Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea 4
Brighton 3

Wafungaji
1) Nkunku
2) Mudryk
3) Galagher
4) Jackson

Mmeona movement za Nico na jinsi anavyokaa na kuutumia vyema mpira huyo kijana?
Ktk goli nne Jackson kahusika na 3
Ktk goli nne, strikers wetu leo wamehusika na magoli yote
Nico kwa mechi mbili ana goli 1 na assists 3
Tumeanza vyema
 
Dizerbi hapo mwisho

De Zerbi: “Caicedo stays with us until my owner changes his mind. No idea of what can happen in the future — but if Moises leaves we have to find the right player”

“We have to substitute him with a great player because this year we play in the Europa League unlike Chelsea”.
Maskini akipata, domo kaya sana. Hizo Europa na UCL kwetu ni jadi. Yeye kabahatisha mwaka huu tena unaweza ukawa ndio mwisho halafu anatuletea mdomo.
 
Tatizo letu kubwa ni Viungo, Caicedo ni wa kumleta hata pamoja na manyanga yoote ya Segul, Lipa hiyo 100milioni halafu leta aje kukata umeme
CFCKaz6 - 1682933789004300289.gif

 


Tulivyokuwa wapuuzi utakuta huyu mtoto tunamtoa kwa mkopo halafu sterling anabaki Darajani!

Aisee huyu Dogo ni kama siyo 18yrs. Hizi siyo touches za mtu mwenye umri huo.

Mechi ya kwanza tu nilishamuona huyo na ndio maana niliandika sehemu kuwa Pochetino akiruhusu Gabriel, Maatsen, Andrey and Cesare waende loan hawajui walitendalo, na katika hao wanne, Gabriel is the best. Labda kama tutawasajili wazuri zaidi yake.

Angelo hata Madueke haoni ndani, jicho la kijana liko kwenye build up ya goli tu na yuko very clinical kwenye kutoa pasi za uhakika. Kweli ile game ya kwanza kuna mpira alimpa Stereling nikakumbuka majonzi ya msimu uliopita wa kupoteza hovyo chances tunazopata.

Sterling hastahili hata kuwepo Chelsea. Huyo auzwe tu Uharabuni. Goli lile la Chilwell Gabriel alitoa assists kali baada ya kugongeana mpira vizuri.

Mwanzo wakati wanamsajili walimuongelea sana kuwa ni winga mchezeshaji ila sikutil;ia maanani sana kwa sabab kwanza ni kinda wa miaka 18 tu pili hakuoneonekana na timu kubwa kwenye scouting yao.

Sasa tunashuhudia alivyo mjanja kuwachezesha wenzake pale mbele. Naomba Mungu permit ya ke isikataliwe kama ya Andrey Santo januari. Atafikisha miaka 19 December 2023 na hivyo uwezekanoi wa kupewa permit ni hadi January labda factor zingine zimbebe.

Kuna uwezekano wa kwenda kwa mkopo baadaye, labda Brazil, RC Strasbourg, au mahali pengine. Haiwezekani kuhitimu kupata kibali cha kufanya kazi cha Uingereza (labda kwa sababu maalum) kwa wakati huu.

Licha ya umri wake mdogo (hatafikisha miaka 19 hadi mwishoni mwa Desemba mwaka huu), Ângelo tayari ana uzoefu mkubwa wa soka, akiwa amecheza zaidi ya mechi 100. Ndiye mchezaji mwenye umri mdogo zaidi katika historia ya Série A ya Brazil na pia ndiye mfungaji mabao mdogo zaidi katika historia ya Copa Libertadores.
Tunategemea atakuja kufanya wonders pia kwenye EPL na michuano mingine mikubwa ya Uingereza na Ulaya kwa ujumla
1690100835936.png
 
Ktk mechi 2 tu Nicolas Jackson
  1. Katengeneza nafasi 5
  2. Katoa assists 3
  3. Kafunga goli 1
Kama akicheza mechi 30
  1. atatengeneza nafasi sio chini ya 20 kwa msimu
  2. atatoa asists sio chini ya 20
  3. atafunga magoli sio chini ya 20
Halafu bado kuna under dogs wanasema tutapambania relegation
Na bado hatujamaliza usajili

Aje Mbape au Neymar
Aje Caicedo
Aje Rayan Cherki au Veiga
Aje Kudus
Tumsajili Beki mzuri mbadala wa Fofana
Hata tukikosa EPL
Haya yaliyobaki ya FA, Karabao tutabeba yote na mwakani tunarudi UCL
Huko mbele ndio itakuwa balaa, heri mimi sijasema lolote kuhusu 2024/25 kwenda mbele
1690101955936.png
 
Kwa mlio tizama mchezo naomba mtuambie ambao atukutizama. Je, ni aina ipi ya mchezo tunacheza, ni ile ya kuwapelekea moto timu pinzani ama sio? Isije kuwa tunapata ushindi kumbe sisi ndio tunapelekewa moto.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom