Si ndio hawa hawa clouds ndio walikua wadhamini wa KANGA MOKO NDEMBENDEMBE??? Wanadharirisha sana Mama zetu...
frema120 sikutaka kabisa kuchangia hii issue lakini umeniita nitauliza tu maswali machache:
Change the channel!
Wajaribu kumwiga Bw. Masoud Kipanya na project yake ya maisha plus
frema120 sikutaka kabisa kuchangia hii issue lakini umeniita nitauliza tu maswali machache:
1.wewe unaweza kumruhusu bibi/mama yako ashiriki?
2.unafikiri hao mabibi hawana watoto/wajukuu?
3.hao mabibi walilazimishwa kushiriki?
4.hiki kipindi mpaka kinaonyeshwa siku zote hizo kama kingekuwa kinakiuka maadili si kingefungiwa?? TCRA imekufa??
kwa hio msilaumu tu clouds walaumuni na hao wanaoacha bibi zao 'wadhalilishwe' ukiniuliza mimi sijali kama wameamua wenyewe kushiriki hicho kipindi na hawavunji sheria yoyote ya JMT sawa mimi ni nani niwapangie nini cha kufanya
Wakulaumiwa ni hao mabibi na watoto au wajukuu zao waliowaruhusu kujiingiza katika huo ujinga.
unashangaza.. sasa huyo bibi alieulizwa swali ambalo wala halijui.. kilichomfanya akubali kuwa alikula biology ni niniii?? maana huwezi kuitikia kitu usichokijua na kuwa ati umekifanya na kumbe hujawahi hata kukiona.. huu ni uzoba wa hao kina mama na wala tv haijawadhalilisha. alichotakiwa kufanya huyo mama alitakiwa ajibu kuwa sijawahi kula biology. na wala asingeonekana mjinga.Mimi sio mtazamaji mzuri wa Clouds TV kwa kuwa vipindi vyake vingi ni vya ovyo--havina mvuto wala mafundisho ya maana. Jana, kwa bahati mbaya, nilitazama kipindi cha 'BIBI BOMBA' kinachorushwa na TV hiyo. Nimehudhunishwa sana kuona jinsi bibi na mama zetu wanavyodhalilishwa hadharani. Bibi zetu huulizwa maswali ya kidhalilishaji.
Bibi mmoja aliulizwa kama aliwahi kula mboga inayoitwa 'Biology', akajibu 'ndiyo'. Hili ni swali linalohusu ufahamu na kwa wabibi wale ambao hawakwenda shule, hawajui biology ni nini. Si hivyo tu, hata wale walioishia la saba hawajui biology ni kitu gani. Kuwauliza mabibi swali kama hili ni kuwadhalilisha kitaaluma kwa kuwa tu hawakwenda shule.
Bibi mwingine aliombwa amtongoze kijana yule anayewauliza maswali hadi amkubali. Bibi akatekeleza agizo hilo laivu mbele ya skrini ya TV! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.
Wizara ya jinsia inapaswa kukataza udhalilishaji huu wa kijinsia. Nasi wananchi tuache kushabikia upumbavu huu--tukatae kuwapigia kura bibi wanaoshiriki.
Mimi sio mtazamaji mzuri wa Clouds TV kwa kuwa vipindi vyake vingi ni vya ovyo--havina mvuto wala mafundisho ya maana. Jana, kwa bahati mbaya, nilitazama kipindi cha 'BIBI BOMBA' kinachorushwa na TV hiyo. Nimehudhunishwa sana kuona jinsi bibi na mama zetu wanavyodhalilishwa hadharani. Bibi zetu huulizwa maswali ya kidhalilishaji.
Bibi mmoja aliulizwa kama aliwahi kula mboga inayoitwa 'Biology', akajibu 'ndiyo'. Hili ni swali linalohusu ufahamu na kwa wabibi wale ambao hawakwenda shule, hawajui biology ni nini. Si hivyo tu, hata wale walioishia la saba hawajui biology ni kitu gani. Kuwauliza mabibi swali kama hili ni kuwadhalilisha kitaaluma kwa kuwa tu hawakwenda shule.
Bibi mwingine aliombwa amtongoze kijana yule anayewauliza maswali hadi amkubali. Bibi akatekeleza agizo hilo laivu mbele ya skrini ya TV! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.
Wizara ya jinsia inapaswa kukataza udhalilishaji huu wa kijinsia. Nasi wananchi tuache kushabikia upumbavu huu--tukatae kuwapigia kura bibi wanaoshiriki.
Kama Mama wa Ki-islam huoni kama kina mama wengi 97% wanadhalilishwa jamani!
ulichoandika hapa kinaitwa utumbo!
mabibi wanavyowavalishwa kama mabinti.huo niuzalilishaji mkubwa sana.kuwachezesha miziki ya bongo fleva.hawa watu niwapuhuzi mno iki kipindi kilitakiwa kuendeshwa kinidhamu mno sbb kinawausisha watu wazima.kijana anaekiongoza muhuni tu.hawa mabibi wanakubali sababu ya shida na umaskini waliokuanao
Hao wanajidhadhalisha wenyewe kwanza, nani aliwalazimisha kwenda kujidhalilisha?