Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Angelo na Ian wasipobaki kwenye first team wahusika wanaoamua wakapimwe mkojo kabisa. Angelo miaka 18 tu lakini balaa, akifikisha miaka 23 itakuwaje
Yaani uzuri wa Angelo ni mchezeshaji na pasi zake ziko intelligent and perfect
1689863013367.png
 
Kumbe Lukaku alikuwa bado na mawasiliano na Rais wa Al Hilal?
Alikuwa anacheza na akili za watu. Huko ndiko kutamfaa samaki mkubwa kwenye kijibwawa ambapo ataabudiwa. Hatakiwi tena kwenye Ligi kuu za Ulaya.
  1. Chelsea tumemkataa
  2. Inter nao wamemshtukia
  3. Juve mashabiki wamemkataa
1689907832297.png

The Saudis are not letting go of Romelu Lukaku! He had expressed his interest in Saudi Arabia during his meeting in Paris with the president of Al Hilal on Monday June 12. His priority was to stay in Europe, but Lukaku has kept in touch with the Saudis.
-Simon Philips
1689907708192.png
 
Bila £100m jamaa wamesema Caicedo haondoki

Roberto De Zerbi:

"Everyone is speaking about Moises, Chelsea maybe but me? No. The situation is very clear at the moment. Moises is a Brighton player and Tony Bloom told me, if the conditions don't change, Moises stays with us. For me, it would be great news."
 
Tunauwezo wa kuitoa hiyo hela mara 2
 
Dizerbi hapo mwisho

De Zerbi: “Caicedo stays with us until my owner changes his mind. No idea of what can happen in the future — but if Moises leaves we have to find the right player”

“We have to substitute him with a great player because this year we play in the Europa League unlike Chelsea”.
 
Kinachosemwa na Dizerbi ni kumaanisha Bila hela wanayotarajia £100 hawawez kumuuza mchezaji aiseee. Caicedo aliingia cha kike kuongeza mkataba mpya may be ulikua na maslahi mazuri zaid hapo big up kwake.
 
Dizerbi hapo mwisho

De Zerbi: “Caicedo stays with us until my owner changes his mind. No idea of what can happen in the future — but if Moises leaves we have to find the right player”

“We have to substitute him with a great player because this year we play in the Europa League unlike Chelsea”.
de zerbi.....
 
Analialia kwa sababu tunaenda kumchukua huyo mchezaji.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom