Kupata matumizi mazuri ya Chillwell ni lazima abadili mfumo kutoka 3-4-3 kuja 4-3-3 kwa nionavyo mimi naona Tuchel hawezi kuuacha huu mfumo wake wa 3-4-3 ambao unamuAccomodate zaidi Alonso kwasababu ndio umempa matokeo toka amefika.
Atarudi kule kule kwa Lampard, rigidity. Amchezeshe na mfumo wake huo. Kwani mazoezini wanafanya kwa mfumo gani?
 
Mbona humu kumekuwa kimya sana leo na tuna mechi au hatujiamini kuwa tanashinda nini?
 
Back
Top Bottom