Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,224
- 3,845
Kumbe pale katikati alijaza watu na sio wachezaji?CHELSEA 3 BRIGHTON 2 Game kali sana hii leo , Chelsea wameonyesha kitu leo !! Poch leo alikuja na plan ya kujaza watu wengi kati kuharibu kampa kampa ya Brighton na alifanikiwa sana ! Brighton walimiliki mipira bila madhara !! Corner mbili walizo Bata Chelsea ndiyo ziliwapa goli za chap hii mie naita mipira ya kufa ( kutenga ) maana ki movement Chelsea vwalifeli , Chelsea wana pata goli la tatu kwa kosa la refa kushindwa kutafsiri VAR , Penalty" mchongo " 🥸🥸 penalty waliyo pewa Chelsea kosa kama hilo Brighton ana nyimwa penalty na refa hata kwenye VAR haendi ki check 🥸🥸🥸 , dakika za usiku kabisa beki wa Chelsea ana rukia mpira juu na ku save kwa mkono , refa ana dai hand ball no penalty hand ball mpira ufuate mkono si mkono ufuate mpira , hayo mambo kwa Bongo " refa kapewa bahasha kumbe ni weredi Mdogo tu