Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

hili timu letu ni bovu tusipeane moyo yani mechi kama hii inachukiza sana makosa ni mengi wanacheza tu nyuma kipa ndio tumepigwa footwork hana kudaka majanga mbele hakuna watu yani leo tumefungwa kwa kuonyesha kabisa bora manyumbu wana fighting spirit kuliko chelsea
Sanchez kajitahidi. Katiak wachezaji wa Chelsea waliojitahidi leo mojawapo ni Sachez. Too bad kwamba hatuna kocha pale
 
Muda kama huu msimu uliopita tulikuwa pts 22, leo tuko pts 19
Nani bora kati ya Poche na Potter?
 
Sanchez kajitahidi. Katiak wachezaji wa Chelsea waliojitahidi leo mojawapo ni Sachez. Too bad kwamba hatuna kocha pale
uyo kipa ni kimeo acheni kumtetea footwork hana makosa kibao leo baada ya kufungwa akafanya kosa kama lile alilofanya dhidi ya arsenal anampasia mtu wa timu pinzani icho kitu hata onana hawezi fanya
 
Chelsea tumeanzisha kampeni yetu ya KIMBIZA MWIZI ambayo inakwenda kuanza leo 6 Desemba kwenye mechi dhidi ya Red devil wa mchongo kila anayekuja mbele yetu sisi tunalala nae hata kama ana ukimwi.

Matokeo ni mawili tuu Chelsea kushinda au mpinzani kushindwa.
Mpaka mseme 😂😂😂
20231125_232617.jpg
 
hili timu letu ni bovu tusipeane moyo yani mechi kama hii inachukiza sana makosa ni mengi wanacheza tu nyuma kipa ndio tumepigwa footwork hana kudaka majanga mbele hakuna watu yani leo tumefungwa kwa kuonyesha kabisa bora manyumbu wana fighting spirit kuliko chelsea
Bado hamjasema 😂😂😂
20231125_223552.jpg
 
hili timu letu ni bovu tusipeane moyo yani mechi kama hii inachukiza sana makosa ni mengi wanacheza tu nyuma kipa ndio tumepigwa footwork hana kudaka majanga mbele hakuna watu yani leo tumefungwa kwa kuonyesha kabisa bora manyumbu wana fighting spirit kuliko chelsea

Ukishakuwa na kocha loser tegemea hivi vitu.

Mim niliyeko huku naona kabisa makosa yale yale yanajirudia kila game
Yule muargentina yeye haoni??

Hakuna kocha pale
 
Chelsea tumeanzisha kampeni yetu ya KIMBIZA MWIZI ambayo inakwenda kuanza leo 6 Desemba kwenye mechi dhidi ya Red devil wa mchongo kila anayekuja mbele yetu sisi tunalala nae hata kama ana ukimwi.

Matokeo ni mawili tuu Chelsea kushinda au mpinzani kushindwa.
20231203_213242.jpg
 
Pochettino : “I am not disappointed because I think they gave everything." (@NizaarKinsella) #CFC

Mnaoendelea kumtetea huyu mpuuzi endeeleeni kumtetea tu hapa hakuna kocha
Kwa performance ile unasema hivyo
 
Mauricio Pochettino: “They deserved the victory. They had more energy than us, maybe we were affected because we played Sunday with one less”

Hivi huyu mpuuzi angetukuta tunacheza uefa ingekuweje

Nitaendelea kusema hapa hakuna kocha
 
Kazi imemshinda mapema sana yani kupata point 3 kwa timu dhaifu imekuwa shida kwake hawezi kuipeleka chelsea popote huyu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom