Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,790
- 4,284
Mshabiki ninaona kabisa kuna shida lakini coach mwenye kazi yake wala ajisumbui,key player wawili Palmer , Sterling wanakosa mechi kwa yellow card kwa wakati mmoja coach wala hajisumbui,coach anaye winga nje anampanga beki kuwa winga kiufupi anafanya trial and error,kiufupi mashabiki tuko serious kuliko coach.Shida ya Broja na Jackson inajulikana na sisi hatuzungumziii huko
Shida inaanzia hasa kwa mabeki na viungo
CB wanne bila fullback unategemea nini
Amemjaribu Enzo kwenye namba 10 amekuwa ineffective ila yeye analazimisha tu
Mchezaji yuko hovyop uwanjani anamuacha hadi dakika 90 ziishe
Shabiki anayefuatailia mechi haya madhaifu anayajua kabisa