Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hongereni kenge. Sasa mmempa tottenham usongo wa kuwapiga city (na liverpool), kitu ambacho sisi tunataka
 
Kwa haraka harak nilichogundua
Disasi n Badiashile wakicheza pamoja kuna makosa mengi sana tule tupass twa disas nikama twa uchonganishi na nimtu anaewahi kupanic akiletewa pressure.
 
Habarini the blues hongereni sana timu yetu imekuwa title contender dk za mwishoni hadi Arsenàl na Liverpool wanashangaa tunaweza tukawapiku wakijisahau. CUCU amekuwa jogoo pale katikati. Palmer amekuwa KDB na Caiceďo amekuwa Caicedo OG. Galagher na Caicedo untouchiable kwenye pivot ya katikati ya uwanja. Badiashile a.egeuka kuwa Goodshile akicheza na Chalobah
Todd anakenua meno hadi la mwisho ya furàha kwa sababu ya mahèla mengi kwa:
1) Maatsen bei imepanda
2) Galagher bei imepanda
3) Chalobah dàu juu sana
4) Gilchrist akijifanya anajua mpira naye atapigwa mnada
Sisi Todd and co tunapenda mahela kuliko timu na makombe
 
4 MOTM

1) Chalobah
2) Caicedo
3) Cucuella
4) Badiashile
 
Wakisema hii timu ina average players
Warudi hapa na kutaja mmoja mmoja nàni takataka?
Wasimtaje tu Mudryk, huyo bado muda wàke atawashushua wengi
 
Habarini the blues hongereni sana timu yetu imekuwa title contender dk za mwishoni hadi Arsenàl na Liverpool wanashangaa tunaweza tukawapiku wakijisahau. CUCU amekuwa jogoo pale katikati. Pal.wr amekuwa kdb na Caiceďo amekuwa Caicedo. Galagher na Caicedo untouchiable. Badiashile a.egeuka kuwa Goodshile akicheza na Chalobah
Tody anakenua meno ya furàha ti kwa sababu ya mahèla mengi
1) Maatsen bei imepanda
2) Galagher bei imepanda
3) Chalobah dàu juu sana
4) Gilchrist akijifanya anajua mpira naye atapigwa mnada
Sisi Todd and co tunapenda mahela kuliko timu na makombe
Kutupiku tukijisahau, msimu huu ama kama 10 mbeleni?
 
Game zetu zilizobakia (pts 51)
Vs West ham (H)
Vs Nottingham Forest (A)
Vs Brighton (A)
Vs Bournemouth (H)

Man Utd game (pte 54)
Vs Crystal Palace (A)
Vs Arsenal (H)
Vs Newcastle (H)
Vs Brighton (A)

Newcastle (Pts 51)
Vs Burnley (A)
Vs Brighton (H)
Vs Man Utd (A)
Vs Brentford (A)
 
Wakisema hii timu ina average players
Warudi hapa na kutaja mmoja mmoja nàni takataka?
Wasimtaje tu Mudryk, huyo bado muda wàke atawashushua wengi
Kwahiyo mechi ya jana tumeshinda bila coaching ability? Yaan unataka kumaanisha hawa wachezaji ambao sio average(kwa mujibu wako) ndio wamepelekea tumepata ushindi bila kuwa na effort ya kocha.
 
Kitu kizuri ni kwamba tumeshinda lakini jambo jema zaidi ni kwamba benchi la ufundi la wachezaji sasa wanaonesha kurekebisha makosa yao. Wachezaji wanajituma na kusikiliza wanachoambiwa.

Jackson positioning yake mpaka kupata lile goli. Ana juhudi ila makosa madogo madogo apunguze. Cucurela superb, Galagher majestic hasa akicheza chini ya namba 10, Caicedo akicheza bila Enzo naona ndio anakua wa moto zaidi, Chalobah anarudi kule tunakotamani wengi.

Hatuko FA na tumebakiza mechi 4 tu kama timu itaendelea hivihivi tunaweza maliza nafasi nzuri mzimu ujao na points 63.
 
Kwahiyo mechi ya jana tumeshinda bila coaching ability? Yaan unataka kumaanisha hawa wachezaji ambao sio average(kwa mujibu wako) ndio wamepelekea tumepata ushindi bila kuwa na effort ya kocha.
Ability ya coach jana na game za aston villa ndio tumepata point ila Poch ni mjinga kitu anachokitumia jana ndio alichokitumia pre season why aliacha hiyo approach wakat league imeanza yani anashtuka almost league ishaisha na tuko katika hali mbaya

Imemchukua miezi 8+ kurudi kwenye kitu alichokuwa anakifanyia kazi pre season why .
 
Ili muendelee kuwa nae next season. We call it karma or fate 😁
 
Kwahiyo mechi ya jana tumeshinda bila coaching ability? Yaan unataka kumaanisha hawa wachezaji ambao sio average(kwa mujibu wako) ndio wamepelekea tumepata ushindi bila kuwa na effort ya kocha.
Mkuu nahisi kuna point umeimiss hapo,
Anyway kwa jinsi nilivyoelewa
Wachezaji wengi wanaonekana average (kama watu wanavyodai) kwa sababu ya setup ya kocha, kukomalia kitu ambacho kishafeli,

Ila setup nzur ya team inawafanya hawa wachezaji waonekane bora na waonyeshe uwezo wao walio nao.
Game 2 za hivi karibun tactical change za poch tunaonekana ni bora kuliko tulivyokuwa huko mwanzo.
 
Ability ya coach jana na game za aston villa ndio tumepata point ila Poch ni mjinga kitu anachokitumia jana ndio alichokitumia pre season why aliacha hiyo approach wakat league imeanza yani anashtuka almost league ishaisha na tuko katika hali mbaya

Imemchukua miezi 8+ kurudi kwenye kitu alichokuwa anakifanyia kazi pre season why .
Ndugu kila kitu ni process hasa kwenye hii FOOTBALL, Kila mara kocha na bench lake watafanya kila wanachoona kinawafaa ili mradi kutimiza kile wanachokusudia. Kwa hiyo nikuombe kuwa na subira kwasababu hata hiyo formation uliyoiona jana katumia yawezekana mechi ijayo akaja na formation nyingine tofauti. Kwa sababu yeye pengine anahitaji zaidi ya hiki ambacho pengine sisi tunahisi ni bora. Lakini pia kila mfumo wa uchezaji huendana na wachezaji waliopo kipinfi kile cha pre season hatukua injuries tulizonazo sasahivi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom