Chelsea wanakaribia kupoteza dili la Caicedo
Taarifa za ndani ya Brighton zinadai kuwa Brighton wamedhamiria bila zaidi ya paundi Mil 100 hawatamtoa Caicedo kwenda Chelsea au timu nyingine yeyote.
Kwa sasa Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya paundi milioni 80 baada ya ile waliyotoa jumatatu ya mil 70 kukataliwa
Tunawategemea Brighton wataikataa na hii ofa ya mil 80
Ofa itakayofikiriwa labda ikiwa na addon nzuri ni ya paundi mil 100
Kulipa £100M kwa Caicedo hapana ni bora dili likafa
 
Kwa maelezo ya Pochettino kuhusu Casedei na Andrey Santos alipohojiwa leo usiku baada ya mechi inaonyesha wanaweza (Not confirmed) kwenda mkopo kwa angalau msimu mmoja.

Mauricio Pochettino on Andrey Santos and Cesare Casadei: “It is early but the profile is very good. Carney Chukwuemeka too. They need time, they are young, we cannot forget we are in Chelsea. They need to have time to evolve.”

1689843731212.png
 
Li supercomputer limetabiri eti mtamaliza nafasi ya 6

BetVictor’s ‘Supercomputer’ predicts the 2023/24 Premier League.

  • Arsenal given 14.4% chance of winning the title
  • 84.1% chance of top-four finish
  • Man Utd to finish 6th
  • Chelsea 10th
  • Sheff Utd, Bournemouth, Luton relegated

(betvictor.com/en-gb/sports/2…)
20230720_124005.jpg
 
Li supercomputer limetabiri eti mtamaliza nafasi ya 6

BetVictor’s ‘Supercomputer’ predicts the 2023/24 Premier League.

  • Arsenal given 14.4% chance of winning the title
  • 84.1% chance of top-four finish
  • Man Utd to finish 6th
  • Chelsea 10th
  • Sheff Utd, Bournemouth, Luton relegated

(betvictor.com/en-gb/sports/2…)
View attachment 2694158
So hii inasaidia nini
 
Li supercomputer limetabiri eti mtamaliza nafasi ya 6

BetVictor’s ‘Supercomputer’ predicts the 2023/24 Premier League.

  • Arsenal given 14.4% chance of winning the title
  • 84.1% chance of top-four finish
  • Man Utd to finish 6th
  • Chelsea 10th
  • Sheff Utd, Bournemouth, Luton relegated

(betvictor.com/en-gb/sports/2…)
View attachment 2694158
Ssa kwa hyo nyie hamis hata ubjngwa kumbe hampo tena kwa hyo nyie mapesa yote hayo kumbe na namba 2 contender?? Ha ha
 
Kwa waliangalia Jamani tupeni tathimini ya uchezaji wetu ulikuaje? Wachezaji wapi walifanya vizuri sana
Yangu nimeshatoa hapo juu, niliangalia mechi yote
  1. Ian ni bonge la mchezaji zaidi ya kufunga hizo movemnet za kule mbele, ndio maan Burnley wamerudi EPL
  2. Jackson naye alikuwa na movmenet nzuri kuliko hata Nkunku alipoingia badala yake
  3. Casedei sijui kwa nini makocha hawamuoni, high press, pasi na nk ni mzuri sana, mfano through pass kwenda kwa Nkunku
  4. Andrey Santos is a good DM, anajua kukaba sana, tukimkosa Caicedo anaweza cheza na Enzo
  5. Huyu mchezaji mpya anayeitwa Angelo Gabriel anamuacha kwa mbali Madueke, Yuko inteligent sana
  6. Nkunku alipoingia alipotea akawa kimya hadi akasahaulika ila alipopata mpira wakapasiana na Casedei na kutengeneza nafasi nzuri iliyompa goli dk ya 90, World class player wako hivyo, nikawaza ule mpira ingekuwa ni Havertz kwanza angeuremba sana hadi nafasi ipotee, angekuwa Werne angepanic na kuutoa nje. Nkunku katulia sana na anlijua goli utadhani yeye ndie kaweka hayo magoli
Wengine hawakucheza vibaya ila hao mimi ndio nawaona waliexcel na hawastahili kupelekwa mkopo kabisa
 
Back
Top Bottom