Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Naona kama Mudryk akicheza na Jackson kama wanaelewa sana tofauti na wakicheza wengine. Au ni mimi tu naliona hili?
View attachment 2833125
Jackson anahitaji fimbo ili awe sirious na mpira, sehemu ya kutoa pasi yeye anakokota mpira mpaka apokonywe mpira...umri wake siyo wa kuachwa azoee ligi.
Sterling yeye ni kama tahira, ajajitambua ni wakati gani alete matani mchezoni...timu inahitaji ushindi yeye analeta utani.
Jana wamemfanya Silva kulalamika kila wakati kwasababu wachezaji hawakabi kwa kuziba mianya ya kuipa wapinzani waguse mipira ndani ya 18 yetu....Jana Silva alikasirika sana kwakweli.
Kocha wetu nae goigoi kama Lamp na Potter yaani awezi kuwakemea ujinga wanaofanya Jackson, Sterling, Conor na James..
 
Nipo serious mkuu, Gallageh anatukaba sana hamjui tu. Ni vile anakipaji ch kukimbia kimbia hovyo kila kona ya uwanja ila akili ya mpira ni 0.0%
Wewe inaonekana hujui mpira ila Ni shabiki wa mpira tuu.. kma ulikuwa hujui Gallagher ndo mchezaji aliyakata mashambulizi mengi mpka Sasa kwenye timu
 
Jackson anahitaji fimbo ili awe sirious na mpira, sehemu ya kutoa pasi yeye anakokota mpira mpaka apokonywe mpira...umri wake siyo wa kuachwa azoee ligi.
Sterling yeye ni kama tahira, ajajitambua ni wakati gani alete matani mchezoni...timu inahitaji ushindi yeye analeta utani.
Jana wamemfanya Silva kulalamika kila wakati kwasababu wachezaji hawakabi kwa kuziba mianya ya kuipa wapinzani waguse mipira ndani ya 18 yetu....Jana Silva alikasirika sana kwakweli.
Kocha wetu nae goigoi kama Lamp na Potter yaani awezi kuwakemea ujinga wanaofanya Jackson, Sterling, Conor na James..
Kumekucha
 
Naona kama Mudryk akicheza na Jackson kama wanaelewa sana tofauti na wakicheza wengine. Au ni mimi tu naliona hili?
View attachment 2833125
Nafikiri Kasi ya Hawa vijana Bado haijatumika vizuri weka wote wanne ,kushoto mudrik ,kulia sterling,katikati Jackson,nyuma Jackson Palmer Kisha double pivot ya Enzo na Caisedo wawe sitting midfield moto LAZIMA uwake .
 
Wiki nyingine tunaruhusu goal la kichwa
Hii ni hatari sana ,poor marking ,lack of concentration,Kuna blues mwenzangu alipoingia Joe Pedro nikamwambia huyo dogo anajua kuji position atatufunga
 
Tuko uwanjani, leo Palmer kapumzishwa asianze, tuone hii line up itatupa matokeo yapi?

-----------------Jackson--------------------

Mudryk --------- Gallagher ---------- Sterlinmg

--------Caisedo -------------------Enzo------

Colwill--------Badiashile ------Silva -----Disasi

-------------------Sanchez ------------------
Hiki kikosi ondoa Badiashile akae Disasi,kisha kulia Captain James ,hapo Kwa Gallagher muweke Palmer Kisha waambie Caisedo na Enzo wawe sitting modified wasicheze mbali na Colwill,Disasi na Silva ,mpe uhuru Captain James wakati wa kushambulia awe mtu wa Tano mbele akitoka pembeni, Sterling na palmer waingie katikati na kuwa namba kumi wawili ,sterling ana kasi+ unyumbulifu+space manipulation master ,palmer ana utulivu + pasi ya mwisho +good ball sticking ,Enzo afanye wizi kidogo kwenye zone ya tatu kupiga rebound+good ball stricking .Hapa hatukosi top four Poch sijui anakwama wapi.
 
Hii ni hatari sana ,poor marking ,lack of concentration,Kuna blues mwenzangu alipoingia Joe Pedro nikamwambia huyo dogo anajua kuji position atatufunga

Wapinzan wakutupigisha msakl kidogo lazima turuhusu.

