Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Timu sio ya Pochettino, timu ina wamiliki na viongozi kibao kwenye kila idara.

Wanawajibika moja kwa moja kwenye performance ya timu uwanjani.

Nao wanamshauri kocha na pia na wao wanafanyia kazi mapungufu mengine ndani ya uwanja na nje ya uwanja.

Timu ni taasisi sio mali ya kocha.
At the end of the day mwenye mamlaka ya mwisho kwa wachezaji na uchezaji na mazoezi ni Kocha, hawezi kwepa huyu. Wenye timu wanaweza kumtimua tu lakini hawawezi kumuingilia kwenye maamuzi. Washauri nao ni hivyo hivyo tu, wanamshauri akikataa basi tena. 100% Kocha anawajibika timu ikifanya vizuri au vibaya.

Kwani ni kipi hakieleweki hapa. Tuanze kumuuliza Boehly kwa nini timu inafanya vibaya? Wao walimaliza upande wao kwenye usajili na kuajiri watum,ishi mbalimbali wa kumsaidia Pochettino.

Benchi la ufundi hawawezi kumuingilia kocha zaidi ya kumsaidia ushauri na mafunzo kwenye nyanja zao

Bado kidogo tu hii Chelsea nitaiacha na kujiuzulu kushabikia mpoira kabisa, mimi siwezi kuwa mshabiki wa Arsenal miaka 10+ bila ushindani wa dhahiri
 
Acha uoga wewe lembu. Unazoea tuu mbon simple
 
Kusajili lundo la wachezaji sio factor ya timu kufanya vizuri. EPL sio NBC.

Kocha anajitafuta kuoganise hilo lundo la wachezaji wapya.

Wachezaji nao wanajitafuta haswa kwenye kupata uzoefu EPL.

EPL ni league ngumu huwezi kucompare na ligi nyingine duniani. Epl inahitaji matumizi makubwa ya nguvu, kasi na akili, then mifumo na mbinu baadae.

Umesajili lundo la wachezaji bado tena unataka kusajili wengine. Ingekuwa kusajili wachezaji wengi ndio ushindi, THE BLUES chini ya Toddy tungeshabeba makombe 15

Wachezaji wangapi wamebaki sasa kwenye kikosi cha team kinachotakiwa.

Sijaelewa why unamtetea Poch huku hakuna hata chochote alichowahi kufanya.

Kila gameweek tunafungwa magoal yale yale, Why tunastruggle against mid table teams?
Kuanzia kwenye kuwin duels etc tuko poor dhidi ya hizi team
 
Nitajie hao wachezaj unawaona wako poor?
  1. Petrovic ni poor, hata hajamtest tangu aje
  2. Badiashile ni poor - Huyu alicheza vizuri sana na wale makocha wabovu
  3. Disasi ni poor
  4. Gusto ni poor
  5. Caisedo ni poor
  6. Colwill ni poor
  7. Enzo ni poor - Huyu alicheza vizuri sana na wale makocha wabovu
  8. Sterling ni poor
  9. Mudryk ni poor
  10. Maatsen ni poor
  11. Jackson ni poor
  12. Palmer ni poor
Katika hao wachezaji na wengineo walioachwa na wengine kwenda mkopo awataje wachezaji poor kwenye first team
Hawa wachezaji apewe tu Arteta, PEP, Ange Postecoglou, De Zerbi au Eddie Howe atakavyowabadilisha halafu kila mchezaji pale mtamtaka kwa mil 100 kwenda juu

Hao wachezaji wangekuwa wabovu wangewadindia City, Arsenal, Liverpool, Spurs??
 
Nicolous Jackson ni mpuuzi sana, ameshindwa kuisadia timu, ameshindwa kufuata maelekezo ya waalimu wake, ameshindwa kupata motivation kutoka kwa professional anaenda kutaka motivation kwa malaya? Hawa wachezaji wa kizazi hiki cha akina Jackson ni ngumu sana kutoboa kisoka, D'shit, kama mazoezi ndio hii ya kuwafukuzia wanawake kweli Chelsea itatoboa?

1701577908211.png
 
  1. Petrovic ni poor, hata hajamtest tangu aje
  2. Badiashile ni poor - Huyu alicheza vizuri sana na wale makocha wabovu
  3. Disasi ni poor
  4. Gusto ni poor
  5. Caisedo ni poor
  6. Colwill ni poor
  7. Enzo ni poor - Huyu alicheza vizuri sana na wale makocha wabovu
  8. Sterling ni poor
  9. Mudryk ni poor
  10. Maatsen ni poor
  11. Jackson ni poor
  12. Palmer ni poor
Katika hao wachezaji na wengineo walioachwa na wengine kwenda mkopo awataje wachezaji poor kwenye first team
Hawa wachezaji apewe tu Arteta, PEP, Ange Postecoglou, De Zerbi au Eddie Howe atakavyowabadilisha halafu kila mchezaji pale mtamtaka kwa mil 100 kwenda juu

Hao wachezaji wangekuwa wabovu wangewadindia City, Arsenal, Liverpool, Spurs??

Cash Money simuelewi sijui kipi amekiona kwa Pochetino
 
Tuko uwanjani, leo Palmer kapumzishwa asianze, tuone hii line up itatupa matokeo yapi?

-----------------Jackson--------------------

Mudryk --------- Gallagher ---------- Sterlinmg

--------Caisedo -------------------Enzo------

Colwill--------Badiashile ------Silva -----Disasi

-------------------Sanchez ------------------
 
Redcard Ghallagher , hii timu utoto na mistakes za kijinga haziishii ,week after week
Hii mechi ya kushinda utashitukia tunapoteza au kutoa draw
 
Hizi individual mistakes zitaigharimu Chelsea, Brighton tuliwadhibiti vizuri na sasa tuko unfavorable kushinda
Mabeki wetu bado sio wazuri kwenye 1X1 confrontation,
 
Duuuh.......
Kosa la kocha pale ni nini mkuu?
Hajui kutumia resources alizonazo vizuri
Una kipa kama Petrovic hata kwenye mechi ndogo humjaribu
Unamchezaji felixible LB mzuri kama Maatsen, unamweka benchi siku zote
Kocha kwa jina lingine anaitwa manager maana yake kumanage rasilimali ya wachezaji vizuri ili ilete matokeo mazuri kwenye timu. Hapo ndipo kuna tofauti ya kocha na kocha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom