Nanaa
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,893
- 3,712
Mi nasema hivi,wale watangazaji ni wapenda chini.Kama unataka kuwa na babu wa kufikia basi endelea kuruhusu bibi zenu kwenda.
Hahahaaaa, kwa hiyo watawakula mabibi wa watu jamani?
Mi nasema hivi,wale watangazaji ni wapenda chini.Kama unataka kuwa na babu wa kufikia basi endelea kuruhusu bibi zenu kwenda.
kuulizwa maswali ya kishule wakati hawakwenda shule, hapo bibi wanadhalilishwa KITAALUMA. the presenter's aim was to humiliate the grans academically--try to make them fools and making that 'folly' known to their viewers. this's pure academic discrimation. kwa wale wenye utovu wa maadili mtaona ni sawa lakini huu ni udhalilishaji wa dhahiri.
Kipanya show yake ni MAISHA PLUS...
unashangaza.. sasa huyo bibi alieulizwa swali ambalo wala halijui.. kilichomfanya akubali kuwa alikula biology ni niniii?? maana huwezi kuitikia kitu usichokijua na kuwa ati umekifanya na kumbe hujawahi hata kukiona.. huu ni uzoba wa hao kina mama na wala tv haijawadhalilisha. alichotakiwa kufanya huyo mama alitakiwa ajibu kuwa sijawahi kula biology. na wala asingeonekana mjinga.
hahaha bibi anaruka hip hop hure oo ee' wangebadil mfumo mzima wa kipindi hakina tija.
wangekifanya kiwe na mafunzo hao bibi wangetufunza kusuka vikapu na vingne ving wanaweza c kuwaambia wavae milegezo,nmesense kbs
Kuwa na heshma kwa wakubwa mkuu hata kama nawe ni mkubwa bac nivyema uwaheshim wengine
kuulizwa maswali ya kishule wakati hawakwenda shule, hapo bibi wanadhalilishwa KITAALUMA. the presenter's aim was to humiliate the grans academically--try to make them fools and making that 'folly' known to their viewers. this's pure academic discrimation. kwa wale wenye utovu wa maadili mtaona ni sawa lakini huu ni udhalilishaji wa dhahiri.
Mimi sio mtazamaji mzuri wa Clouds TV kwa kuwa vipindi vyake vingi ni vya ovyo--havina mvuto wala mafundisho ya maana. Jana, kwa bahati mbaya, nilitazama kipindi cha 'BIBI BOMBA' kinachorushwa na TV hiyo. Nimehudhunishwa sana kuona jinsi bibi na mama zetu wanavyodhalilishwa hadharani. Bibi zetu huulizwa maswali ya kidhalilishaji.
Bibi mmoja aliulizwa kama aliwahi kula mboga inayoitwa 'Biology', akajibu 'ndiyo'. Hili ni swali linalohusu ufahamu na kwa wabibi wale ambao hawakwenda shule, hawajui biology ni nini. Si hivyo tu, hata wale walioishia la saba hawajui biology ni kitu gani. Kuwauliza mabibi swali kama hili ni kuwadhalilisha kitaaluma kwa kuwa tu hawakwenda shule.
Bibi mwingine aliombwa amtongoze kijana yule anayewauliza maswali hadi amkubali. Bibi akatekeleza agizo hilo laivu mbele ya skrini ya TV! Huu ni udhalilishaji wa hali ya juu.
Wizara ya jinsia inapaswa kukataza udhalilishaji huu wa kijinsia. Nasi wananchi tuache kushabikia upumbavu huu--tukatae kuwapigia kura bibi wanaoshiriki.
nimecheka comment za humu ndani lol..............
basi home ndio wanakipend hiko kipindi kweli mie nikatizama
hiyo siku walikua wanarembwa jamani jamani ilikua balaa halafu walivyorembwa
wakaambia watembee kkama mamiss
frema120 sikutaka kabisa kuchangia hii issue lakini umeniita nitauliza tu maswali machache:
1.wewe unaweza kumruhusu bibi/mama yako ashiriki?
2.unafikiri hao mabibi hawana watoto/wajukuu?
3.hao mabibi walilazimishwa kushiriki?
4.hiki kipindi mpaka kinaonyeshwa siku zote hizo kama kingekuwa kinakiuka maadili si kingefungiwa??
TCRA imekufa??
Wakulaumiwa ni hao mabibi na watoto au wajukuu zao waliowaruhusu kujiingiza katika huo ujinga.
Chukua majibu sasa.
Siwezi
Wanao watoto, ila hawajiele kama wewe.
Njaa tuu, na mfumo mbaya wa serikar hii juu ya wazee wetu.
Walifungiwa, radio imani lakini cloudfm walipigwa faini kisani.
Ipo jengo tu sam njomaa road.