juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Another Day, Tunaruhus goal la kichwa
Huwa nasema hapa siku zote uzuiaji wetu unatia mashaka tukipelekewa moto tu lazima turuhusuHii game itaisha 3-3 sijajua tunazuiaje ni ujinga ujinga tu
Dk sita za moto sana weka mudrky ,nkunku muache maduake,yeye kamuweka nkunku kamtoa madueke ,kamuweka enzo ni vituko vituko tu kwa coach wetu ,coach hajielewi.Kuzuia hatuwezi unaacha kushambulia.Sasa ndio Pochettino anashtuka, Mabeki walitakiwa wafanyiwe mabadili8ko mapema sana
Kocha ndio shida.Ushindi wa mchongo sana, Chelsea tuna shida wapi, ni viungo wetu dhaifu au mabeki
Najua Disasi ni mmoja wa mabeki wazito sana
Ila jamaa ni kichwa maji sana yule , yaani hajifunzi na kubadilika , pumbavu sanaPoch out
Inatosha sasa tumeshinda lakini tunaruhusu magoal yale yale kila siku
Enzo hakuhitajika kabisa muda huo tulikuwa tumeanza kulemewa, Ilihitajika kubadili form kwa kuweka mabeki watano na viungo wakabaji 3-5-2 ingefaa sanaDk sita za moto sana weka mudrky ,nkunku muache maduake,yeye kamuweka nkunku kamtoa madueke ,kamuweka enzo ni vituko vituko tu kwa coach wetu ,coach hajielewi.Kuzuia hatuwezi unaacha kushambulia.