Yangu nimeshatoa hapo juu, niliangalia mechi yote
  1. Ian ni bonge la mchezaji zaidi ya kufunga hizo movemnet za kule mbele, ndio maan Burnley wamerudi EPL
  2. Jackson naye alikuwa na movmenet nzuri kuliko hata Nkunku alipoingia badala yake
  3. Casedei sijui kwa nini makocha hawamuoni, high press, pasi na nk ni mzuri sana, mfano through pass kwenda kwa Nkunku
  4. Andrey Santos is a good DM, anajua kukaba sana, tukimkosa Caicedo anaweza cheza na Enzo
  5. Huyu mchezaji mpya anayeitwa Angelo Gabriel anamuacha kwa mbali Madueke, Yuko inteligent sana
  6. Nkunku alipoingia alipotea akawa kimya hadi akasahaulika ila alipopata mpira wakapasiana na Casedei na kutengeneza nafasi nzuri iliyompa goli dk ya 90, World class player wako hivyo, nikawaza ule mpira ingekuwa ni Havertz kwanza angeuremba sana hadi nafasi ipotee, angekuwa Werne angepanic na kuutoa nje. Nkunku katulia sana na anlijua goli utadhani yeye ndie kaweka hayo magoli
Wengine hawakucheza vibaya ila hao mimi ndio nawaona waliexcel na hawastahili kupelekwa mkopo kabisa

Ian is good kwa kweli natamani abaki alicheza vizuri sana
 
Asante mkuu kwa tathimini
 
Angelo na Ian wasipobaki kwenye first team wahusika wanaoamua wakapimwe mkojo kabisa. Angelo miaka 18 tu lakini balaa, akifikisha miaka 23 itakuwaje
Yaani uzuri wa Angelo ni mchezeshaji na pasi zake ziko intelligent and perfect
1689863013367.png
 
Kumbe Lukaku alikuwa bado na mawasiliano na Rais wa Al Hilal?
Alikuwa anacheza na akili za watu. Huko ndiko kutamfaa samaki mkubwa kwenye kijibwawa ambapo ataabudiwa. Hatakiwi tena kwenye Ligi kuu za Ulaya.
  1. Chelsea tumemkataa
  2. Inter nao wamemshtukia
  3. Juve mashabiki wamemkataa
1689907832297.png

The Saudis are not letting go of Romelu Lukaku! He had expressed his interest in Saudi Arabia during his meeting in Paris with the president of Al Hilal on Monday June 12. His priority was to stay in Europe, but Lukaku has kept in touch with the Saudis.
-Simon Philips
1689907708192.png
 
Bila £100m jamaa wamesema Caicedo haondoki

Roberto De Zerbi:

"Everyone is speaking about Moises, Chelsea maybe but me? No. The situation is very clear at the moment. Moises is a Brighton player and Tony Bloom told me, if the conditions don't change, Moises stays with us. For me, it would be great news."
 
Tunauwezo wa kuitoa hiyo hela mara 2
 
Back
Top Bottom