Duuuh.......
Kosa la kocha pale ni nini mkuu?

3-2 chelsea ameshinda
3 Points in a hard way
Vijana wamepambana kweli kweli
Sachez hataacha kupewa sifa kwenye hili game leo
Silva na Disasi wamecheza vizuri sana na hata Colwill japo lile goli la kwanza angeweza kughasi mfungaji
Game kali sana hii leo , Chelsea wameonyesha kitu leo !! Poch leo alikuja na plan ya kujaza watu wengi kati kuharibu kampa kampa ya Brighton na alifanikiwa sana !
Brighton walimiliki mipira bila madhara !! 
Corner mbili walizo Bata Chelsea ndiyo ziliwapa goli za chap hii mie naita mipira ya kufa ( kutenga ) maana ki movement Chelsea vwalifeli 
, Chelsea wana pata goli la tatu kwa kosa la refa kushindwa kutafsiri VAR , Penalty" mchongo " 🥸🥸 penalty waliyo pewa Chelsea kosa kama hilo Brighton ana nyimwa penalty na refa hata kwenye VAR haendi ki check 🥸🥸🥸 , dakika za usiku kabisa beki wa Chelsea ana rukia mpira juu na ku save kwa mkono , refa ana dai hand ball no penalty 
hand ball mpira ufuate mkono si mkono ufuate mpira , hayo mambo kwa Bongo " refa kapewa bahasha kumbe ni weredi Mdogo tuMaoni yanguCHELSEA 3 BRIGHTON 2Game kali sana hii leo , Chelsea wameonyesha kitu leo !! Poch leo alikuja na plan ya kujaza watu wengi kati kuharibu kampa kampa ya Brighton na alifanikiwa sana !
Brighton walimiliki mipira bila madhara !!
Corner mbili walizo Bata Chelsea ndiyo ziliwapa goli za chap hii mie naita mipira ya kufa ( kutenga ) maana ki movement Chelsea vwalifeli
, Chelsea wana pata goli la tatu kwa kosa la refa kushindwa kutafsiri VAR , Penalty" mchongo " 🥸🥸 penalty waliyo pewa Chelsea kosa kama hilo Brighton ana nyimwa penalty na refa hata kwenye VAR haendi ki check 🥸🥸🥸 , dakika za usiku kabisa beki wa Chelsea ana rukia mpira juu na ku save kwa mkono , refa ana dai hand ball no penalty
hand ball mpira ufuate mkono si mkono ufuate mpira , hayo mambo kwa Bongo " refa kapewa bahasha kumbe ni weredi Mdogo tu
CHELSEA 3 BRIGHTON 2Game kali sana hii leo , Chelsea wameonyesha kitu leo !! Poch leo alikuja na plan ya kujaza watu wengi kati kuharibu kampa kampa ya Brighton na alifanikiwa sana !
Brighton walimiliki mipira bila madhara !!
Corner mbili walizo Bata Chelsea ndiyo ziliwapa goli za chap hii mie naita mipira ya kufa ( kutenga ) maana ki movement Chelsea vwalifeli
, Chelsea wana pata goli la tatu kwa kosa la refa kushindwa kutafsiri VAR , Penalty" mchongo " 🥸🥸 penalty waliyo pewa Chelsea kosa kama hilo Brighton ana nyimwa penalty na refa hata kwenye VAR haendi ki check 🥸🥸🥸 , dakika za usiku kabisa beki wa Chelsea ana rukia mpira juu na ku save kwa mkono , refa ana dai hand ball no penalty
hand ball mpira ufuate mkono si mkono ufuate mpira , hayo mambo kwa Bongo " refa kapewa bahasha kumbe ni weredi Mdogo tu
Kumbe pale katikati alijaza watu na sio wachezaji?CHELSEA 3 BRIGHTON 2Game kali sana hii leo , Chelsea wameonyesha kitu leo !! Poch leo alikuja na plan ya kujaza watu wengi kati kuharibu kampa kampa ya Brighton na alifanikiwa sana !
Brighton walimiliki mipira bila madhara !!
Corner mbili walizo Bata Chelsea ndiyo ziliwapa goli za chap hii mie naita mipira ya kufa ( kutenga ) maana ki movement Chelsea vwalifeli
, Chelsea wana pata goli la tatu kwa kosa la refa kushindwa kutafsiri VAR , Penalty" mchongo " 🥸🥸 penalty waliyo pewa Chelsea kosa kama hilo Brighton ana nyimwa penalty na refa hata kwenye VAR haendi ki check 🥸🥸🥸 , dakika za usiku kabisa beki wa Chelsea ana rukia mpira juu na ku save kwa mkono , refa ana dai hand ball no penalty
hand ball mpira ufuate mkono si mkono ufuate mpira , hayo mambo kwa Bongo " refa kapewa bahasha kumbe ni weredi Mdogo tu

we huna hata akili embu toka bwanaaCHELSEA 3 BRIGHTON 2Game kali sana hii leo , Chelsea wameonyesha kitu leo !! Poch leo alikuja na plan ya kujaza watu wengi kati kuharibu kampa kampa ya Brighton na alifanikiwa sana !
Brighton walimiliki mipira bila madhara !!
Corner mbili walizo Bata Chelsea ndiyo ziliwapa goli za chap hii mie naita mipira ya kufa ( kutenga ) maana ki movement Chelsea vwalifeli
, Chelsea wana pata goli la tatu kwa kosa la refa kushindwa kutafsiri VAR , Penalty" mchongo " 🥸🥸 penalty waliyo pewa Chelsea kosa kama hilo Brighton ana nyimwa penalty na refa hata kwenye VAR haendi ki check 🥸🥸🥸 , dakika za usiku kabisa beki wa Chelsea ana rukia mpira juu na ku save kwa mkono , refa ana dai hand ball no penalty
hand ball mpira ufuate mkono si mkono ufuate mpira , hayo mambo kwa Bongo " refa kapewa bahasha kumbe ni weredi Mdogo tu
Mitoma hakusukumwa kama Milner alivyomsukuma MudrykCHELSEA 3 BRIGHTON 2Game kali sana hii leo , Chelsea wameonyesha kitu leo !! Poch leo alikuja na plan ya kujaza watu wengi kati kuharibu kampa kampa ya Brighton na alifanikiwa sana !
Brighton walimiliki mipira bila madhara !!
Corner mbili walizo Bata Chelsea ndiyo ziliwapa goli za chap hii mie naita mipira ya kufa ( kutenga ) maana ki movement Chelsea vwalifeli
, Chelsea wana pata goli la tatu kwa kosa la refa kushindwa kutafsiri VAR , Penalty" mchongo " 🥸🥸 penalty waliyo pewa Chelsea kosa kama hilo Brighton ana nyimwa penalty na refa hata kwenye VAR haendi ki check 🥸🥸🥸 , dakika za usiku kabisa beki wa Chelsea ana rukia mpira juu na ku save kwa mkono , refa ana dai hand ball no penalty
hand ball mpira ufuate mkono si mkono ufuate mpira , hayo mambo kwa Bongo " refa kapewa bahasha kumbe ni weredi Mdogo tu
Mkuu wewe nimekuelewaMitoma hakusukumwa kama Milner alivyomsukuma Mudryk
Colwill hakunawa mpira ulimbabua kichwa
Penalty ya Chelsea ni 50/50 kimaamuzi
Adhabu kama hizi marefa wanakuwa na room ya kuam ua na mara nyingi wanatofautiana
Tofauti ni kwamba msukumo wa Milner ulimuadhiri naman gani Mudryk kwenye kwenda kujaribu kufunga goli
Ukweli ni kwamba Milner alimsukuma kwa mkono Mudryk japo sio kwa nguvu kubwa lakini ilitoasha kusababisha debate na debate kama hizi ni za kawaida kwenye footbal
Wanafikiri sio penalty watakuja na genuine reasons za kutosha kunyima penalty na wanasema ni penalty nao watakuja na sababu lukuki za kudai ni penalty
Ila mwisho wa siku Refa hafanyi maamuzi kwa debate au kupiga kura, yeye anadictate na ndio ustaarabu wa football
Sawa mkuu ila nimetoa maoni tuwe huna hata akili embu toka bwanaa
Wewe ni jinsia gani? Samahani kama hataki kunijibuSawa mkuu ila nimetoa maoni tu
DuuuhBora Galagar ajipumzikie, mana kuumia aligoma. Gallagah ndio anaetunyimaga ushindi. Game tutakayocheza bila Galagah lazima tushinde si chini ya goli mbili. Tunzeni hii