Tuwabonde kabisa Hawa ndugu zetu ETH afungashiwe viragoMnataka ETH afukuzwe kazi?acheni roho mbaya
Saa 5Game saa ngap wazee
Poch kama kanisikia kasoro cucu ,upande wa kushoto angekaa Colwill Kisha kulia James ,ngoja nione atafanya NiniHiki kikosi ondoa Badiashile akae Disasi,kisha kulia Captain James ,hapo Kwa Gallagher muweke Palmer Kisha waambie Caisedo na Enzo wawe sitting modified wasicheze mbali na Colwill,Disasi na Silva ,mpe uhuru Captain James wakati wa kushambulia awe mtu wa Tano mbele akitoka pembeni, Sterling na palmer waingie katikati na kuwa namba kumi wawili ,sterling ana kasi+ unyumbulifu+space manipulation master ,palmer ana utulivu + pasi ya mwisho +good ball sticking ,Enzo afanye wizi kidogo kwenye zone ya tatu kupiga rebound+good ball stricking .Hapa hatukosi top four Poch sijui anakwama wapi.
Mauricio Pochettino kuhusu Reece James kutoanza:Poch kama kanisikia kasoro cucu ,upande wa kushoto angekaa Colwill Kisha kulia James ,ngoja nione atafanya Nini
Mwenye akili pale ni Palmer tu , mistakes kama 100000 , Nyumbu angekuwa serious wangekuwa wanaongoza hata 3Tunacheza upumbavu tu sioni tunachofanya
Yah ! ,Kuna magepu too sloppy ,hawa nyumbu wanatembea tu .Gallagher kwa tuliowahi kukusema vibaya au kutotambua mchango wako tunaomba utusamehe. Game ya leo pengo lako dhahiri linaonekana
View attachment 2835163
Sent from my SM-G973U using JamiiForums mobile app
Yaani hadi nyumbu wanaonekana kama Barca ya akina XaviYah ! ,Kuna magepu too sloppy ,hawa nyumbu wanatembea tu .
Hatuna mtu wa kazi chafu
Shenzi kabisakwahiyo Jackson ndo kakosa pale![]()