Hatuwezi ongoza 1-0 tulilinde hatuwez

Ili kupata matokeo lazima tufunge goal kuanzia 3 tofauti na hapo ni kukaa roho mkononi
 
Gallagher ni specialist wa Tackles na kwenye ligi Galagher ni wa nne mbele ya
  1. Joao Raphinha
  2. Pedro Podro
  3. Vinicius Souza
  4. Cono Gallagher
 
Hiki kikosi ondoa Badiashile akae Disasi,kisha kulia Captain James ,hapo Kwa Gallagher muweke Palmer Kisha waambie Caisedo na Enzo wawe sitting modified wasicheze mbali na Colwill,Disasi na Silva ,mpe uhuru Captain James wakati wa kushambulia awe mtu wa Tano mbele akitoka pembeni, Sterling na palmer waingie katikati na kuwa namba kumi wawili ,sterling ana kasi+ unyumbulifu+space manipulation master ,palmer ana utulivu + pasi ya mwisho +good ball sticking ,Enzo afanye wizi kidogo kwenye zone ya tatu kupiga rebound+good ball stricking .Hapa hatukosi top four Poch sijui anakwama wapi.
Poch mzembe anang'ang'ana kucheza kw kujihami, ndio mana tukikutana na timu inayo paki tunahangaika. Shida inaanzia kw Ghallgah, weka kiungo mnyumbulifu mwnye kasi. Sio hilo Roboti, alipoangalia ndio huko huko pasi inapelekwa mamaee.
Wewe inaonekana hujui mpira ila Ni shabiki wa mpira tuu.. kma ulikuwa hujui Gallagher ndo mchezaji aliyakata mashambulizi mengi mpka Sasa kwenye timu
Usiwe unajibu hoja kw kusema mtu hajui mpira, kila mtu huwa ana mtazamo wake vile anavyoona yeye ni sawa kwake, mimi kwangu Gallagah ni mchezaji mbovu. Yaani tunafeli sana eti Ghallagah ndio mchezaji tegemeo.
Kwa hiyo na huyo☝️nae hajui mpira? aliemtoa Ghalagah kwnye kikosi chake.
 
Gallagher ni specialist wa Tackles na kwenye ligi Galagher ni wa nne mbele ya
  1. Joao Raphinha
  2. Pedro Podro
  3. Vinicius Souza
  4. Cono Gallagher
Hicho tu ndio anajua kichwani mwake. ndio mana tukikutana na wanaopaki tunaadhirika.
 
Poch mzembe anang'ang'ana kucheza kw kujihami, ndio mana tukikutana na timu inayo paki tunahangaika. Shida inaanzia kw Ghallgah, weka kiungo mnyumbulifu mwnye kasi. Sio hilo Roboti, alipoangalia ndio huko huko pasi inapelekwa mamaee.

Usiwe unajibu hoja kw kusema mtu hajui mpira, kila mtu huwa ana mtazamo wake vile anavyoona yeye ni sawa kwake, mimi kwangu Gallagah ni mchezaji mbovu. Yaani tunafeli sana eti Ghallagah ndio mchezaji tegemeo.
Kwa hiyo na huyo☝️nae hajui mpira? aliemtoa Ghalagah kwnye kikosi chake.
Akija Nkunku na Lavia naamini Poche atakuwa na choice zaidi, pale no. 10 anatakiwa kiungo mbunifu. Pochettino alimjaribu Enzo hapo ikawa ni balaa tupu
 
Timu yangu pendwa Chelsea i always there hata kama tunastrugle kupata matokeo still naipenda Chelsea.

Hakuna mafanikio yanayokuja kwa muda mfupi lazima vijana wajitoe kweli kweli uwanjani na wajue wanatafuta nini .

Mafanikio bila kuvuja jasho siyo. Naamini timu yanngu itasimama imara kama zamani.
There is a great hope over that.
 
Nafikiri Kasi ya Hawa vijana Bado haijatumika vizuri weka wote wanne ,kushoto mudrik ,kulia sterling,katikati Jackson,nyuma Jackson Palmer Kisha double pivot ya Enzo na Caisedo wawe sitting midfield moto LAZIMA uwake .
Mnataka ETH afukuzwe kazi?acheni roho mbaya
 
King Kai anawasalimia
20231206_144336.jpg
 
Hiki kikosi ondoa Badiashile akae Disasi,kisha kulia Captain James ,hapo Kwa Gallagher muweke Palmer Kisha waambie Caisedo na Enzo wawe sitting modified wasicheze mbali na Colwill,Disasi na Silva ,mpe uhuru Captain James wakati wa kushambulia awe mtu wa Tano mbele akitoka pembeni, Sterling na palmer waingie katikati na kuwa namba kumi wawili ,sterling ana kasi+ unyumbulifu+space manipulation master ,palmer ana utulivu + pasi ya mwisho +good ball sticking ,Enzo afanye wizi kidogo kwenye zone ya tatu kupiga rebound+good ball stricking .Hapa hatukosi top four Poch sijui anakwama wapi.

Day dream
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom