Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Santos naye anarudi wazee
Sasa sijui hilo Lundo la wa hezaji kwenye mildifield itakuwaje , ni naona Ugochukwu ni takataka ,hafai
Huyu auzwe ,Santos ndio apewe Chance ,Dogo alionyesha kitu kwenye pre season na ana talent ya mpira mguuni
Fala Sana Pochetino , kupoteza talent kama ya Santos inaniuma Sana
 
Caicedo sio DM mzuri zaidi anavyocheza box to box. Pochettino amejaribu kumchezesha DM na Enzo mbele ikakataa, Caicedo kaanza kuoneka mzuri aliporuhusiwa kucheza box to box. Anahitaji uhuru wa kukaba ba kushambulia. Labda Lavia anaweza kucheza nafasi ya DM

Arsenal wana hamis77 while Chelsea wana lembu hawa Watu wamefanana kwa kila kitu mpaka chambuzi zao.

Unaweza kuta wanapiga uchambuzi utadhani ni kina Ian Right lakini ukiwafuatilia utagundua wanavyoviongelea hata havi-exist ni myth na stori za kufikirika.
Kiufupi wanaongelea vitu ambavyo havipo bali wanabuni tu.
 
Arsenal wana hamis77 while Chelsea wana lembu hawa Watu wamefanana kwa kila kitu mpaka chambuzi zao.

Unaweza kuta wanapiga uchambuzi utadhani ni kina Ian Right lakini ukiwafuatilia utagundua wanavyoviongelea hata havi-exists ni myth na stori za kufikirika.
Kiufupi wanaongezeka vitu ambavyo havipo bali wanabuni tu.
Ndio mchongaji, mimi nahudhuria discussions nyingi za wachambuzi wa soka na kulinganisha na ukweli wa yanayotokea uwanjani. Ila wewe ni mchongaji wa maneno tu na mropokaji. Unapoingilia mada au ku question argument ya mtu mwingine weka hoja sio porojo
 
Argument za Caicedo ni DM au B2B zipo na ni hot na ushahidi wa mechi alizocheza Caicedo pia unaongezea hiyo debate
Mechi mbili za mwisho Caicedo alicheza kama B2B na alicheza vizuri kuliko alipoanza alicheza kama DM na hakucheza vizuri
Sio kwamba Caicedo sio DM kwa sababu hata B2B midfielder ni DM ila DM huru kwa lungha rahisi
Caicedo anapenda kuwa huru akicheza nyuma kama DM na hapo hapo akicheza mbele kama attacking midfielder. Hii role inampa nafasi ya kucheza uwanjan mzima. Sasa ukiongea hii lugha kuna wapendwa wa Livakuku wakija huku kwetu wanajifanya wajuaji kweli na sidhani hata kama wanawafuatilia wachezaji wanaosemwa kwenye mijadala!

Ukweli ni kwamba Caicedo ni B2B zaidi ya DM
Enzo ni Regista, nafasi aliyokuwa anacheza Jorgninho na akija Lavia may be yeye ataweza role ya DM??
Kwa sababu hii ndio maana uongozi wanalazimisha kumuuza Gallagher hata kama Pochettino anasisitiza sana asiuzwe kwa sababu ni mcheza muhimu kwenye hii project.
Na huu ukweli kama Pochettino ni liberal manager anatakiuwa kubadili line up kutoka 4-2-3-1 kwenda 4-3-3

1704174745335.png
 
View attachment 2859754
Upo sahihi sijui kwanini watu wa Liverpool na Arsenal wanaanza fuvu kwenye jambo ambalo Lipo wazi
 
Conor Gallagher
SELL OR KEEP?

Never get tired
Never get injured
Never go low form
No tattoos
No scandles
No hypes
No too much talk
Deffensive ability= Very Strong
Paasing ability= Strong
Key passes = strong
Tackling = strong
Ball recoveries = strong
Interceptions = strong
Where to get a midfilder like him?
1704184209480.png
 
So far ndio role ameicheza vizuri japo bado anatakiwa kujiongeza zaidi kama aalivyofanya kule Brighton
System aliyoikuta ya Pochettino pia inabana
Yah aboreshe kwenye kufanya maamuzi ya haraka pale anapopokea pasi, pia kuwa kwenye box sahihi kwa wakati sahihi.
 
Darwin Nunez:
5 goals
15 Big chances missed

Nicolas Jackson
7 goals
12 Big chances missed
Jackson ana miak 22 tu
Nunez ana miaka 24
Akicheza kama winger namuona Jackson ujasiri ukimrudia na kucheza vizuri zaidi
Mudryk itabidi avute soksi yake sana kwa sababu hizo nafasi sasa zina upinzani mkubwa

LW wapo hawa
  1. Nkunku(pia nacheza RW, no. 10 na no. 9
  2. Jackson (Anacheza pia striker na no. 10)
  3. Sterling (anaweza pia cheza RW, No. 10 na No. 9)
  4. Mudryk mwenyewe (Anaweza pia cheza No. 10, RW na no. 9)
  5. Chukwuemeka (anaweza pia cheza no. 10, CM)
 
Conor Gallagher
SELL OR KEEP?

Never get tired
Never get injured
Never go low form
No tattoos
No scandles
No hypes
No too much talk
Deffensive ability= Very Strong
Paasing ability= Strong
Key passes = strong
Tackling = strong
Ball recoveries = strong
Interceptions = strong
Where to get a midfilder like him?
View attachment 2859891
Na physic yupo imara kwelikweli,na sio mfupi huyu jamaa pia epl ni adivantege.
 
Conor Gallagher
SELL OR KEEP?

Never get tired
Never get injured
Never go low form
No tattoos
No scandles
No hypes
No too much talk
Deffensive ability= Very Strong
Paasing ability= Strong
Key passes = strong
Tackling = strong
Ball recoveries = strong
Interceptions = strong
Where to get a midfilder like him?
View attachment 2859891
Passing ability, strong ipi hiyo. Kama back pass hapo sawa. Kwenye pass 10. Pass 9 zote back pass. Sasa kunamchezaji humo.
Nasikitika tulimuuza Gilmor anapga pass tu huko Brighton tukabaki na hii ng'ombe.
 
Gallagher pass ability yake sio nzuri, anapiga pass mbovu nyingi kupelekea kupoteza mpira mara kwa mara.

Udhaifu mwingine mkubwa pale anapopokea pass anachelewa kufanya maamuzi ya haraka ya kutoa pass, mpaka adui anamfikia kumpa presha ndio anajikuta ametoa pass mbovu, kuchezewa rafu au kunyang'anywa mpira.

Gallagher ni mzuri asipokuwa na mpira zile vurugu zake za kukimbia kimbia na kutoa presha kwa adui, kuintercept pass, kuvuruga mipango ya adui ndio faida kubwa anayotupa.
Umemaliza kila kitu, angefanyia kazi hayo madhaifu, na kuwa na jicho la kupga pasi, basi angekua ni Ngolo Kante wa kizungu. bonge moja la mchezaji.
 
Passing ability, strong ipi hiyo. Kama back pass hapo sawa. Kwenye pass 10. Pass 9 zote back pass. Sasa kunamchezaji humo.
Nasikitika tulimuuza Gilmor anapga pass tu huko Brighton tukabaki na hii ng'ombe.
Sio kweli, mmejenga tabia ya kumchukia Gallagher pasipo sababu. Sio mchezaji mzuri sana kama akina Kante lakina sio mbaya kama mnavyombeza. Passing ya Gallagher iko strong kwa maana ya 70+%,
Udhaifu mkubwa wa gallagher ni kwenye mipira ya vichwa na kupiga penalty.
Ngoja aende Spurs wote mnaombeza mtajuta. Majuto kwa Chelsea yatafutika tu tukimpata bora zaidi yake ila tukimkosa na akaondoka, tutabakia na majuto
 
Gallagher pass ability yake sio nzuri, anapiga pass mbovu nyingi kupelekea kupoteza mpira mara kwa mara.

Udhaifu mwingine mkubwa pale anapopokea pass anachelewa kufanya maamuzi ya haraka ya kutoa pass, mpaka adui anamfikia kumpa presha ndio anajikuta ametoa pass mbovu, kuchezewa rafu au kunyang'anywa mpira.

Gallagher ni mzuri asipokuwa na mpira zile vurugu zake za kukimbia kimbia na kutoa presha kwa adui, kuintercept pass, kuvuruga mipango ya adui ndio faida kubwa anayotupa.
Total ly mkuu, hamfuatilii Gallagher, hata kama sio elite player kwenye hiyo nafasi lakini huu upondaji haukubaliki kabisa
Gallagher anapenda short passes na acuracy yake kwenye kila mechi fairly ni karibu na 90-95%
Mfutailie na mhukumu, msije mkamhuklumu wakati hata hamfuatilii
Mifano iko nyingi na stats zake zipo. acheni huo unyanyapaa sio mzuri
 
Kwa kweli naona Gallagher wanamchambua kwa chuki ni kweli Gallagher alikuwa sio Mzuri kwenye pass lakini msimu ameniweka sana kwenye upigaji wake wa pass ana 70+ ya accurate pass nazani hawa wanamzungumzia wa zamani. Jambo muhimu sana kwa huyu mchezaji hana record mbaya ya injuries yupo bora pia upande tunaweza tukamuuza alafu tukaleta kitanda cha mgonjwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom