa Chato International Airport umefikia wapi?Mpaka sasa hii serikali haijajenga ata kilomita 1 ya barabara kutoka kwenye bajeti yake.
Kivipi yani?Hahaha chadema ni zaidi ya Jiwe!
Saiv limefika ngapi?Nchi ilikuwa inasonga mbele kumbe, loh!! Watz wengi ni watu waongo, wanafiki, na waliojawa na wivu....
Deni la taifa lilifika trillion 50 kama umesahau.....
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ha ha haa!..mnampa uongozi mtu aliezoea shida mnategemea nini?kwake watu kuumia ndio anaona anapiga kazi.
Povu,...mnazi mmoja zahanati zimejaa teleMpuuzi kabisa wewe...Sindano ya tetenus tu niliitafuta dar nzima nyau wewe unaongea nini hapa
Hapo ndo tunakosea dada yangu. Mbona Nigeria wameweza mhula mmoja tu.Huwezi kurudisha dawa meno kwenye tube yake ukishaikamua, jamani tusonge mbele na kufikiria who will be the president 2025
Mwanafunzi aliyekosa mkopo, hajafanya wajibu gani! Acha ukenge!Ulizoea kunyonya vidonda kama nzi na sasa umekosa cha kunyonya ndio unamkumbukumba mvivu mwenzako sio! Sera ya awamu ya tano ni moja tu: asiyefanya kazi na asile na acha kudai haki bila wajibu!
Tumwache Mzee wa Chato amalize miaka 10, atakuwa wa kwanza tangu katiba ibadilishwe kuwa mihula miwili.Hapo ndo tunakosea dada yangu. Mbona Nigeria wameweza mhula mmoja tu.
Hahahaa umewasahau wazee wa kubadilisha gia angani...Eeh kumbe Kikwete alileta kweli maisha bora kwa kila Mtanzania?