Broja na Jackson sikio la kufa unamuacha Mudryk/Sterling na Nkunku halafu unamuweka Jackson na Broja uwanjani. Sterling ameonyesha kuwasumbua sana hawa Luton halafu eti leo amemuweka nje. Wale mnaomtetea Poche tokeni huko mje kujibu maswali
Bora hata Jackson naonq kwenye winger anajitahidi kuliko broja
 
Palmer tena, goli zuri sana na assist nzuri sana kutoka kwa Jackson
Naona Jackson akicheza kama winger ana faida kuliko akicheza kama striker
0-3
 
Siku nyingine tena tunar
Palmer tena, goli zuri sana na assist nzuri sana kutoka kwa Jackson
Naona Jackson akicheza kama winger ana faida kuliko akicheza kama striker
0-3
changamoto ya jackson ni finishing na decision akiboresha hivyo atakuwa vizuri
 
hii ilikuwa inaonekana tangu mwanzo tu tumewaruhus Luton kuwa mchezon tangu mwanzon yani hata baada ya kuongoza bado tukawa tunawaruhus Luton
 
Sasa ndio Pochettino anashtuka, Mabeki walitakiwa wafanyiwe mabadiliko mapema sana
 
Back
Top Bottom