Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1715441384439.png
 
Timu ni ile ile hakuna mabadiliko. Kwenye benchi ndio kuna mabadiliko
Yuko James, Colwill na Gusto
Full bench
  1. Bettinelli,
  2. Disasi,
  3. Sterling,
  4. Ugochukwu,
  5. Nkunku,
  6. James,
  7. Colwill,
  8. Gusto,
  9. Casadei
1715441666961.png
 
Kwanini Jackson ni mchoyo kiasi hicho? Yaani nafasi mbili za wazi kabisa ambazo alikuwa vizuri kumpa Mudrky yeye kafanya ujinga mpaka anapoteza mpira, inasikitisha sana!
 
Nyie kenge msiwaache hawa watoto. Mkizembea kidogo, manyumbu watawapita
 
Mamaee , timu iko kipapatu papatu ,yaani tunashindwa kumaliza game mapema kwa timu kama Notingham , upuuzi wa hali ya juu
 
Ushindi muhimi japo hatukucheza vizuri

Tumelingana point na Newcastle huku zikibaki mechi 2

Next
Man Utd vs Newcastle
Brighton vs Chelsea
 
Ushindi muhimi japo hatukucheza vizuri

Tumelingana point na Newcastle huku zikibaki mechi 2

Next
Man Utd vs Newcastle
Brighton vs Chelsea
Leo inverted LB ya Cucurella imekataa kutick
James na Sterling wameingia wakatuokoa
 
Wachezaji walio na mchango wa mabao 40+ duniani msimu huu.
• Kylian Mbappe
• Cole Palmer
• Harry Kane
• Erling Haaland

Je! unajua ni ajabu kiasi gani ili kuwa miongoni mwa wachezaji hao hapo juu katika msimu wako kamili wa kwanza kabisa?
Hongera Cole Palmer!

View attachment 2988274
Cole Palmer huyu dogo asipopata majeraha na akamaintain hii form yake ya uchezaji , huyu dogo ni real talent .
Atafika mbali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom