lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,482
Natamani sana Fofana arudi haraka, Disasi sio beki wa kumtegemea. Akiwekwa mchakamchaka hawezi kabisa. Kaingia Chong ikawa balaa kwake, alishindwa kabisa kumdhibiti japoo Poche alichangia kabisa. Tulipoanza kulemewa tukiwa 3-0 alitakiwa tu kuweka ulinzi shirikishi wa backline ya 5
3-5-2 ili mabeki wawe protected
3-5-2 ili mabeki wawe protected