Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kashajitoa akili huko

-----------Broja ------------------

Jackson ----- Plamer ------Madueke

---Caicedo ------------Gallagher---

Colwill -----Silva-----Disasi ----Gusto

-------------Petrovic-------------
Broja na Jackson sikio la kufa unamuacha Mudryk/Sterling na Nkunku halafu unamuweka Jackson na Broja uwanjani. Sterling ameonyesha kuwasumbua sana hawa Luton halafu eti leo amemuweka nje. Wale mnaomtetea Poche tokeni huko mje kujibu maswali
 
Anaitwa Cold Plamer
Kahusishwa na Magoli 11 kwenye mechi 17 msimu huu
1703941652397.png
 
Broja na Jackson sikio la kufa unamuacha Mudryk/Sterling na Nkunku halafu unamuweka Jackson na Broja uwanjani. Sterling ameonyesha kuwasumbua sana hawa Luton halafu eti leo amemuweka nje. Wale mnaomtetea Poche tokeni huko mje kujibu maswali
Bora hata Jackson naonq kwenye winger anajitahidi kuliko broja
 
Huyu broja sijui mpaka sasa anafanya nini

Tunaongoza ila hakuna chochote tunachokifanya
 
Palmer tena, goli zuri sana na assist nzuri sana kutoka kwa Jackson
Naona Jackson akicheza kama winger ana faida kuliko akicheza kama striker
0-3
 
Siku nyingine tena tunar
Palmer tena, goli zuri sana na assist nzuri sana kutoka kwa Jackson
Naona Jackson akicheza kama winger ana faida kuliko akicheza kama striker
0-3
changamoto ya jackson ni finishing na decision akiboresha hivyo atakuwa vizuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom