Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Yanafurah
Yajayo yanafurahisha sana
Yatafurahisha labda tukitaka kulinganisha na msimu uliopita. Lakn kwenye kupigania nafasi 6 za juu bado sana, tusijidanganye the blues.
Labda sajili nyingn nzuri zaja, napo bado siioni timu yetu kufanya vizuri kama matarajio ya wengi yalivyo.
Viva Chelsea
 
Ondoa hofu chief maana hii team inaenda kufanya maajabu, tutakua na game 1 kwa wiki wakati wenzetu wana game 3 tushindwe wenyewe.
 
Kwa mlio tizama mchezo naomba mtuambie ambao atukutizama. Je, ni aina ipi ya mchezo tunacheza, ni ile ya kuwapelekea moto timu pinzani ama sio? Isije kuwa tunapata ushindi kumbe sisi ndio tunapelekewa moto.
Timu inacheza vizuri Sanaa Kwa Sasa ila sijajua tutakapo Anza zile match za kiume maana wachezaji wengi bado vijana sanaa
 
Yanafurah

Yatafurahisha labda tukitaka kulinganisha na msimu uliopita. Lakn kwenye kupigania nafasi 6 za juu bado sana, tusijidanganye the blues.
Labda sajili nyingn nzuri zaja, napo bado siioni timu yetu kufanya vizuri kama matarajio ya wengi yalivyo.
Viva Chelsea
Dirisha la usajili bado halijafungwa so siwezi kusema lolote kwa sasa
 
Mkuu
Kua na game chache sio kigezo. Hivi kweli unategemea Gallagher afanye maajabu kwenye midfield? Sterling ana nini ambacho unaweza sema labda next season itakua fantastic?
Pochetino alimtengeneza Dele Ali kuwa midfielder hatari sana pale Tottenham,hata Gallagher atakua fire tu maana si mchezaji mbaya. Alikosa team yenye utulivu na mfumo unao eleweka,imagine hata murdyk,madueke, Felix walishindwa kung'ara. Kijana apewe nafasi atakua almost sawa na young lampard.
 
Kwa mlio tizama mchezo naomba mtuambie ambao atukutizama. Je, ni aina ipi ya mchezo tunacheza, ni ile ya kuwapelekea moto timu pinzani ama sio? Isije kuwa tunapata ushindi kumbe sisi ndio tunapelekewa moto.
Kule mbele pamebadilika sana
Bahati mabaya nusu ya msimu tunaweza tusiwe na Angelo Gabriel, atafikisha miaka 19 Mwishoni mwa Desemba 2023 ndipo anaweza pata kibali cha kucheza Uingereza
Huyo kijana ni mchezeshaji, ndie anayeongoza kule mbele kwa kuwa na jicha kali la kushambulia na kufanya build up. Very clinical kwenye kutoa pasi hatari na hakai na mpira hadi anyang'anywe
Kimeoi tu kilichopbakia kule mbele ni Sterling, hovyo kabisa kwenye hizi mechi mbili
Link ya Mudryk na Jackson ni moto wa kuangamiza defense yeyote EPL
Jana Pivot ya Galagher na Andrey Santos haikufanya kazi vizuri hata alipoingia Enzoi bado haikuwork sana.
Ndio maana Caicedo ni wa muhimu kwa gharama yeyote ile
Malo Gusto jana alicheza vizuri zaidi ya ile mechi ya kwanza. Alimdhibiti vizuri sana Mitoma na pia alikuwa na kasi ya kupeleka mipira mbele kupitia wing yake ya kulia
Nico sio wa kumsemea, tuna bonge la mchezaji staili ya Giroud kwa kuwachezesha wenzake. Ana movement ambazo tulizikosa kwa muda mrefu pale Chelsea final third.
Casedei yuko fast brilliant na clinical, infact namuona yeye anacheza excellent zaidi ya Andrey Santos kwa hizi game mbili. Ndie aliyesababishga red card kwa speed yake
Mudryk anarudi kwenye form yake, fantastic player. Atakayejutia hiyo 100M tuliyotoa atakuwa hajitambui kwa kweli
Goli alilofunga jana itampa nguvu ya kuanza ligi na ari mpya, kasi mpya na matumaini mapya. Mimi nadhani ndie mchezaji mwenye kasi kubwa kwenye ligi na nje kwa sasa. Taratibu naona Poche ameshapata line up yake kule mbele

----------------- Jackson---------------------------

Mudryk ---------------Nkunku -----------------Gabriel (Kama atapewa permit)

Kuna shida kwenye viungo na Mabeki
Bado Chemistry sio nzuri
Kwa Colwill, atakuja kuwa the next David Luiz kwa pasi, very acurate kwenye Long bal, throug passes zile ndefu ya kubreak lines. Defense inahitaji kiongozi na kiongozi nadhani ni Silva angalau kwa mwaka huu au tusajili beki mwingine mzoefu apart from Colwill, Badiashile, Chalobah, Cucurella, Fofana nk hao ni wazuri ila wanahitaji kukomaa
Kwenye kiungo

Kepa bado ni mzuri hata tukikosa kipa mwingine. Pochettino yuko sawa, Kepa akiwa chini ya kocha wa makipa mzuri ataendlea kuboreka na atatufaa vizuri wakati hawa makipa wadogo nao wanakomaa
Mimi nionavyo tukomae kumleta Caicedo, tukiweza kumuongeza Kudu au Cherki au Veiga itakuwa bora zaidi
Kwenye mawinga inatosha

Mudryk asaidiane na Maatsen nimeona anacheza vizuri kwenye winga kuliko hata LB. Sterling auzwe au abaki kwenye wizara maalumu chini ya Kocha. Pochettino akimng'ang'ania Sterling kama makocha wengine walivyomng'ang'ania Havertz atatutosa kabisa

Kwa mechi hizi mbili Lineup inaanza kujitenga ambayo ni

----------------------- Jackson----------------------

Mudryk ---------------Nkunku -----------------Gabriel (Kama atapewa permit)

---------- Caicedo -------------------------Enzo-----

----Chilwell --------Colwill -------Silva -------James----

------------------------- Kepa-------------------------

Sub

------------------- Broja ---------------------------

Maatsen ---------------Chnkwuemeka/Kudus/Cherki/Veiga -----------------Madueke

---------- Andrey -------------------------Cesare au Galagher-----

----Lewis Hall au Cucurela --------Badiashile -------Fofana au Chalobah -------Malo----

------------------------ Slonina au Kipa mpya-------------------------

Tutakuwa na timu ya wachezaji 25 hadi 28 maximum
 
Pochetino alimtengeneza Dele Ali kuwa midfielder hatari sana pale Tottenham,hata Gallagher atakua fire tu maana si mchezaji mbaya. Alikosa team yenye utulivu na mfumo unao eleweka,imagine hata murdyk,madueke, Felix walishindwa kung'ara. Kijana apewe nafasi atakua almost sawa na young lampard.
Galagher ana uzuri mabao hawa wengine hawana, never tired, hazimii moyo, anapress sana japo sio soft press, anashauku ya kufunga. Pochettino anaweza kumbadilisha Galagher akajenga pivot ya tatu pale katikati na akina Enzo na Caicedo. Kama atauzwa asitolewe bure bure kama akina Ampadu kwa sababu Kuna mengi tutafaidi kwa Galagher chini ya Pochettino
Akiuzwa isiwe chini ya mil 40 ili tuwanunue au akina Mohamed Kudus, Rayan Cherki ai Bariel Veiga
 
Mkuu
Kua na game chache sio kigezo. Hivi kweli unategemea Gallagher afanye maajabu kwenye midfield? Sterling ana nini ambacho unaweza sema labda next season itakua fantastic?
Kwa sababu ya upya wa timu tukifeli sana top 4 Europa tunayo na 2024/25 ndipo sasa tutakula kabisa
Uzuri ni kwamba wale wazinguaji wote wameondoka. Kitu pekee namsifia Todd na wenzake ni kwa hilo fagio la chuma bana. Wachezaji sasa wanajua wakizingua wanauzwa. Sio kama akina Marina walikuwa wanawang'ang'ania matakata kama akina Bakayoko, Batshuayi, Baba Rahma, Drink water na wengineo wengi
 
1690110393269.png
 
Galagher ana uzuri mabao hawa wengine hawana, never tired, hazimii moyo, anapress sana japo sio soft press, anashauku ya kufunga. Pochettino anaweza kumbadilisha Galagher akajenga pivot ya tatu pale katikati na akina Enzo na Caicedo. Kama atauzwa asitolewe bure bure kama akina Ampadu kwa sababu Kuna mengi tutafaidi kwa Galagher chini ya Pochettino
Akiuzwa isiwe chini ya mil 40 ili tuwanunue au akina Mohamed Kudus, Rayan Cherki ai Bariel Veiga
Tunahitaji hard worker wa kusaka mipira pale katikati na Chelsea haina mchezaji mpambanaji kama Gallagher,ukiongeza na good coaching huyu dogo anaweza tupa goli 10 mpaka 15 kwa msimu. Kumbuka alikua player of the season akiwa palace sio kwa bahati mbaya.
 
Pochetino alimtengeneza Dele Ali kuwa midfielder hatari sana pale Tottenham,hata Gallagher atakua fire tu maana si mchezaji mbaya. Alikosa team yenye utulivu na mfumo unao eleweka,imagine hata murdyk,madueke, Felix walishindwa kung'ara. Kijana apewe nafasi atakua almost sawa na young lampard.
Huyu Gallager awe Dele Ali, Gallager ni mchezaji mzuri ila sio kwa level za chelsea, upigaji wa pasi unampa shida akijitahidi kwenye hilo atakua mchezaji mzuri.

Kuna mchezaji anaitwa Challabor aisee huyu mchezaji ni bonge la Poyoyo. Pochetino akilogwa akamuamin huyu jamaa tutarudi pale alipoishia Lampard.

Kuna Cucu jana alikua anapgwa matobo kama hana akili nzuri.
 
Ndio kazi ya Kocha, Kocha mzuri anaiweza hiyo
 
Naomba kuuliza
Namuona Santos anacheza mechi za pre-season, Kwahy work permit yake imewekwa Sawa hvy msimu ujao wa EPL atakuwa anacheza.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom