Chelsea XI VS WrexhamChelsea XI VS Wrexham
Formation: 4-2-3-1
Captain: Trevoh Chalobah
--------------------Jackson --------------------
Maatsen ---------Chunkwuemeka----------Moreira
----------- Casedei-----------Santos-------------
Cucurella ----Humbphreys -----Chalobah ---- Gusto
-------------------Cumming----------------------
SUB
- Kepa,
- Bergstrom,
- Silva,
- Chilwell,
- Gilchrist,
- Hall,
- Gallagher,
- Gabriel,
- Sterling,
- Nkunku
Bado mmepigwa, goli -10 msimu mzima nafasi 10 goli mojaZile Kenge Zilizokuwa Zinapiga Kelele Kwamba Arsenal Wamepigwa Bado Mnazisikia Huko..??View attachment 2694028
Amekuwa Sterling au mudrky huyo Hadi ahitaji nafasi zote hizoBado mmepigwa, goli -10 msimu mzima nafasi 10 goli moja
Mkitaka Havertz afunge goli 20 mtengenezeeni nafasi 200

Tutafika bei wanayoitaka BrightonChelsea wanakaribia kupoteza dili la Caicedo
Taarifa za ndani ya Brighton zinadai kuwa Brighton wamedhamiria bila zaidi ya paundi Mil 100 hawatamtoa Caicedo kwenda Chelsea au timu nyingine yeyote.
Kwa sasa Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya paundi milioni 80 baada ya ile waliyotoa jumatatu ya mil 70 kukataliwa
Tunawategemea Brighton wataikataa na hii ofa ya mil 80
Ofa itakayofikiriwa labda ikiwa na addon nzuri ni ya paundi mil 100
Kulipa £100M kwa Caicedo hapana ni bora dili likafaChelsea wanakaribia kupoteza dili la Caicedo
Taarifa za ndani ya Brighton zinadai kuwa Brighton wamedhamiria bila zaidi ya paundi Mil 100 hawatamtoa Caicedo kwenda Chelsea au timu nyingine yeyote.
Kwa sasa Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya paundi milioni 80 baada ya ile waliyotoa jumatatu ya mil 70 kukataliwa
Tunawategemea Brighton wataikataa na hii ofa ya mil 80
Ofa itakayofikiriwa labda ikiwa na addon nzuri ni ya paundi mil 100
Kweli kabisaKulipa £100M kwa Caicedo hapana ni bora dili likafa

BetVictor’s ‘Supercomputer’ predicts the 2023/24 Premier League.So hii inasaidia niniLi supercomputer limetabiri eti mtamaliza nafasi ya 6
BetVictor’s ‘Supercomputer’ predicts the 2023/24 Premier League.
- Arsenal given 14.4% chance of winning the title
- 84.1% chance of top-four finish
- Man Utd to finish 6th
- Chelsea 10th
- Sheff Utd, Bournemouth, Luton relegated
(betvictor.com/en-gb/sports/2…)
View attachment 2694158
Kwan huyo jamaa hawez kuwa blocked?So hii inasaidia nini